Membe sasa apania Kuvunja muungano

Wanaofahamu naomba mnijuze tafadhali, hivi Rais au mgeni yeyote wa kitaifa anapokwenda UK anapitia visiwa vyote ili kubalance mambo kama mtoa mada anavyosema? Au kwa mfano US ina maana itabidi ili kuondoa huo ubaguzi yabidi kupitia states zote sio?

Originally Posted by WISDOM SEEDS Kwani lazima watembelee Zanzibar?
Yes! Zanzibar ni Sehemu ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Vip weye upo Tanganyika au Zanzibar
 
waziri wa mambo ya Nje na usirikiano wa kimataifa Bernard membe sasa ameonyesha dhairi ana mikakati ya siri ya kuvunja muungano kwa kuinyima zanzibar fursa ya kutembelewa na viongozi wa kimataifa pindi wanapofanya ziara Nchini .Sisi wazanzibar tunasikitishwa na kitendo cha waziri membe kuweka utaratibu mbaya wa kutoleta viongozi wa kimataifa zanzibr tunafahamu ana ajenda ya siri na akuanza leo ameanza siku nyingi mifano ipo hai akiwa ofisa mwandamizi wa ubalozi wa Tanzania Itali aliwahi kukataa kukutana na wanafunzi wa kizanzibar waliokuwa wakisoma Italy kwa madai kuwa yeye sio mzanzibar na mambo ya Zanzibar hayamhusu.

Viongozi waliotembelea Tanzania bila kufika Zanzibar na Nchi zao kwenye mabano ni Rais wa Marekani (George Bush) Rais Hu Jintao wa (China) Rais Abdulah Gur (Uturuki) Waziri Mkuu wa India Mohan Singh na waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Hillary Clinton hawa viongozi wote wamefika Tanzania hakuna hata MMoja aliyefika zanzibar

Mimi nashauri hichi kipengele cha mambo yote ya mahusiano ya kimataifa yawe ya muungano kijadiliwe na ikiwezekana kukiondoa katika makubaliano ya Muungano ili Na Zanzibar kwa maana Rais wa Zanzibar awe na uwezo wa kualika maraisi au wageni kutoka nje na yeye aweze kualikwa kama kiongozi wa nchi.

Nafikiri sasa hapo ndipo nchi hizo mbili huru zilizoungana zitaheshimiana na kutambuana.

Kinyume chake vunjeni Muungano.
 
Tusitake kupotosha Ukweli tuwe honest Shinyanga ni Mkoa na zanzibar ni sehemu ya muungano ,Hoja ya ogwari ni ya msingi and it look kuna tatizo kubwa Foreign ,State house na Wezi wa protocol.Ni mwenye fikra finyu tu ndiye anayeweza kulinganisha Kigoma, Kagera na Zanzibar. Zanzibar ni Nchi ina Rais , Mawaziri ila hawana wizara ya mambo ya Nje ,kulingana na katibu ya Jamhuri ya Muungano kuna wizara ambazo zitakuwa chini ya serikali ya mapinduzi Zanzibar na kuna wizara zitakazokuwa chini ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Membe hawezi hakakwepa hizi lawama anahusika moja kwa moja na Hili suala .Solution ni Kihipa kura CDM muachane na Magamba yote CUF na CCM
Kama foreign affairs is one of union matters,sasa kwa nini Zanzibar iwe na status tofauti na ile ya Tanganyika?kama amekuja ikulu ya Tanzania maana yake amekuja Tanzania ikiwemo na Zanzibar in respect of foreign affairs perspective.My take then Membe hapaswi kulaumiwa kwa hili!!!
 
Zanziabr ni kama mkoa mmojawapo wa tz,sasa kila kiongozi anayekuja atembelee mikoa yote ya tz? hana kazi huko nchini kwake?
 
Mimi nashauri hichi kipengele cha mambo yote ya mahusiano ya kimataifa yawe ya muungano kijadiliwe na ikiwezekana kukiondoa katika makubaliano ya Muungano ili Na Zanzibar kwa maana Rais wa Zanzibar awe na uwezo wa kualika maraisi au wageni kutoka nje na yeye aweze kualikwa kama kiongozi wa nchi.

Nafikiri sasa hapo ndipo nchi hizo mbili huru zilizoungana zitaheshimiana na kutambuana.

Kinyume chake vunjeni Muungano.

Njia rahisi ni kuvunja muungano kwa kuwa kama kila pande itakuwa na uhuru wa kujiamulia mambo yake ya nje basi kwa lugha raisi hapo hakuna tena muungano wa kweli na imara!!!
 
Mimi nashauri hichi kipengele cha mambo yote ya mahusiano ya kimataifa yawe ya muungano kijadiliwe na ikiwezekana kukiondoa katika makubaliano ya Muungano ili Na Zanzibar kwa maana Rais wa Zanzibar awe na uwezo wa kualika maraisi au wageni kutoka nje na yeye aweze kualikwa kama kiongozi wa nchi.

Nafikiri sasa hapo ndipo nchi hizo mbili huru zilizoungana zitaheshimiana na kutambuana.

Kinyume chake vunjeni Muungano.

Kumbuka hakuna mtu anaitambua zanzibar huko nje,tunatambuana humu humu ndani tu,huko nje kuna tanzania.....
 
hivi nyie wazanziba vp mbona hamuishi malalamishi? Kwanza umesema ametembelea Tanzania lakin c zanziba au katembelea tanganyika? Nyie ni wakolof, wazanziba wanaendekeza ubabe kama yule aliyeuchana mswada,mnakera sana tena sana.sis mswada hatukuupenda lakini atukufanya maamuz ya kijinga kama ya yule mzanziba.
 
