Membe, Lissu, Zitto, Nape, What a 2020 Combination

Waziri gani Tanzania amefukuzwa kazi sababu ya kugombea kupitia chama kingine hapa nchini?
Lowassa + Sumaye walipohamia CDM walinyimwa posho zao, waliondolewa ulinzi, walikatazwa?
Lowasa, na sumaye walifanya kazi yao ya ujasusi ndani ya Chadema
Kazi kubwa ilikuwa ni kusoma chama kina mwelekeo gani katika siasa za Tanzania, nguvu kubwa ipo kwa nani, nani anaweza kubadilika na nani mgumu
Huwezi kuingia kwenye vikao vya siri vya upinzani ukiwa na maafisa wa usalama wa Taifa nyuma yako halafu ukasema unafanya siasa za upinzani.
Hawa walicheza karata yao vizuri
Na kwa kauli za Mkuu wa chama cha ccm alisema kuwa wao ndio waliowatuma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii inauwa dhana ya Upinzani ndani ya nchi
Kwa sababu Mpinzani ndani ya nchi anasimama kati ya WB, IMF na serikali yaani kwa Ufupi Upinzani ni kama majembe auction au Yono wanavyotumwa wakati mteja ameshindwa kulipa mkopo!!! Njia pekee inayoweza kuwakalisha pamoja ni kuhongwa na kupewa vyeo kama wao walivyofanya kuwa ruhusu kuhama na nafasi zao hiyo ndio rushwa kuu kwao
Turejee objective za WB,na IMF (SAPs) ndio tuone tulikosea wapi kukubali mfumo wa vyama vingi wakati 80% ya Watanzania walikataa
Kama inasaidia kuondoa siasa za uhasama na watu wakaishi vizuri kuna shida gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waziri gani Tanzania amefukuzwa kazi sababu ya kugombea kupitia chama kingine hapa nchini?
Lowassa + Sumaye walipohamia CDM walinyimwa posho zao, waliondolewa ulinzi, walikatazwa?
Jiongeze kidogo ktk utafiti wako, ili mifano yako ipate tija hapa..
Rudia tena kusoma Hoja, upate uelewa zaidi.

Pensions zipo tuu kwa waastafu.
 
Kama wao (Malawi) wameweza kwanini sisi tushindwe. Inawezekana.

Umekwisha ielewa vizuri sheria mpya ya vyama vya siasa?

Malawi hawana sheria kama hiyo; tofauti yao na sisi inaanzia hapo. Hebu jaribu kujielimisha ujue kuwa mategemeo unayoyaweka ni juu ya msajiri wa vyama kuyakubali au kuyakataa. Huyu msajiri ni taasisi ya CCM. Sasa niambie hao watu watapitia wapi!

Na hata wakiweza kupenya na kuwa upande mmoja, taasisi nyingine za CCM kama "Tume 'Huru' ya Uchaguzi; Polisi ya CCM; Wasimamizi Uchaguzi wa CCM", vikwazo vyote hivi watawezaje kuvisambaratisha ili kura halisi za wananchi zihesabike?

Kujipa matumaini sio dhambi, kwa hiyo endelea tu kudhani kwamba CCM itaachia madaraka hivi karibuni bila ya kuwepo na mabadiliko makubwa sana katika mpangilio wote wa kuwapata viongozi wetu tunaotaka watuongoze kwa hiari yetu wenyewe.
 
TANZANIA TUJIFUNZE DEMOKRASIA ILIYOPEVUKA KUTOKA MALAWI:

Imetafsiriwa na Ndugu Malisa GJ kutoka kwa Maria Mhandire, Lilongwe Malawi

____________
Wanaodhani Afrika nzima haina demokrasia waje wajifunze Malawi. Nadhani sisi ndio nchi ya kwanza kwa demokrasia Afrika na tuna mengi ambayo hata wazungu walioanzisha demokrasia wanaweza kujifunza. Kwa wale wasio wakazi wa Malawi ngoja niwaeleze hali ilivyo hapa;

Mwaka huu tutafanya uchaguzi mkuu wa Rais na wabunge. Rais Peter Mutharika anagombea kwa awamu ya pili kupitia chama tawala cha DPP. Makamu wake Saulos Chilima anagombea kupitia chama cha upinzani cha UTM.

Yani Rais na Makamu wake wanagombea kupitia vyama viwili tofauti, na kampeni zinaendelea, kila mmoja akinadi sera zake. Wakikutana kwenye matukio ya kitaifa wanakaa pamoja kama Rais na Makamu wake. Baada ya hapo wanakutana majukwaani wakipingana kwa hoja.

