Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,564
- 9,043
Naona Jiwe anahangaika kuzuia anguko lake ,sasa lowasa ndio atalizuia muda utasema anguko liko pale pale .
Ndiyo maana mnasemwa Lumumba ni mambumbumbu. Umeshindwa hata kuelewa bandiko limeeleza nini! Umeshindwa kupata Pont's za kujenga hoja!Waziri gani Tanzania amefukuzwa kazi sababu ya kugombea kupitia chama kingine hapa nchini?
Lowassa + Sumaye walipohamia CDM walinyimwa posho zao, waliondolewa ulinzi, walikatazwa?
I wish uchaguzi ujao, Membe, Lissu, Zitto, Nape, Maalim Self waungane wawe timu moja kushindana na mgombea wa CCM ambaye probably atakuwa Joseph Pombe Magufuli.
Inawezekana, wote ni watanzania Tanzania ni yetu sote tunapigania Tanzania yetu tabu iko wapi na chuki za nini, mbona Malawi wana combinations hizo na maisha yanaendelea? Come-on watanzania tubadilike.
Mwaka huu 2019 Malawi inafanya uchaguzi Mkuu wa Rais na wabunge. Rais Peter Mutharika anagombea kupitia chama tawala cha DPP. Makamu wake Saulos Chilima anagombea kupitia chama cha upinzani cha UTM. Waziri wa Ardhi Atupele Muluzi, anagombea kupitia chama cha upinzani cha UDF. Rais wa zamani Joyce Banda nae anagombea kupitia chama chake cha PP.
Kama wao (Malawi) wameweza kwanini sisi tushindwe. Inawezekana.
Kwani Magufuli alipokuwa anagombea ulikuwa unafahamu vision yake.Wote hao sio visionary leaders na hatujui wanaweza kutupeleka wapi tokea hapa.
Martin Luther King jr katika speech yake I have a dream alikuwa na mission ya kutaka kuwa na usawa kati ya watu weusi na weupe. Ile njozi ilikuwa na nguvu na mpaka leo watu wengi wanaiamini.
Hao uliowataja, wana vision gani na mission gani ya kuwaunganisha Watanzania ili tuwafuate mmoja mmoja au wana common goal lipi ili tuwaamini na kuwafuata?
Bila shaka mpaka sasa hawana. Kwa kuwa huo ndio ukweli, JPM anaendelea kushinda kwa ulaini.
Obama alikuwa na a change American's had to believe in, watu wengi wali-buy in katika mission yake. Hao wanaotajwa wana nini mkononi?
Hapa kwetu Ubora wa wana siasa uko chini. Wanaoitwa wapinzani wanaapa kwamba kazi yao ni kukosoa tuuuuu! Basi! Hiyo ni Msigwa, Mbowe, Lissu, Lema, etc.TANZANIA TUJIFUNZE DEMOKRASIA ILIYOPEVUKA KUTOKA MALAWI:
Imetafsiriwa na Ndugu Malisa GJ kutoka kwa Maria Mhandire, Lilongwe Malawi
____________
Wanaodhani Afrika nzima haina demokrasia waje wajifunze Malawi. Nadhani sisi ndio nchi ya kwanza kwa demokrasia Afrika na tuna mengi ambayo hata wazungu walioanzisha demokrasia wanaweza kujifunza. Kwa wale wasio wakazi wa Malawi ngoja niwaeleze hali ilivyo hapa;
Mwaka huu tutafanya uchaguzi mkuu wa Rais na wabunge. Rais Peter Mutharika anagombea kwa awamu ya pili kupitia chama tawala cha DPP. Makamu wake Saulos Chilima anagombea kupitia chama cha upinzani cha UTM.
Yani Rais na Makamu wake wanagombea kupitia vyama viwili tofauti, na kampeni zinaendelea, kila mmoja akinadi sera zake. Wakikutana kwenye matukio ya kitaifa wanakaa pamoja kama Rais na Makamu wake. Baada ya hapo wanakutana majukwaani wakipingana kwa hoja.
Mutharika na Chilima walikua chama kimoja cha DPP. Lakini mwaka jana wakatofautiana. Chilima akajiondoa na kujiunga na chama cha upinzani cha UTM. Hakupoteza nafasi yake ya Umakamu wa Rais, maana Katiba ya Malawi inaruhusu kiongozi kuhama chama bila kupoteza nafasi yake ya uongozi.
