Membe: Sitogombea Ubunge 2015

Safi sana joka la mdimu, lazima laingwanani ang'atwe, hapana chezea hii mutu ni full bright with unquestionable intergrity. Ana confidence ya ajabu na mzalendo hasa kwa nchi yake. Mzoefu wa masuala ya diplomasia ameongoza na kuiletea sifa nchi yetu ndani na nje ya bara la Afrika harakati za kulinda haki, utu, usawa na demokrasia na mifano lukuki twaijua huko comoro, kupinga waziwazi bila kuuma mdomo ubabe wa Moroco dhidi ya west sahara n.k. Zaidi ya kashfa za richmond na majigambo Laingwanani hana lolote
 
Mkuu hoja ni nzuri kama ilivyo lakini naona kama imeharibiwa na haya mashambulizi kwa Membe mkuu?!!,inaweza kuonekana kama tunamshambulia mtu badala ya kitu kama ambavyo nadhani ulikuwa umelenga,na naamini kama tungejikita tu kwenye masuala ya gesi na nini wananchi wanakitaka basi ingependeza na huyu Membe unayemtaja angalijikuta akijikaanga humohumo badala ya hivi ninavyoona sasa.
 
Safi sana joka la mdimu, lazima laingwanani ang'atwe, hapana chezea hii mutu ni full bright with unquestionable intergrity. Ana confidence ya ajabu na mzalendo hasa kwa nchi yake. Mzoefu wa masuala ya diplomasia ameongoza na kuiletea sifa nchi yetu ndani na nje ya bara la Afrika harakati za kulinda haki, utu, usawa na demokrasia na mifano lukuki twaijua huko comoro, kupinga waziwazi bila kuuma mdomo ubabe wa Moroco dhidi ya west sahara n.k. Zaidi ya kashfa za richmond na majigambo Laingwanani hana lolote
 

Huku juu tunasoma Membe hajasema kitu kuhusu gesi wakati kwenye hapa kwenye link nasoma Membe alikuwa akiongea na halmashauri ya Lindi aliwahimiza juu ya umuhimu wa gesi kuwa rasilimali ya taifa. Inaelekea alitakiwa kutangazia ITV ili muanzisha thread hii aridhike.

Pengine niendelee kuuliza, Maandano yanafanyika Mtwara na si Lindi, Membe si Mbunge wa Mtwara ni wa Mtama-Lindi. Sijui anategemewaje kwa nafasi zake za Ubunge wa Mtama Lindi na Waziri wa Mambo ya Nje kuzungumzia suala la gesi mtwara ilihali wabunge wa mtwara wapo. Ingekuwa Lindi ningemuelewa muanzisha thread.
 
sifa za mnafiki na mtu asiejiamini ni kama hizo za membe


punguza undumila kuwili..mtu gani hueleweki. Kubwata sana mwishowe wajichora.
Ur posts are hypocritical...na wewe ni mnafiki mara alfu zaidi hata ya huyo Membe..
Scumbag brains..
 
Uzuri wa Lowassa kwa kweli ni determination,kujiamini,kupiga kazi,kusimamia anachoikianzisha,kuwadadabisha walio chini yake,tatizo lake tu ni hilo la kupenda pesa kuliko kitu kingine.

Watu wengine kwa kutoa sifa za kijinga Dah!Mkuu kachukue posho muda sio mrefu nimepishana na Bashe.
 
punguza undumila kuwili..mtu gani hueleweki. Kubwata sana mwishowe wajichora.
Ur posts are hypocritical...na wewe ni mnafiki mara alfu zaidi hata ya huyo Membe..
Scumbag brains..

Acha Uzandiki mstari mmoja tu we unautolea povu kiasi hicho.
 
Membe tokea aseme nchi haichuliwi kwa pickup halafu gadaff akafuliwa kwenye kalavati siku hizi kapwaya kwasababu 2015 peopleeeeeeeeeees wanachukua

Membe alisema Tz haiwatambui wapinzani wa Gadaffi nchini Libya. Je nini msimamo wa Tz kwa sasa? Mbona hakusema tena. 2015 tutasikia mengi.
 
punguza undumila kuwili..mtu gani hueleweki. Kubwata sana mwishowe wajichora.
Ur posts are hypocritical...na wewe ni mnafiki mara alfu zaidi hata ya huyo Membe..
Scumbag brains..

hiyo biashara ya kuchonga vinyago ndio hasa inayokufaa
 
Hapo namkumbuka Msekwa nae aliwahi kusema Sitagombea tena Usipika wa Bunge la Jamhuri ila baadae akagombea na kumwagwa tuvumilie yatasemwa mengi mwaka huu.Pia Msomali Kinana nae alisema hayo hayo baadae akaibukia U-General Secretary magamba huko huko!
 
Huyu naye ni chaguo la mungu mpeni kura

Mkuu naomba unifafanulie vizuri NI CHAGUO LA MUNGU AU MIUNGU?

