Membe, Lissu, Zitto, Nape, What a 2020 Combination

Membe, Lissu, Zitto, Nape, What a 2020 Combination

Huku tuendako itafika mahali hata kwenye kampeni watu wakaumbuana kwa kutajana waliohusika kumshambukia lissu siasa kwa sasa zimekuwa za kinyongo sana
 
Membe aende wapi? Anapambana huko huko CCM na kinakwenda kueleweka!!
 
I wish uchaguzi ujao, Membe, Lissu, Zitto, Nape, Maalim Self waungane wawe timu moja kushindana na mgombea wa CCM ambaye probably atakuwa Joseph Pombe Magufuli.

Inawezekana, wote ni watanzania Tanzania ni yetu sote tunapigania Tanzania yetu tabu iko wapi na chuki za nini, mbona Malawi wana combinations hizo na maisha yanaendelea? Come-on watanzania tubadilike.

Mwaka huu 2019 Malawi inafanya uchaguzi Mkuu wa Rais na wabunge. Rais Peter Mutharika anagombea kupitia chama tawala cha DPP. Makamu wake Saulos Chilima anagombea kupitia chama cha upinzani cha UTM. Waziri wa Ardhi Atupele Muluzi, anagombea kupitia chama cha upinzani cha UDF. Rais wa zamani Joyce Banda nae anagombea kupitia chama chake cha PP.

Kama wao (Malawi) wameweza kwanini sisi tushindwe. Inawezekana.

It will be a team of veterans trying to prove a point to the team of youngsters, who are regular players.
 
Back
Top Bottom