Membe to sue Mwananchi & Tanzania Daima?

Hivi huyu maembe sijui membe zinamtosha kweli?Au na ye ni kama bosi wake Jk?Anatishia kujamba wakati anaharisha?Athubutu aone labda kama na wananchi hatukusikia na kumuona.Au ndo aina mpya ya ufisadi ya kutengeneza fidia feki ka za dowans kwamba we nenda kwa kesi ambayo utashindwa alafu ukishindwa serikali itakupa mihela kibao mara kumi ya fidia halafu tutagawa ya Boss Jk,Rostam na Lowassa na kidogo kitakachobakia kitakuwa chako.sawa?
 
Aache unafiki na nidhamu ya woga ameambiwa na wakubwa ale matapishi yake!!.
 
"The government is concerned with the loss of lives in the fracas:but it's important for diplomats to be patient; the Prime Minister is due to make a statement on the issue," Membe said after he had an audience with the diplomats in Dar es Salaam yesterday.

more by Bernard Membe - Jan 11, 2011 - IPPmedia

Was this a responce for Diplomats inquirry?
 
Hakuna cha kesi hapa maana atashindwa tu kwa sababu hawezi kabsa kufuta ushahidi wote uliopo. Wala hawazi kufunga Mwananchi ama Citizen maana ni magazeti ya The Aga Khan. Hivyo kwa kuwa anaunganisha na Daima, Sauti ya Watu hapo, haliwezi kufungiwa peke yake.
Kama mlivyosema wengi, hii ni pressure kutoka kwa Mkuu na hapo nikupoteza lengo tu. Utaona itaishia vivi hivi, anyone wanna bet?
 
Me I want to bet.

Hii kesi ni mbaya kwa haya magazeti mawili ya semi-udaku.

Hakuna cha kesi hapa maana atashindwa tu kwa sababu hawezi kabsa kufuta ushahidi wote uliopo. Wala hawazi kufunga Mwananchi ama Citizen maana ni magazeti ya The Aga Khan. Hivyo kwa kuwa anaunganisha na Daima, Sauti ya Watu hapo, haliwezi kufungiwa peke yake.
Kama mlivyosema wengi, hii ni pressure kutoka kwa Mkuu na hapo nikupoteza lengo tu. Utaona itaishia vivi hivi, anyone wanna bet?
 
Unatuambia tukae kimya wewe kama nani?

Nina mashaka na kichwa cha Matola. Either anahubiri asichokiamini au anazungumza asichokijua. Hayo magazeti anayoyataja yamejaa biars, slanders, libel na story za kupikwa.

Anapata wapi moral authority ya kutaja "toilet paper" kama Mtanzania eti ni gazeti makini wakati on 23rd/12/2010 liliandika habari ya kumwomba radhi mzee Mengi baada ya kumdefame, na mahakama kuamuru wamwombe radhi.

Kichwa cha story hiyo kilikuwa "KUMRADHI MZEE MENGI" tena kwenye ukurasa wa mbele kabisa.

Mhariri wa "gazeti" alikiri kumpakazia Mengi, kumlisha maneno, kupika story, na kumripoti uongo kwa nia ya kumdhalilisha.

Katika paragraph ya mwisho ya apology mhariri anasema "kumradhi mzee Mengi kwa kukudhalilisha, na kukukosea adabu"

Hivyo nashangaa sana kajigazeti ka hovyo kama haka kutajwa eti ni gazeti makini! Shame upon your face!!!
 
HTML:
Instead, it was our client, who out of courtesy, at the end of the session remarked that he was personally sorry about the deaths in Arusha and urged the members to be patient and wait for the official government statement on the issue. Our client repeated the same statement when addressing the press at Karimjee grounds after the said session.

Kwani watu hawawezi kudai 'kauli' yake na the manner with which the statement was issued was lost in translation. Kwanza kaitoa mbele ya mabalozi kama ni kuamua tu kutoa kauli mbona akusema mara baada yatukio, it took him seven days after the incident to say something and when he did it was infront of the international audience labda waahandishi wakazani kulikuwa na some form of pressure.

Si ni moja ya kazi ya uandishi kujaribu ku-transalate kama wamekosea in translation anaweza dai kauli yake imekosewa au waandashi wamejianzia lakini kufungua kesi ni uenda wazimu. At the end of the day kauli yenye kiashiria ya kuwa serikali inabidi kutoa tamko kuhusu tukio ali lisema tana mbele ya mabalozi.
 
The bottom line is watu wasio na hatia walipigwa risasi na polisi. kulinda au kuzuia maandamano si kupiga watu kwa risasi za moto. Zingine mbwembwe tu
 
Naomba mkae kimya, hapa magazeti yanayoandika habari za weledi na za ukweli na uhakika na hawana majungu wala chuki wala makundi wala mitandao ya kimaslahi, ni magazet haya hapa:
1. Uhuru
2. Daily news
3. Mtanzania
4. Rai
5. Habari leo.

Haya ndio magazeti makini kwa hapa Tanzania, na ushahidi ninao sijawahi kusikia yakishitakiwa mahakamani wala baraza la habari magazeti haya. kwahiyo naomba mkae kimyaa kabisa kama mnanyolewa.
Kabla sijasoma signature yako nilitaka ku-coment..................
 
Watu wwasio na hatia? ulitaka askari wangoje mpaka wateke kituo ndio ujuwe kama wana hatia?
 
Duh....Membe kaamua. Hivi tuseme habari ilikuwa 'yakupikwa'!

Ameongea BILA RIDHAA ya MKUU WA NCHI! Sasa unategemea nini kitokee? Kaambiwa FUTA USEMI WAKO la sivyo KAZI HUNA!

Ni kawaida katika mambo ya SIASA za UWAJIBIKAJI WA PAMOJA!

Kwa hiyo, kama wote mnakubali KUWAJIBIKA kwa KUSEMA UONGO, mmoja akitoka NJE YA MAKUBALIANO, mnamtwanga MEMO!

Si unakumbuka yalishawahi kutokea haya? Nadhani Membe hakuwapo siku hiyo ya debriefing kwenye cabinet, la sivyo asingediriki kutoa statement ILIYOKWENDA SHULE kama hii!

Sasa kalazimishwa KUYALAMBA MATAPISHI YAKE! Namwonea huruma sana!

Ikitokea Waandishi wa Tanzania Daima na Mwananchi wakawa na USHAHIDI WA SAUTI (recorded audio evidence), itakuwaje? HEHEHE!
 
Huu ubishi ndio unawaponza hawa Chadema, walikuwa wanapiga kelele msinunuwe, msinunuwe, mitambo haikununuliwa sasa wanapiga kelele msilipe msilipe Duh.

Mkaanza maandamano yatafanyika serikali ikitaka isitake, sasa mmefanya, cha mtema kuni mmekiona. Na sasa mnaanza membe, membe, mwenzenu kisha sema, waombe msamaha yaishe au anakwenda mahakamani na nakwambia hayo magazeti yatashindwa tena vibaya sana, watu sasa hivi tuna usongo ile mbaya.
 
Back
Top Bottom