Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
valid argument
viongozi wa kitaifa wanapozuru nchi yetu huwa ni wageni wa ikulu au wa waziri? na huwa wanapangiwa ratiba na waziri?
Kwani lazima watembelee Zanzibar?
Tusitake kupotosha Ukweli tuwe honest Shinyanga ni Mkoa na zanzibar ni sehemu ya muungano ,Hoja ya ogwari ni ya msingi and it look kuna tatizo kubwa Foreign ,State house na Wezi wa protocol.Ni mwenye fikra finyu tu ndiye anayeweza kulinganisha Kigoma, Kagera na Zanzibar. Zanzibar ni Nchi ina Rais , Mawaziri ila hawana wizara ya mambo ya Nje ,kulingana na katibu ya Jamhuri ya Muungano kuna wizara ambazo zitakuwa chini ya serikali ya mapinduzi Zanzibar na kuna wizara zitakazokuwa chini ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Membe hawezi hakakwepa hizi lawama anahusika moja kwa moja na Hili suala .Solution ni Kihipa kura CDM muachane na Magamba yote CUF na CCM
kwani hao wageni walitaka kutembelea zanzibar na Membe akagoma? sijasikia kiongozi yeyote aliezuru Tanzania akilalamika kuwa wizara imemzuia asiende zanzibar
Haaaaa! sangara wewe ni muajiriwa wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiani wa Kimataifa ,Hope your in a good position ya Kujibu hili swal
waziri wa mambo ya Nje na usirikiano wa kimataifa Bernard membe sasa ameonyesha dhairi ana mikakati ya siri ya kuvunja muungano kwa kuinyima zanzibar fursa ya kutembelewa na viongozi wa kimataifa pindi wanapofanya ziara Nchini .Sisi wazanzibar tunasikitishwa na kitendo cha waziri membe kuweka utaratibu mbaya wa kutoleta viongozi wa kimataifa zanzibr tunafahamu ana ajenda ya siri na akuanza leo ameanza siku nyingi mifano ipo hai akiwa ofisa mwandamizi wa ubalozi wa Tanzania Itali aliwahi kukataa kukutana na wanafunzi wa kizanzibar waliokuwa wakisoma Italy kwa madai kuwa yeye sio mzanzibar na mambo ya Zanzibar hayamhusu.
Viongozi waliotembelea Tanzania bila kufika Zanzibar na Nchi zao kwenye mabano ni Rais wa Marekani (George Bush) Rais Hu Jintao wa (China) Rais Abdulah Gur (Uturuki) Waziri Mkuu wa India Mohan Singh na waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Hillary Clinton hawa viongozi wote wamefika Tanzania hakuna hata MMoja aliyefika zanzibar
Mwambene It look rushwa za Foreign Kitengo cha Protocol vimekupefusha macho!! By the way kwa kutumia experience yako hapo foreign Mgeni anapokuja Tanzania ni kitengo kipi kinachoshirikiana na ofisi za balozi kuratibu ziara za viongozi wageni