Membe to sue Mwananchi & Tanzania Daima?

Taarifa hiyo ilimpandisha chati Membe mbele ya macho ya Wananchi hata kama kweli hakusema yaliyoandikwa. Lakini hili la hatua aliyochukua, litamteremshia hadi yake na kujenga chuki na Wananchi. Alitakiwa apime kabla ya kuchukua hatua hii hasa ukizingatia ana ndoto za kugombea uraisi 2015.

Urais wa Mtwara au???
 
crap!

naomba mkae kimya, hapa magazeti yanayoandika habari za weledi na za ukweli na uhakika na hawana majungu wala chuki wala makundi wala mitandao ya kimaslahi, ni magazet haya hapa:
1. Uhuru
2. Daily news
3. Mtanzania
4. Rai
5. Habari leo.

Haya ndio magazeti makini kwa hapa tanzania, na ushahidi ninao sijawahi kusikia yakishitakiwa mahakamani wala baraza la habari magazeti haya. Kwahiyo naomba mkae kimyaa kabisa kama mnanyolewa.
 
What a coincidence! ? two newspapers misquoting? may be though i suppose he is under pressure of "Mr president"
 
Naomba mkae kimya, hapa magazeti yanayoandika habari za weledi na za ukweli na uhakika na hawana majungu wala chuki wala makundi wala mitandao ya kimaslahi, ni magazet haya hapa:
1. Uhuru
2. Daily news
3. Mtanzania
4. Rai
5. Habari leo.

Haya ndio magazeti makini kwa hapa Tanzania, na ushahidi ninao sijawahi kusikia yakishitakiwa mahakamani wala baraza la habari magazeti haya. kwahiyo naomba mkae kimyaa kabisa kama mnanyolewa.

Unatuambia tukae kimya wewe kama nani?
 
... in so few words:
KATIKA USANII MEMBE KAZIDIWA KETE NA BOSI WAKE TU.
MEMBE NI MSANII ALIYEKUBUHU. SISHANGAI ANARUKA KIMANGA WAKATI KESHASEMA
 
naomba mkae kimya, hapa magazeti yanayoandika habari za weledi na za ukweli na uhakika na hawana majungu wala chuki wala makundi wala mitandao ya kimaslahi, ni magazet haya hapa:
1. Uhuru
2. Daily news
3. Mtanzania
4. Rai
5. Habari leo.

Haya ndio magazeti makini kwa hapa tanzania, na ushahidi ninao sijawahi kusikia yakishitakiwa mahakamani wala baraza la habari magazeti haya. Kwahiyo naomba mkae kimyaa kabisa kama mnanyolewa.
soma wewe na majinga wezio washika
 
Mimi nilimwona na kumsikia kwenya TBC1 akisema hayahaya anayoyakana

Aisee mimi pia niliona nikasema duuh Membe anatumia nafasi vizuri for 2015.....

msikilize Luke Dube kwenye Rasta Man's Prayer:

Politicians thank you father
For making them to be able
To lie with a straight face
While the nation cries
They wanna thank you lord
 
Nina clip Membe akiongea hayo ngoja niiweke vizuri niwerushie!
Please na ni vizuri mwananchi na wenyewe wamsue Membe kwa kuwaita wao waongo this is defarmatory na inaharibu image yao..... who knows labda wamepoteza millions of readers sababu ya hii issue
 
"The government is concerned with the loss of lives in the fracas:but it's important for diplomats to be patient; the Prime Minister is due to make a statement on the issue," Membe said after he had an audience with the diplomats in Dar es Salaam yesterday.

more by Bernard Membe - Jan 11, 2011 - IPPmedia
 
Back
Top Bottom