Barubaru
JF-Expert Member
- Apr 6, 2009
- 7,161
- 2,323
Sheikh ! Wewe wajua zaidi mambo ya Madrasa huku hakukufai
Kwa watumwa kweli hakunifai. Kwani mi ni muungwana SIO MTUMWA wa kukataa asli yangu.
Sheikh ! Wewe wajua zaidi mambo ya Madrasa huku hakukufai
Msitafute visingizio, kama mnataka kuanza anzeni...., mlale mbele huko
waziri wa mambo ya Nje na usirikiano wa kimataifa Bernard membe sasa ameonyesha dhairi ana mikakati ya siri ya kuvunja muungano kwa kuinyima zanzibar fursa ya kutembelewa na viongozi wa kimataifa pindi wanapofanya ziara Nchini .Sisi wazanzibar tunasikitishwa na kitendo cha waziri membe kuweka utaratibu mbaya wa kutoleta viongozi wa kimataifa zanzibr tunafahamu ana ajenda ya siri na akuanza leo ameanza siku nyingi mifano ipo hai akiwa ofisa mwandamizi wa ubalozi wa Tanzania Itali aliwahi kukataa kukutana na wanafunzi wa kizanzibar waliokuwa wakisoma Italy kwa madai kuwa yeye sio mzanzibar na mambo ya Zanzibar hayamhusu. Viongozi waliotembelea Tanzania bila kufika Zanzibar na Nchi zao kwenye mabano ni Rais wa Marekani (George Bush) Rais Hu Jintao wa (China) Rais Abdulah Gur (Uturuki) Waziri Mkuu wa India Mohan Singh na waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Hillary Clinton hawa viongozi wote wamefika Tanzania hakuna hata MMoja aliyefika zanzibar "Viongozi waliotembelea Tanzania bila kufika Zanzibar na Nchi zao kwenye mabano ni Rais wa Marekani (George Bush) Rais Hu Jintao wa (China) Rais Abdulah Gur (Uturuki) Waziri Mkuu wa India Mohan Singh na waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Hillary Clinton hawa viongozi wote wamefika Tanzania hakuna hata MMoja aliyefika zanziba" BOSSI WNGU SI KITU KILEKILE TANZANIA NI MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR KWAHIYO WAGENI HAO WANAKWENDA KOKOTE KWA SABABU HATA KAMA WATATOA ULAJI UTAKUWA NI WATANZANIA (YAANI TANGANYIKA NA ZANZIBAR) BINAFSI SIONI TATIZO HAPO
waziri wa mambo ya Nje na usirikiano wa kimataifa Bernard membe sasa ameonyesha dhairi ana mikakati ya siri ya kuvunja muungano kwa kuinyima zanzibar fursa ya kutembelewa na viongozi wa kimataifa pindi wanapofanya ziara Nchini .Sisi wazanzibar tunasikitishwa na kitendo cha waziri membe kuweka utaratibu mbaya wa kutoleta viongozi wa kimataifa zanzibr tunafahamu ana ajenda ya siri na akuanza leo ameanza siku nyingi mifano ipo hai akiwa ofisa mwandamizi wa ubalozi wa Tanzania Itali aliwahi kukataa kukutana na wanafunzi wa kizanzibar waliokuwa wakisoma Italy kwa madai kuwa yeye sio mzanzibar na mambo ya Zanzibar hayamhusu.
