Membe sasa apania Kuvunja muungano


Kukusaidia tu huwa hawatembei kama viongozi wa kitanzania ziara huendena na agenda na sababu za kuishia bara labda kwa sababu mambo muhumu yote wanayotaka fuatilia au viongozi muhimu wapo mainland.

Na viongozi safari zao upangwa mapema na uthibitisho wa njia unakuwa lazima upitiwe na usalama wao. Sidhani kama Membe anajeuri ya kuwapangia waende wapi ni wao wanajiamulia kwa kutaka wapelekwe au wakutane na people who matter.
 

Acha kulialia si mlikuwa mnadai waimbo wa taifa, bendera na katiba na mkamtaka waziri Mkuu atamke kuwa Zbar ni nchi. Sasa vyote hivyo mmepata manataka nini tena?
 
Mkuu hao viongozi wa Zanzibar kutwa wanashinda Dar wengine ndio makazi yao, sasa wageni waende Zanzibar kufanya Utalii ama shughuli za serikali zilizowaleta!
 

Hivi Kikwete akienda Washington, hatakuwa amekamilisha safari yake ya kutembelea Marekani mpaka aende California, Texas, New York, etc? eti kwa sababu tu Marekani ni Mwungano wa States kwa hiyo ni lazima aende kila state?

Zanzibar siyo nchi bali ni mamlaka ndani ya Jamhuri ya Mwungano wa Tanzania. Hata JK alipotaka kuridhisha masikio ya Wazanzibari huku akiujua ukweli, aliwahi kusema kuwa 'Zanzibar ni nchi ndani ya Jamhuri wa Tanzania lakini siyo nchi ukitoka nje ya Tanzania', kwa hiyo kwa kiongozi anayetembelea Tanzania siyo lazima afike Zanzibar ili safari yake ya kutembelea Tanzania ikamilike.
 
wamefika Tanzania lakini hawakufika Zanzibar hata mimi nilishangaa sana mbona wamefika Tanzania lakini hawakufika Kigoma, Mtwara....
 
Kwani zanzibar ni nchi? Si ni mkoa tu kama ilivyo kigoma, tanga lindi n.k. Hivyo kiongozi wa kitaifa si lazima atembelee mikoa yote. Wapo wachache tutawaleta huko zenji. Tulieni dogo.
 
Ogwari,
Membe hajawahi kuwa ofisa wa ubalozi Italia. Alikuwa Canada.
 
..katika MASHIRIKIANO YA KIMATAIFA hakuna Tanganyika, na pia hakuna Zanzibar, bali kuna TANZANIA.

..hata kama viongozi wa mataifa ya nje watakwenda Zanzibar watakapofika huko bado watakuwa ni wageni wa RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

..kwa jinsi makubaliano ya muungano yalivyo sasa hivi hakuna kiongozi wa nchi nyingine anayeweza kualikwa na Raisi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na kukubali mualiko huo.

..hoja iliyoletwa hapa haina nguvu kwasababu mtoa hoja ameamua kwa makusudi kabisa kuipotosha tafsiri ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar linapokuja suala la ushirikiano wa kimataifa.
 
mbona hata kwetu mafia hajafika na hatulalamiki? unadhani mgeni akija TZ ni lazima atembelee nchi nzima? au una sababu zipi za msingi kusema zanzibar ni muhimu sana kuliko sumbawanga ambako hakutembelea na hawajalalamika? hivi ukiwa na kaka yako akiwa anaishi mbagala akimkaribisha mgeni kwake ni lazima amlete huyo mgeni kwako sinza?
 
Nadhani sasa mchague/mteue waziri wenu wa mambo ya nje. Ataleta tu viongozi toka Afghanistan, UAE, Saudia nk,
 
Ukabila una rangi nyingi na kwa hili wewe kweli ni mkabila. Eti wamekuja Tanzania halafu hawajafika Zanzibar? Mmmh, hapa anayevunja muungano ni nani? Sio wewe mwenye makengeza ya uzanzibari?
Mkuu nimekupata, kwa maana yake Zanzibar si Tanzania, sasa mgeni wetu wanamlilia wa nini? wakitaka na wao wamwalike kivyao!
 

Kweli Mkuu, hata kwetu Malinyi hawajafika hawa viongozi
 

Hivi kwani Muungano bado upo?
 
Mkuu nimekupata, kwa maana yake Zanzibar si Tanzania, sasa mgeni wetu wanamlilia wa nini? wakitaka na wao wamwalike kivyao!
Atakubali si nasikia kuna magaidi huko na wanachomaduka ya wabara sasa wazungu hawatawachoma moto na mavazi yao ya hovyo hovyo....
 
Issue ni wangeni wanao itembelea Tanzania aka Tanganyika kwanini hawafiki Tanzania visiwani aka Zanzibar????????????????

Kwani ni lazima kutembelea Zanzibar? Hii nayo ni issue kubwa kiasi ya kujadiliwa humu JF?

Nashindwa kabisa kuelewa mambo mengine. Hivyo "muungano" uvunjike kwa sababu ya wageni kutembelea Zanzibar?

"Muungano" uko ICU, unasubiri kukata roho tu, wageni or not!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…