@ogwalu mapesa.
Nakupa thanks kwa mambo mawili.
1. Kuujuwa ukweli kuwa zanzibar si sawa na mkoa wa tanganyika bali ni nchi ktk nchi zilizounda muungano.

2. Kuusema ukweli maana watanganyika wengi kwanza huwa hawaujui ukweli na hao watakao bahatika kuujua ukweli huwa hawausemi.

Kwa aina ya watu kama weye tunategemea kupata suluhu kuhusu huu muungano. Ila wana jf wengi hawako kama weye tuendelee tu kuwaelimisha lkn kazi tunayo.

Natafautiana na weye unaposema eti chadema ndio wanaweza kuleta suluhu ya huu muungano. Kwani chadema wanakawaida ya kuwadharau wazanzibar na wabunge wao eti mara wabunge wote wa zanzibar ni sawa na mbunge mmoja tu wa kawe, chadema pia haitilii nguvu hoja ya serikali 3 wanasema tu.

Solution ni kurudi kwa wananchi tuwaulize wanataka nini kuhusu muungano bila kujali vyama wala dini. Na kwa vile tume ya uchaguzi ni ya ccm ni vyema tupate tume ya umoja wa kitaifa au tume kutoka umoja wa mataifa kuja kusimamia hiyo kura ya maoni.
 
Red: Nchi ingine iliyounda huo muungano ipo wapi? Nani anayetetea maslahi ya Tanganyika kwenye muungano uliopo? Zanzibar haitakiwi kuwa na serikali yake, hapo ndo tutakwenda sawa, na watanganyika wataona kuwa wametendewa haki
 
waziri wa mambo ya Nje na usirikiano wa kimataifa Bernard membe sasa ameonyesha dhairi ana mikakati ya siri ya kuvunja muungano kwa kuinyima zanzibar fursa ya kutembelewa na viongozi wa kimataifa pindi wanapofanya ziara Nchini .Sisi wazanzibar tunasikitishwa na kitendo cha waziri membe kuweka utaratibu mbaya wa kutoleta viongozi wa kimataifa zanzibr tunafahamu ana ajenda ya siri na akuanza leo ameanza siku nyingi mifano ipo hai akiwa ofisa mwandamizi wa ubalozi wa Tanzania Itali aliwahi kukataa kukutana na wanafunzi wa kizanzibar waliokuwa wakisoma Italy kwa madai kuwa yeye sio mzanzibar na mambo ya Zanzibar hayamhusu.

Viongozi waliotembelea Tanzania bila kufika Zanzibar na Nchi zao kwenye mabano ni Rais wa Marekani (George Bush) Rais Hu Jintao wa (China) Rais Abdulah Gur (Uturuki) Waziri Mkuu wa India Mohan Singh na waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Hillary Clinton hawa viongozi wote wamefika Tanzania hakuna hata MMoja aliyefika zanzibar

Zanzibar inahusishwa na ugaidi, serikali haiwezi hatarisha viongozi wa kimataifa kwenda huko.
 
WaDanganyika ni waoga na wanafiki wakubwa na wapo kama watumwa. Kwani siku zote hawataki kujinasibu kutokana na nasaba zao za Utanganyika. Ni watu wanaorubuniwa kidogo tu na kukubali kuuza utaifa wao. Ndio maana tunawaita WADANGANYIKA.

ndio maana wanashikwa kigugumizi kudai Serikali yao ya tanganyika kama walivyodai waZanzibari. Ni kama makondoo tu
 
Yaan wazenji wamekuwa wa baguzi sana wamesahau mambo muhimu ambayo serikali ya ccm+cuf znz wamebania wamebakia kulilia ziara za mabepari wenye ajenda za siri za kuiba utajiri wa nchi yetu,kuchoma vibanda vya wabara walioko znz na kuchoma kanisa moja mwaka jana.jaman sisi si adui zenu bali chama na serikali yenu.
 
Zanzibar inahusishwa na ugaidi, serikali haiwezi hatarisha viongozi wa kimataifa kwenda huko.

kama inahusishwa na Ugaidi sasa kwanini WaDanganyika mnaikumbatia sana na kulazimishwa muungano na hata kukubali kwa dhati kabisa kuuwa utaifa wenu wa tanganyika na kuuzika kabisa kwa kuuvamia utanzania.

Nawashangaa sana kwani mkataa asli yake ni MTUMWA. Je watanganyika sio watumwa?
 
Sheikh ! Wewe wajua zaidi mambo ya Madrasa huku hakukufai
 
waziri wa mambo ya Nje na usirikiano wa kimataifa Bernard membe sasa ameonyesha dhairi ana mikakati ya siri ya kuvunja muungano kwa kuinyima zanzibar fursa ya kutembelewa na viongozi wa kimataifa pindi wanapofanya ziara Nchini .Sisi wazanzibar tunasikitishwa na kitendo cha waziri membe kuweka utaratibu mbaya wa kutoleta viongozi wa kimataifa zanzibr tunafahamu ana ajenda ya siri na akuanza leo ameanza siku nyingi mifano ipo hai akiwa ofisa mwandamizi wa ubalozi wa Tanzania Itali aliwahi kukataa kukutana na wanafunzi wa kizanzibar waliokuwa wakisoma Italy kwa madai kuwa yeye sio mzanzibar na mambo ya Zanzibar hayamhusu.

Viongozi waliotembelea Tanzania bila kufika Zanzibar na Nchi zao kwenye mabano ni Rais wa Marekani (George Bush) Rais Hu Jintao wa (China) Rais Abdulah Gur (Uturuki) Waziri Mkuu wa India Mohan Singh na waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Hillary Clinton hawa viongozi wote wamefika Tanzania hakuna hata MMoja aliyefika zanzibar

Hatuwataki tumewachooka..vipi hii itakusaidia naona muelewe hivyo
 
Back
Top Bottom