Viongozi waliotembelea Tanzania bila kufika Zanzibar na Nchi zao kwenye mabano ni Rais wa Marekani (George Bush) Rais Hu Jintao wa (China) Rais Abdulah Gur (Uturuki) Waziri Mkuu wa India Mohan Singh na waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Hillary Clinton hawa viongozi wote wamefika Tanzania hakuna hata MMoja aliyefika zanzibar

Mbona hata Mpanda,RUKWA hawakufika. Hata Morogoro hawakufika,hatujasikia malalamiko. Why Zanzibar. Infiliority complex!?waziri wa mambo ya Nje na usirikiano wa kimataifa Bernard membe sasa ameonyesha dhairi ana mikakati ya siri ya kuvunja muungano kwa kuinyima zanzibar fursa ya kutembelewa na viongozi wa kimataifa pindi wanapofanya ziara Nchini .Sisi wazanzibar tunasikitishwa na kitendo cha waziri membe kuweka utaratibu mbaya wa kutoleta viongozi wa kimataifa zanzibr tunafahamu ana ajenda ya siri na akuanza leo ameanza siku nyingi mifano ipo hai akiwa ofisa mwandamizi wa ubalozi wa Tanzania Itali aliwahi kukataa kukutana na wanafunzi wa kizanzibar waliokuwa wakisoma Italy kwa madai kuwa yeye sio mzanzibar na mambo ya Zanzibar hayamhusu. Viongozi waliotembelea Tanzania bila kufika Zanzibar na Nchi zao kwenye mabano ni Rais wa Marekani (George Bush) Rais Hu Jintao wa (China) Rais Abdulah Gur (Uturuki) Waziri Mkuu wa India Mohan Singh na waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Hillary Clinton hawa viongozi wote wamefika Tanzania hakuna hata MMoja aliyefika zanzibar
waziri wa mambo ya Nje na usirikiano wa kimataifa Bernard membe sasa ameonyesha dhairi ana mikakati ya siri ya kuvunja muungano kwa kuinyima zanzibar fursa ya kutembelewa na viongozi wa kimataifa pindi wanapofanya ziara Nchini .Sisi wazanzibar tunasikitishwa na kitendo cha waziri membe kuweka utaratibu mbaya wa kutoleta viongozi wa kimataifa zanzibr tunafahamu ana ajenda ya siri na akuanza leo ameanza siku nyingi mifano ipo hai akiwa ofisa mwandamizi wa ubalozi wa Tanzania Itali aliwahi kukataa kukutana na wanafunzi wa kizanzibar waliokuwa wakisoma Italy kwa madai kuwa yeye sio mzanzibar na mambo ya Zanzibar hayamhusu.
Viongozi waliotembelea Tanzania bila kufika Zanzibar na Nchi zao kwenye mabano ni Rais wa Marekani (George Bush) Rais Hu Jintao wa (China) Rais Abdulah Gur (Uturuki) Waziri Mkuu wa India Mohan Singh na waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Hillary Clinton hawa viongozi wote wamefika Tanzania hakuna hata MMoja aliyefika zanzibar
waziri wa mambo ya Nje na usirikiano wa kimataifa Bernard membe sasa ameonyesha dhairi ana mikakati ya siri ya kuvunja muungano kwa kuinyima zanzibar fursa ya kutembelewa na viongozi wa kimataifa pindi wanapofanya ziara Nchini .Sisi wazanzibar tunasikitishwa na kitendo cha waziri membe kuweka utaratibu mbaya wa kutoleta viongozi wa kimataifa zanzibr tunafahamu ana ajenda ya siri na akuanza leo ameanza siku nyingi mifano ipo hai akiwa ofisa mwandamizi wa ubalozi wa Tanzania Itali aliwahi kukataa kukutana na wanafunzi wa kizanzibar waliokuwa wakisoma Italy kwa madai kuwa yeye sio mzanzibar na mambo ya Zanzibar hayamhusu.
Viongozi waliotembelea Tanzania bila kufika Zanzibar na Nchi zao kwenye mabano ni Rais wa Marekani (George Bush) Rais Hu Jintao wa (China) Rais Abdulah Gur (Uturuki) Waziri Mkuu wa India Mohan Singh na waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Hillary Clinton hawa viongozi wote wamefika Tanzania hakuna hata MMoja aliyefika zanzibar
waziri wa mambo ya Nje na usirikiano wa kimataifa Bernard membe sasa ameonyesha dhairi ana mikakati ya siri ya kuvunja muungano kwa kuinyima zanzibar fursa ya kutembelewa na viongozi wa kimataifa pindi wanapofanya ziara Nchini .Sisi wazanzibar tunasikitishwa na kitendo cha waziri membe kuweka utaratibu mbaya wa kutoleta viongozi wa kimataifa zanzibr tunafahamu ana ajenda ya siri na akuanza leo ameanza siku nyingi mifano ipo hai akiwa ofisa mwandamizi wa ubalozi wa Tanzania Itali aliwahi kukataa kukutana na wanafunzi wa kizanzibar waliokuwa wakisoma Italy kwa madai kuwa yeye sio mzanzibar na mambo ya Zanzibar hayamhusu.