H
awa jamaa wanaona nchi hii kama mpila wa RUGB kilammoja anaugombania na urais wanaona kama nguo kila mmoja anaivaa. watachemka na tamaa zao za MATUMBO.
 
huyu Mweshimiwa angetangaza kujiuzuru siasa kabisa, maana Katibu Mkuu Kinana alitangaza kujiuzuru siasa, halafu akawa Katibu Mkuu wa CCM..pengine neno kujiuzuru lina maana mpya siku hizi
 
Watu wengine kwa kutoa sifa za kijinga Dah!Mkuu kachukue posho muda sio mrefu nimepishana na Bashe.
Ndungu yangu we unawaza hela tu,huwezi kumsema mwenzio mazuri mpaka umepewa hela,endelea kaka.
 
mmh,kwel bado hamjamjua membe vzr,ndiye jasir wa ccm kukoma na mafisad pesa za uswis.pia hana haya,wala ubaguz.TUSUBIRI
 
Maccm bwana. Sasa huyu nae anataka aongoze nchi mwee! Asiyejua kujibu hoja, mkurupukaji mwee! 2014 ngoma inogile, wabheja sana

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
UWAZIRI TU KWAKE NI TATIZO URAISI ITAKUWAJE?

Sina shaka sana kwakuwa ili waukamate huo uongozi waamuzi wa mwisho ni sisi wapigakura ambao tumisha choka na huo uhuni wao ndani ya uongozi.

WAIACHE NCHI HII WENYE MAPENZI MEMA NA HII NCHI WAJICHUKULIE KIULAINIIIII
 
JAMII FORUM,HESHIMA MBELE,UKWELI BILA KIFICHO,JUKWAA LENYE MANUFAA NA LINALOTUFAA,,

TU
NAENDELEA,NA TUACHENI TU WATU WA KUSINI TUENDELEE KUITETEA RASILIMALI HII KWA MASLAHI YA TAIFA,,
KATIKA KILE KINACHOZID KUONESHA NI KWA JINS GANI WATU WA KUSINI TULIVOKOSA UZALENDO,UCHUNGU,NA KUJITAMBUA BERNAD CAMILIUS MEMBE AMEENDELEZA KUTUONESHA NI JINS GANI ALIVYO JOKA LA KIDIMU KWA KUKAA KIMYA HADI WAKATI HUU KAMA WAZIRI MWANDAMIZI WA SERIKALI HII YA MAFISADI HUKU WAPIGA KURA WAKE WAKIZID KUDHARAULIWA PINDI PALE WALIPOONYESHA NIA YAO YA DHATI KATIKA KUIPIGANIA GESI KWA MANUFAA YA WATANZANIA,,
MEMBE NI MIONGONI MWA WALE MALIMBUKENI WA SAMPULI YA LAZARO NYALANDU,HAND TO MOUTH POLITICIANS,NAME DROPPERS,PEOPLE WITH NO CONFIDENCE,HYPOCRITICAL FIGURES NA MENGIYO YA KUCHUKIZA KATIKA SIFA ZAKE,,KWA UFUPI NI LIMBUKENI NA CHAKUBIMBI KAMA CCM YAO,,

KWANINI MEMBE HAZUNGUMZI CHOCHOTE NA YUPO KIMYA KUHUSU GESI??
1.yeye ni wazir wa mambo ya nje,yumkini ni wale wale sampuli ya mkuchika na ghasia na chikawe ambao ni makuwadi wa jk katika kuiuza gesi hii,wote wamechukua 10 percent zao.,

2.kwa kuwa yeye ni wazir wa mambo ya nje upo uwezekano kahusika moja kwa moja kwenye kusign mikataba mibovu ya kuhujum gesi hii ya watanzania,

3.anahofia kwenda KINYUME na boss wake jk hasa ukizingatia jk ndie mwenye mamlaka ya mwisho katika kupitisha jina la mrithi wake katika urais huu unaokuja,

4.ni hulka ya watu wa kusiini ya kuvaa sifa za ujoka la kidimu,kutojiamin,ulimbukeni ili mradi tuh apate mamlaka na kujaza tumbo ili waende chooni,na bila shaka hulka hii leo inawahukumu,,
salam kwa membe,wanakusini na watanzania kwa ujumla tunajua kwanini yeye yupo kimya,ila katika harakati ambazo zimeanzishwa hakuna atakaerudi nyuma,gesi hii itapiganiwa hadi tone la mwisho la damu yetu,tutaipigania gesi hii kwa ajili ya manufaaa ya vizazi vyetu vijavyo,wewe endelea na mbio zako za urais huku ukisahau kuwa gei ndio kaburi lenu kwa kanda hii ya kusini

MODS NAOMBA HUU UZI NA UZI ZINGINE ZA GESI ZISIUNGANISHWE ILI UJUMBE UWAFIKIE KUWA SUALA LA GESI LIMECHUKUA TASWIRA PANA KILA PEMBE YA NCHI HII,,
MEMBE TUTAKUTANA 2015 KAMA KWELI NDOTO HIYO UNAYO..

mkuu, umetisha. Yote haya ya kwake.?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom