Hivi si inajulikana Lugha ya Taifa ni kiswahili?Mojawapo ya Lugha za Afrika ni Kiswahili,Identity ya Culture yetu katika lugha ni Kiswahili na tunastahili kujivunia culture yetu.Lakini kuna kitu Extra,katika kujieleza katika vikao ambavyo ni informal and more of social Interactions lazima utumie Either French,Portugeese,English,au Spanish ili uweze kuelewana na wajumbe wengi ambao wanaweza kusoma mawazo yako na kukusoma zaidi kwenye social interactions.Kwa jinsi ninavyoona,wabunge wote wana uwezo wa kwenda kutuwakilisha kwenye bunge la Afrika linapokuja swala la kiswahili kama Lugha,Coz wote wanajua kiswahili(Ikiwa lugha itatumika kama Endorsement criteria).
Kwa hiyo itakuwa Busara kupeleka watu wenye added advantage kwenye lugha ,i mean wanaojua kiswahili na kiingereza.January anasikitisha kwa sababu ni mtu mwenye taaluma ya Diplomasia,na anajua dhana ya cultural hegemony kama alivyo Membe,mimi na wengine humu JF.Kinachoshangaza,anapotosha kwa sababu ya ukada bila kuzingatia hali halisi ya Sasa.He's sick!!![/SIZE]