Viongozi waliotembelea Tanzania bila kufika Zanzibar na Nchi zao kwenye mabano ni Rais wa Marekani (George Bush) Rais Hu Jintao wa (China) Rais Abdulah Gur (Uturuki) Waziri Mkuu wa India Mohan Singh na waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Hillary Clinton hawa viongozi wote wamefika Tanzania hakuna hata MMoja aliyefika zanzibar
Tusitake kupotosha Ukweli tuwe honest Shinyanga ni Mkoa na zanzibar ni sehemu ya muungano ,Hoja ya ogwari ni ya msingi and it look kuna tatizo kubwa Foreign ,State house na Wezi wa protocol.Ni mwenye fikra finyu tu ndiye anayeweza kulinganisha Kigoma, Kagera na Zanzibar. Zanzibar ni Nchi ina Rais , Mawaziri ila hawana wizara ya mambo ya Nje ,kulingana na katibu ya Jamhuri ya Muungano kuna wizara ambazo zitakuwa chini ya serikali ya mapinduzi Zanzibar na kuna wizara zitakazokuwa chini ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Membe hawezi hakakwepa hizi lawama anahusika moja kwa moja na Hili suala .Solution ni Kihipa kura CDM muachane na Magamba yote CUF na CCM
waziri wa mambo ya Nje na usirikiano wa kimataifa Bernard membe sasa ameonyesha dhairi ana mikakati ya siri ya kuvunja muungano kwa kuinyima zanzibar fursa ya kutembelewa na viongozi wa kimataifa pindi wanapofanya ziara Nchini .Sisi wazanzibar tunasikitishwa na kitendo cha waziri membe kuweka utaratibu mbaya wa kutoleta viongozi wa kimataifa zanzibr tunafahamu ana ajenda ya siri na akuanza leo ameanza siku nyingi mifano ipo hai akiwa ofisa mwandamizi wa ubalozi wa Tanzania Itali aliwahi kukataa kukutana na wanafunzi wa kizanzibar waliokuwa wakisoma Italy kwa madai kuwa yeye sio mzanzibar na mambo ya Zanzibar hayamhusu.
Viongozi waliotembelea Tanzania bila kufika Zanzibar na Nchi zao kwenye mabano ni Rais wa Marekani (George Bush) Rais Hu Jintao wa (China) Rais Abdulah Gur (Uturuki) Waziri Mkuu wa India Mohan Singh na waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Hillary Clinton hawa viongozi wote wamefika Tanzania hakuna hata MMoja aliyefika zanzibar
- Misguided mkuu, Waziri wa nje hapangi ziara za wageni wa taifa ni wao wanaoomba kupitia balozi zao wanataka kwenda wapi na kuonana na nani, unless wana project huko bongo ndio automatically ni lazima watembelee ile project, hata kama inabidi ni protocal ndio wanaopanga sio Waziri, mkuu nenda uulize tena hii hoja yako ni misguided na ni miss-informed pia, jamani waoneeni wananchi huruma wananchi na hizi information maana mtaishia kuwachanganya, I mean toka lini Waziri akapanga ziara ya wageni wa taifa? au ni sheria gani ya jmahuri inayompa hayo madaraka?
William @ NYC, USA.
Dhis iz veri konfyuzing.
Kama wazazibar wana wimbo wao wa Taifa, bajeti, KMKM, Rais na kadhalika zote, kwa nini wasimwalike kiongozi yeyote wanaemtaka? Wanaweza hata kumpa Gadaff hifadhi ya kisiasa kama wanapenda.