Mgombea mwingine ni Atupele Muluzi, Waziri wa ardhi ambaye anagombea kupitia chama cha upinzani cha UDF. Rais Mutharika hajamfukuza kazi. Kamuacha aendelee na kampeni za Urais akiwa bado Waziri wa ardhi. Demokrasi ya hali ya juu.
Rais wa zamani Joyce Banda nae anagombea kupitia chama chake cha PP. Licha ya tuhuma za ufisadi zinazomkabili, lakini Rais Mutharika ameruhusu agombee akisema wananchi ndio watakaoamua.
Mgombea mwingine ni Lazarus Chakwera wa MCP. Hiki ndio chama cha ukombozi cha Malawi. Ndio chama cha Rais wa kwanza Hastings Kamuzu Banda.
Kampeni zinaendelea. Hakuna vurugu, kakuna fujo, hakuna polisi wanaopiga raia. Hakuna drama za kijinga za polisi kuvuruga mikutano ya wapinzani kwa taarifa feki za kiintelijensia.
Wanaotaka kuandamana wanaandamana, Wanaotaka mikutano ya hadhara wanafanya. Wanaotaka vikao vya ndani ewala. Ili mradi kila mmoja anatumia njia yake kushawishi achaguliwe.
Raia wa Malawi tunaendelea na maisha yetu kama kawaida, tukila Nsima (ugali) na kusikiliza sera za kila mgombea. Ni mataifa machache sana duniani yanaweza kuwa na kiwango hiki cha demokrasia. Tunajivunia nchi yetu.!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu lusungo, naunga mkono hoja ya MTAZAMO kua kuwataka kina Membe na genge lake ni kurudia makosa yaleyale ya 2015,upinzani haupaswi kujengwa na majeruhi wa CCMNaona umeanza na “nyie” wewe nani?
Muda wa kufanya uamuzi kwa Membe ni sasa
So wewe si uongee nao nuungane unauliza humu jf kuna mke au mjomba wa membe!I wish uchaguzi ujao, Membe, Lissu, Zitto, Nape, Maalim Self waungane wawe timu moja kushindana na mgombea wa CCM ambaye probably atakuwa Joseph Pombe Magufuli.
Inawezekana, wote ni watanzania Tanzania ni yetu sote tunapigania Tanzania yetu tabu iko wapi na chuki za nini, mbona Malawi wana combinations hizo na maisha yanaendelea? Come-on watanzania tubadilike.
Mwaka huu 2019 Malawi inafanya uchaguzi Mkuu wa Rais na wabunge. Rais Peter Mutharika anagombea kupitia chama tawala cha DPP. Makamu wake Saulos Chilima anagombea kupitia chama cha upinzani cha UTM. Waziri wa Ardhi Atupele Muluzi, anagombea kupitia chama cha upinzani cha UDF. Rais wa zamani Joyce Banda nae anagombea kupitia chama chake cha PP.
Kama wao (Malawi) wameweza kwanini sisi tushindwe. Inawezekana.
Hamia MalawiI wish uchaguzi ujao, Membe, Lissu, Zitto, Nape, Maalim Self waungane wawe timu moja kushindana na mgombea wa CCM ambaye probably atakuwa Joseph Pombe Magufuli.
Inawezekana, wote ni watanzania Tanzania ni yetu sote tunapigania Tanzania yetu tabu iko wapi na chuki za nini, mbona Malawi wana combinations hizo na maisha yanaendelea? Come-on watanzania tubadilike.
Mwaka huu 2019 Malawi inafanya uchaguzi Mkuu wa Rais na wabunge. Rais Peter Mutharika anagombea kupitia chama tawala cha DPP. Makamu wake Saulos Chilima anagombea kupitia chama cha upinzani cha UTM. Waziri wa Ardhi Atupele Muluzi, anagombea kupitia chama cha upinzani cha UDF. Rais wa zamani Joyce Banda nae anagombea kupitia chama chake cha PP.
Kama wao (Malawi) wameweza kwanini sisi tushindwe. Inawezekana.
Huku Tanzania ccm imetuletea majitu yana roho za Rwanda aaah yametoka Rwanda yalikuja yamebebwa mgongoni ,roho zao sasa .I wish uchaguzi ujao, Membe, Lissu, Zitto, Nape, Maalim Self waungane wawe timu moja kushindana na mgombea wa CCM ambaye probably atakuwa Joseph Pombe Magufuli.