Kuna taarifa za kuaminika kuwa Membe na Kikwete ni ndugu.
We umejuaje??Kuna taarifa za kuaminika kuwa Membe na Kikwete ni ndugu.
Kuna taarifa za kuaminika kuwa Membe na Kikwete ni ndugu.
Kuna taarifa za kuaminika kuwa Membe na Kikwete ni ndugu.
mmmh kuna harufu ya kumwaga ....Zikuwapi hizo taarifa sasa au ndiyo unataka kutea majungu???? Membe ni mtu wa Kusini na JK ni mtu wa Bagamoyo. Undugu unakujaje????
Kuna taarifa za kuaminika kuwa Membe na Kikwete ni ndugu.
Kwahiyo Membe atakua ndugu na Obama pia!:confused2:
mmmh kuna harufu ya kumwaga ....
Mkuu hizo tetesi zina dalili ya chembe chembe nyingi za ukweli!!?
Kama unabisha jaribu kufanya uchunguzi wako wa siri utagundua kitu.
Mimi nilijaribu kufanya uchunguzi niliyoyakuta ni siri yangu kwa sasa.
Kukujibu swali lako hapo juu ni kwamba mzee Mrisho mwenyewe(Chief wa zamani wa wakwele) inadaiwa na baadhi ya watu kuwa alizaa na wanawake wengi sehemu mbali mbali alizowahi kuishi na huko Lindi alimpachika mimba mwanamke ambaye inadaiwa ndio mama yake ......!!!
Kifupi mimi sijui sana bali nasimulia tu.
Ni kweli baba mmoja mama mbalimbali.