Mutharika na Chilima walikua chama kimoja cha DPP. Lakini mwaka jana wakatofautiana. Chilima akajiondoa na kujiunga na chama cha upinzani cha UTM. Hakupoteza nafasi yake ya Umakamu wa Rais, maana Katiba ya Malawi inaruhusu kiongozi kuhama chama bila kupoteza nafasi yake ya uongozi.

Mgombea mwingine ni Atupele Muluzi, Waziri wa ardhi ambaye anagombea kupitia chama cha upinzani cha UDF. Rais Mutharika hajamfukuza kazi. Kamuacha aendelee na kampeni za Urais akiwa bado Waziri wa ardhi. Demokrasi ya hali ya juu.

Rais wa zamani Joyce Banda nae anagombea kupitia chama chake cha PP. Licha ya tuhuma za ufisadi zinazomkabili, lakini Rais Mutharika ameruhusu agombee akisema wananchi ndio watakaoamua.

Mgombea mwingine ni Lazarus Chakwera wa MCP. Hiki ndio chama cha ukombozi cha Malawi. Ndio chama cha Rais wa kwanza Hastings Kamuzu Banda.

Kampeni zinaendelea. Hakuna vurugu, kakuna fujo, hakuna polisi wanaopiga raia. Hakuna drama za kijinga za polisi kuvuruga mikutano ya wapinzani kwa taarifa feki za kiintelijensia.

Wanaotaka kuandamana wanaandamana, Wanaotaka mikutano ya hadhara wanafanya. Wanaotaka vikao vya ndani ewala. Ili mradi kila mmoja anatumia njia yake kushawishi achaguliwe.

Raia wa Malawi tunaendelea na maisha yetu kama kawaida, tukila Nsima (ugali) na kusikiliza sera za kila mgombea. Ni mataifa machache sana duniani yanaweza kuwa na kiwango hiki cha demokrasia. Tunajivunia nchi yetu.!

Sent using Jamii Forums mobile app
Usilolijua ni kama usiku wa giza,yaani wewe unatufananisha sisi na malawi .???????
Tunakosea ila tuombe ladhi kutufananisha na hao jamaa.
 
Hapo kuna faida kwa Peter Mutharika kutokana na kura za upinzani zitagawanyika sana mwisho siku anashinda kiwepesi tu

yaani hawa watu hata wangekuwa na demokrasia gani ukabila umeshawamaliza.yaani mtu from" southern region" akiamia north anasimangwa na kufanyiwa figisu.
mtu msomi anamchagua mtu takataka ukiuliza ni wa kwetu.
ukienda malawi embu chimba kitu kinaitwa "MULHAKO wa ALHOMWE" ambacho ni kichaka cha Mutharika na watu wa kabila la -ke (lhomwe ) kuleta ukabila
 
Hao uliowataja mmnh!They can not be a solution to our problems,they are the problem!mimi ningekuwa Rais …...
 
yaani hawa watu hata wangekuwa na demokrasia gani ukabila umeshawamaliza.yaani mtu from" southern region" akiamia north anasimangwa na kufanyiwa figisu.
mtu msomi anamchagua mtu takataka ukiuliza ni wa kwetu.
ukienda malawi embu chimba kitu kinaitwa "MULHAKO wa ALHOMWE" ambacho ni kichaka cha Mutharika na watu wa kabila la -ke (lhomwe ) kuleta ukabila
Issue hapa ni demokrasia siyo ukabila.
 
I wish uchaguzi ujao, Membe, Lissu, Zitto, Nape, Maalim Self waungane wawe timu moja kushindana na mgombea wa CCM ambaye probably atakuwa Joseph Pombe Magufuli.

Inawezekana, wote ni watanzania Tanzania ni yetu sote tunapigania Tanzania yetu tabu iko wapi na chuki za nini, mbona Malawi wana combinations hizo na maisha yanaendelea? Come-on watanzania tubadilike.

Mwaka huu 2019 Malawi inafanya uchaguzi Mkuu wa Rais na wabunge. Rais Peter Mutharika anagombea kupitia chama tawala cha DPP. Makamu wake Saulos Chilima anagombea kupitia chama cha upinzani cha UTM. Waziri wa Ardhi Atupele Muluzi, anagombea kupitia chama cha upinzani cha UDF. Rais wa zamani Joyce Banda nae anagombea kupitia chama chake cha PP.

Kama wao (Malawi) wameweza kwanini sisi tushindwe. Inawezekana.
Usitegemee aliyeko ccm awe mpinzani kwa sasa na kuendelea.
Muulize Mwapachu.
 
Wote watapigwa miti watangukia pua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom