Membe to sue Mwananchi & Tanzania Daima?

Ama kweli kuishi kwingi ni kuona mengi...Hivi magazeti yanayoongozwa na RA na washikiria wake ndo the best in Tz? Au ndo kusema Tz hakuna gazeti hata moja?

Tujifunze kudadisi mkuu, nimeandika hivyo nina hasira kali sana na hayo magazeti, cha kushangaza hatujawahi kuyashitaki hata siku moja, tunaishia kulalamika tu.
 
Matola

Magazeti yote uliyotaja hayawezi kuandika maovu yaliyofanywa na viongozi wa serikali kwa sababu yana mkono wa serikali na mengine kuna mikono ya mafisadi ambao tayari wameishikilia serikali. Kama hujuwi basi nyamaza usilete u-mbumbumbu na utoto wako hapa.

Kwa asilimi kubwa wewe ndio mbumbumbu, kwa sababu huna uwezo wa kusoma na kudadisi, unapayuka tu kama bata au kama Makamba.
 
Kwa maana ya collective responsibility, inaonyesha kuwa cabinet ilishajadili vurugu na mauaji ya arusha na tamko kuachwa kwa PM ili alitoe hadharani. Najiuliza ni kwa nini membe alisemee hata kwa maoni binafsi? Nadhani angewaeleza mabalozi wawe na subira hadi tamko toka kwa PM. Vinginevyo nitashawishika kuamini kuwa alibanwa sawasawa.
 
Back
Top Bottom