Membe vs January Makamba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Membe vs January Makamba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MsandoAlberto, Apr 13, 2011.

 1. M

  MsandoAlberto JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,019
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  How could you not distinguish between informal language, official language and national language?

  Unataka wawakilishi wawe wanatembea na mashine za kutafsiri lugha na dictionary?

  I have confirmed once a rattle snake always a rattle snake!

  ========

  Kilichojiri ni kwamba January Makamba ametoa taarifa kwa Spika kwamba kiswahili ni lugha ya taifa na pia moja ya lugha ya AU tujivunie na kutaka wagombea wa uwakilishi wa Bunge la Africa wajieleze kiswahili na si kiingereza kama kanuni inavyoelekeza.

  Membe akasema uzoefu na kanuni vifuatwe. Wajieleze kiingereza kwa sababu kiswahili ni wakati wa mkutano, nje wajumbe watakuwa wanatumia kiingereza kuinteract.

  Halima Mdee alitoa hoja kwamba kanuni ni kujieleza kwa kiingereza. Hoja ikapita
   
 2. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2011
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  hahahahahahaha this Msando again attacking others on his way for generating fame from JF
   
 3. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,780
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Nimeona jinsi wazir Membe alivyomponda kiutu uzima!
   
 4. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #4
  Apr 13, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  \Ndio level za JF hizo
   
 5. C

  Chogo matata Member

  #5
  Apr 13, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Wamezoea hao kuiburuza chdm tehe tehe aibu yetu aibu yao?
   
 6. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #6
  Apr 13, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,641
  Likes Received: 1,429
  Trophy Points: 280
  Membe kagongelea msumari wa mwisho.. hawa watu bana sijui wamelogwa?
   
 7. Loyal_Merchant

  Loyal_Merchant JF-Expert Member

  #7
  Apr 13, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 589
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  hujakosea, like father like son.
   
 8. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #8
  Apr 13, 2011
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Lazima sasa kutakuwa na bifu la Membe na January lakini kwa uwezo na ujuvi wa mambo January is far ahead
   
 9. N

  Nyauba JF-Expert Member

  #9
  Apr 13, 2011
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 1,098
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Nimefanya kazi ikulu...na kabla nilikuwa wizara ya mambo ya nje....crap!!!! Je membe yeye ajielezeeje????? huyu kijanaa ajaribuu kuwa makini zaidi.
   
 10. muhosni

  muhosni JF-Expert Member

  #10
  Apr 13, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Januwari wamethibitisha kwamba bado fikra ndani ya bunge ni baina ya CHADEMA na CCM. Mantiki ilimshinda kabisa akawa bize kutetea msimamo wa CCM kwa sababu tu alisikia CCM wakipiga makofi kwa wingi.

  On another note, alichofanya Membe ku-support hoja ya upinzani katika bunge letu is very ver rare. Will it cost him?
   
 11. N

  Nyauba JF-Expert Member

  #11
  Apr 13, 2011
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 1,098
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Imedhihirikaa wazi kuwa Waziri Membe hakubaliani na Kijana January Makamba wakati wa mjadala wa uchaguzi wa wabunge wawakilishi katika bunge la Afrika.

  Baada ya maelezo ya kikadaa zaidii ya JM kuhusu kupinga kanuni inayotaka lugha ya Kiingereza kuwa rasmi katika kuwahoji wagombea, Membe alimtoleaa uvivu kwa kupinga hoja yake na hatimaye spika kukubaliana na Membe.

  Je ni msuguano wa uteuzi wa kijana kuwa katibu wa sekretariati ya CCM,Siasa na Uhusiiano wa Kimataifa na kumwondoa Membe kama waziri wa mambo ya nje na mjumbe wa sekretariati hiyo?????

  Kwa kiasi Membe amekuwa ethical kutetea kanuni kama sio bifu la chini kwa chini...
   
 12. fangfangjt

  fangfangjt JF-Expert Member

  #12
  Apr 13, 2011
  Joined: Apr 25, 2008
  Messages: 571
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 33
  makamba amesema nini? membe akajibu nini?
   
 13. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #13
  Apr 13, 2011
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  One can conclude sasa January vs Membe for MFAIC! Hivi tetesi za cabinet reshufle zina ka-ukweli hivi?
   
 14. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #14
  Apr 13, 2011
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Kamanda unazungumza jibu huku ukiligeuza kuwa swali?
   
 15. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #15
  Apr 13, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Hata kama ikiwa kesho hiyo reshufle. Januari hawezi kuwa waziri tena kwa kuwa wajumbe wa secretariat ya CCM hawewezi kupewa kazi nyingine kwakuwa nafasi ya secretariat kwa sasa ni full time.
   
 16. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #16
  Apr 13, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  unafki tuu wote wanamagamba ya KIFISADI
   
 17. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #17
  Apr 13, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Groaning........:bored:
   
 18. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #18
  Apr 13, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,180
  Likes Received: 487
  Trophy Points: 180
  of course MEMBE NI MUUNGWANA na ndio maana kwenye ukweli yeye anasimamia ukweli,pia yeye ni waziri wa mambo ya nchi za nje na hiyo haikuhitaji propaganda tena.
  JANI-UWARI ni mpropaganda ccm nchi za nje na ukichanganya na utoto,u-be show!, basi ndio hayo tunayaona anataka KUMFUNIKA MEMBE MAPEMA.......
   
 19. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #19
  Apr 13, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Kwa kanuni mpya za CCM iliyojivua gamba au zipi? Kama ni kanuni zao hawachelewi kuchakachua. Si unajua tena mtu akiwa waziri halafu akawa kwenye sekretariati ni kupunguza makali ya bajeti kwa ccm. Akienda safari za kichama anachomekea kwenye safari za sirikali
   
 20. L

  Lilombe JF-Expert Member

  #20
  Apr 13, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Membe ni zao la elimu ya kanisa katoliki, mzoefu wa TISS na mwana diplomasia pia ana una ufahamu kuhusu wabunge wa TZ ambao ni vihiyio wa lugha wanaposhindwa kuongea katika vikao muhimu. January ni mtoto wa Yusuf Makamba ambae ni zero, alikuwa muandaji wa hotoba za JK hapo utapima uwezo wake. Pia ni zao la UFISADI
   
Loading...