Membe to sue Mwananchi & Tanzania Daima?

Membe to sue Mwananchi & Tanzania Daima?

Meanwhile, Foreign Affairs and International Cooperation minister Bernard Membe yesterday assured diplomats that the government was taking measures it deems fit to redress the recent political mishap in Arusha Region.

The minister’s assurance came after some members of the diplomatic community expressed concern over the clash between the police and the opposition political party members during demonstrations over the disputed Arusha mayoral elections.

“The government is concerned with the loss of lives in the fracas…but it’s important for diplomats to be patient; the Prime Minister is due to make a statement on the issue,” Membe said after he had an audience with the diplomats in Dar es Salaam yesterday.

SOURCE: THE GUARDIAN
 
Naomba mkae kimya, hapa magazeti yanayoandika habari za weledi na za ukweli na uhakika na hawana majungu wala chuki wala makundi wala mitandao ya kimaslahi, ni magazet haya hapa:
1. Uhuru
2. Daily news
3. Mtanzania
4. Rai
5. Habari leo.

Haya ndio magazeti makini kwa hapa Tanzania, na ushahidi ninao sijawahi kusikia yakishitakiwa mahakamani wala baraza la habari magazeti haya. kwahiyo naomba mkae kimyaa kabisa kama mnanyolewa.

Matola

Magazeti yote uliyotaja hayawezi kuandika maovu yaliyofanywa na viongozi wa serikali kwa sababu yana mkono wa serikali na mengine kuna mikono ya mafisadi ambao tayari wameishikilia serikali. Kama hujuwi basi nyamaza usilete u-mbumbumbu na utoto wako hapa.
 
By Globu ya Jamii Reporter

[/SIZE][/FONT] Joseph Tadayo
ADVOCATE

C.C: 1. The Inspector General of Police,
Police Headquarters,
Dar es Salaam. – for information

2. The Dean of Diplomatic Corps
Dar es Salaam. – for information

3. The Director of Information,
Ministry of Information Culture Youth and Sports
Dar es Salaam.

4. Hon. Bernard K. Membe (MP)
Minister for Foreign Affairs and International Cooperation,
Dar es Salaam. Source: Michuzi blog
Anajikosha kwa IGP asijemnyima ulinzi kwenye mikutano yake jimboni,

 
Mimi hapa bado sijaelewa. Inaamnisha yeye ana support kilichofanyika Arusha? Defamation kwa uelewa wangu ni kuchafuliwa jina, je jina lake limechafuliwaje hapa?

Inamaanisha anapotoa kauli kwamba hajawahi kusema maneno hayo, je inamaanisha kwamba yeye anaona kilichofanyika Arusha ni sawa sawa? Polisi kuua raia? Ama kweli, siasa kumbe maana yake ni kuwakana wananchi...!

Na wewe! Huoni jina lake limechafuliwa mbele ya wakubwa zake, ala! Kwani wewe hufahamu watu wenye mashiko, au unadhani ni wapiga kura! Kwishenini!
 
Njiwa akitoka tunduni atarudi baadae, ila maneno yakitoka kinywani hayarudi tena.
 
Duh Membe kiboko. Mi nilimsikia na kumuona LIVE, ilianza ITV akiyasema haya kisha nikaona TBC1 pia wamerusha sasa anakanusha mpaka recording ya TV duh?
 
Yaani kama Hon. Membe una ndoto za kugombea Urais mwaka 2015 bora ughairi mapema manake ww hutufai kabisaaaaaaaaaaaa..
 
Ahhhhh Check BOB MEMBE!!! Vipi tena Yakhe unakana mchana kweupe????? Mwanachi na Tanzania Daima wakusingizie kwa kuripoti ulichokisema mwenyewe???. Haya hao wazushi, lakini vipi kuhusu TBC 1??? Nao walikusingizia hayo uliyoyatamka hadharani??? Nimekusikia kwa masikio yangu, au ushawaambia TBC 1 wapotezee ushahidi?????. Unajidanganya tulikurekodi kaka, Umenasaaa
 
Membe anasemekana aliwaambia mabalozi kuwa " He was personally sorry for the events that took place in Arusha". sasa kama alisikitishwa na vitendo vya mapolisi walivyofanya huko Arusha, maana yake ni kwamba hakuafiki na jinsi mapolisi walivyowakabili wananchi na kuwaua!! Huku kujitia kuwa he was quoted out of context ni njia ya kutaka kujikosha baada ya kukaliwa kooni na wakubwa zake!! Sasa na huo urais anaoutafuta atauweza kwa tabia ya woga namna hiyo?
 
Duh Membe kiboko. Mi nilimsikia na kumuona LIVE, ilianza ITV akiyasema haya kisha nikaona TBC1 pia wamerusha sasa anakanusha mpaka recording ya TV duh?

Eshatuma Vibaka wake wakaharibu ushahidi wote. Leo hii ukienda ITV au TBC1 ukiwauliza mkanda wa hayo matamshi hutayapata. Nafikiri kuna haja ya kuwa na NGO inayofuatilia matamshi ya Viongozi wetu na kuyahifadhi kama weakleak vile, ili siku wakikana tu tunawatolea walichosema hadharani
 
Haya hapa ndio magazeti yanayoandika habari za weledi na za ukweli na uhakika na hawana majungu wala chuki wala makundi wala mitandao ya kimaslahi
1. Uhuru
2. Daily news

4. Rai


Haya ndio magazeti makini kwa hapa Tanzania.............

You are either kidding us AU wewe ni Kilaza wa kutupwa
 
Wanajikaanga wenyewe kwa mafuta yao. Iko siku mambo yataiva!
 
Membe anasemekana aliwaambia mabalozi kuwa " He was personally sorry for the events that took place in Arusha". sasa kama alisikitishwa na vitendo vya mapolisi walivyofanya huko Arusha, maana yake ni kwamba hakuafiki na jinsi mapolisi. Sasa na huo urais anaoutafuta atauweza kwa tabia ya woga namna hiyo?

Membe ni joka la mdimu tu - by mudhihir mudhihir.
 
Duh yani jukumu walilonalo ni kuhalarisha. Mauaji,yoyote anayekwenda.kinyume na makamba anahojiwa na inteligensia ya ccm,kazi ipo.
 
Membe anatia aibu kabisa, yaani kutishwa kidogo n wakubwa zake tayari anaikana kauli yake
SASA HUYU NDIO RAISI MTARAJIWA, KWELI ATAUWEZA URAISI IKIWA MKWARA KIDOGO KUTOKA KWA JK ANA HAHA
 
all of them wameshafundishwa USANIIIIIIIIII, mnashangaaa, oooooohhoo
 
Jf Hembu mwenye clip ailete hapa plz maana na mimi nilimsikia kama magazeti yalivyoripoti
 
Duh?Na ye kaja na ntoke vipi.Mixa kaanzia mahakamani.Si asubiri kwanza tuwabane haya ya dowans.Kweli viongozi wetu hawana kazi.Na huu muda wa kubishana na magazeti wanaupata wapi?Ina maana atawashtaki na TBC au ndo yaleyale ya mnyonge mnyongeni?
 
Back
Top Bottom