Membe: Sikushangazwa kufukuzwa. Niliendelea kusimamia nia yangu kugombea Urais 2020. Mwenyekiti na Katibu wameratibu mimi kufukuzwa

Leo nimekuelewa baada ya membe kushindwa kampeni
Narudia tena CCM haimuhitaji Membe bali Membe anaihitaji CCM,bila CCM membe ni sawa na nyangumi aliyekwama pwani ya Kilwa baada ya kushtuka maji yamerudi kina kirefu na hatima yake ni kujiozea tu mchangani. Wenzake akina Makamba,Kinana wameopolewa, hata mpiga debe wake Kaflag katulizwa kama mpira uliotolewa upepo.
 
Back
Top Bottom