Membe: Sikushangazwa kufukuzwa. Niliendelea kusimamia nia yangu kugombea Urais 2020. Mwenyekiti na Katibu wameratibu mimi kufukuzwa

Jibu zuri
IMG_20200303_080252.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama huna la kuandika kaa kimya.Acha kuropoka.Wewe unajua sumu au unasikiaga.Usimshuhudie mwenzio uongo.
Aliyelopoka ni mimi au wewe!kwanza aliyekupa ruhusa ya ku qoute ujumbe wangu nani we fisi
 
Wadau nasikia Bw.Membe kafukuzwa uanachama ndani ya CCM,lakini kosa lake halijaelezwa,kwa wanaolijua kosa lililopelekea kufukuzwa na sio kupewa Onyo atujuze.


Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hakuna ishu nyingine ya kuongelea zaidi ya huyo Membe?
Kila dakika mnaleta nyuzi za Membe, ivi Membe ni mtu potential kwa nchi kiasi cha kuwa discussion ya wiki nzima? Kafanya kipi zaidi ya kuitwa kachero?

Tufanyeni mengine huyo kashindwana na chama chake watajuana wenyewe maana kesi yao kubwa wote ni kulilia ugali kwa ajili ya matumbo yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
lakini pia iwe funzo kwamba yanahitajika maandalizi hasa ili kupambana na Taasisi yenye mizizi mrefu kama CCM, binafsi namsubiri sterling Membe kwa plan yake kabambe inayofuata kwa sababu kumbe alijua angefukuzwa Chamani, pia kumbe ametoa siri kuwa ana watu usalamani, Chamani na Serikalini.

Bado sijaamini kuwa ameishiwa mbinu maana hata kwa kumtazama anavyotembea bado anajiamini sana pengine huenda anaweza kuja na jambo litakalotuacha vinywa wazi!
 
Mheshimiwa sana wala hana haja ya kuachana na nia yake ya kugombea urais. Aendelee nalo ila itabidi atafute chama kingine na vile vile afanye mrejeo wa wenzake waliopita.

Nafahamu fika kuwa Mheshimiwa BM hakuwa na mvuto sana ndani ya CCM kwa sababu wengi walikuwa wanamuona kama ni mtu mwenye mabega juu kutokana mapitio yake ya kikazi na siasa.

Nilifanya udadisi wa hilo nikagundua kuwa mengi waliokuwa wanamzushia na mengine yalikuwa ni inferiority complex issues ila jamaa ni very intelligent, social, msaidizi sana na very ambitious. Ila mimi ningekuwa mshauri wake ningemuomba anyamaze kimya na asiingie kwenye chama kingine. Kwani ukimya nao huongea na wakati mwingine huongea kuliko maneno.
 
Yuko sahihi kuwa na ndoto yake ila bahati mbaya ndoto nzuri haiko mahali sahihi! ndoto iko kwenye Dark Continent, ndoto hii kwake ni US!
 
Mi nadhani ni mkakati wa ccm tumjadili membe badala ya udhaifu wa serekali!!kama tekateka,kutofuata katiba na sheria,pia mauaji ya hadhara kwa kutumia polisi!!!
 
Back
Top Bottom