Wizara ya kazi haihusiki na kutoa ajira,ulitakiwa usome magazeti na uombe kazi, pia ulitaka akupe kazi kwa kujuana? naona kama imeandikwa na Membe kwani anajulikana kwa fitna za magazeti na mitandao.
Mudhihir alikuwa ana kazi nyingi kama alikupa dakika tatu mshukuru kwani ulikuwa huna appointment nae na pia unapoteza muda wa Taifa kwa kutaka upewe kazi kwa kujuana au kiukabila KUMBUKA HAKUWA WAZIRI WA WATU WA MCHINGA AU LINDI,jee kwani ulipokwenda kwa Membe alikupa kazi kwa kigezo cha kujuana?
Mtoto wa Mudhihir aliamua kujiajiri na sio kutaka ajiriwe kwa jina la baba yake kama tunavyolia na watoto wa vigogo BOT.
Punguza jazba unapotoa mada, inaelekea wewe ndie Mdhihir!!! Nilishasema wazi kwamba inawezekana kwamba sikutakiwa kwenda pale INGAWAJE KUNA WATU KIBAO WALIKUWA WANAENDA KWA SHIDA KAMA YANGU!!!! Ninachozungumza ni tabia ya mdhihiri ya visasi!! Mbona wengine aliwasikiliza na kuwaelimisha na kuwashauri? why me? alikuwa na kazi nyingi zipi?! Wakati tupo pale alikuja Salum Madadi mtu wa Mchinga mwenzake!! Walikaa ofisini zaidi ya saa nzima wakiongea upuuzi mtupu!! Ninachosema hiyo ndio tabia ya mdhiri na kama ndio wewe basi ndio tabia yako!! Ni busara zaidi kujenga kiwanda Lindi kuliko mchinga, acha jazba na jadili hoja!!
Sawa mimi ni Mudhihir na wewe Membe umefurahi? kwanza rafiki yangu hakuna MDHIRI au MDHIHIRI kuna MUDHIHIR,kwanini umtukane Salum MADADI kwa ugomvi wako na Mudhihir?
nia yako kwenda kwa Mudhihir HAIKUWA nzuri ndio maana akaona aongee nawe kwa dakika tatu tu kwani umejaa chuki,visasi,majungu na kufuatafuata watu,umekaa na kusikiliza mazungumzo yasiyokuhusu kati ya Madadi na Mudhihir kwa saa nzima,jee ndio uungwana aliokufundisha MEMBE AU ulipewa kibarua cha kumchunguza na kumfuatilia Mudhihir na Membe?

POLE SANA, NASIKITIKA BADO NI MTU USIYETAKA KUELEWA. Ulisema kwamba mdhihiri sujui nani sijui alikuwa na kazi nyingi!!Angekuwa na kazi nyingi angeamishia maongezi ya maswahiba zake ofisini?Ajabu pale ofisini kwake aliweka bango kwamba ndugu, jama na marafiki maongezi ni nyumbani!!!! Ni bahati nimegundua unajadili kitu kwa biasness, lakini ukubali usikubali mdhihiri ni hakuwa na hoja ya msingi!! By the way, Mbunge wa Mtama kwanini amwekee mizengwe mbunge wa mchinga wakati majimbo ni tofauti? Au ndio hiyo Joka La Mdimu? Kwa mtu asiye na vision ndo anaweza kuona hivyo, lakini jiulize kama watu hawataki kukaa Lindi watakaa Mchinga? Wakati mtazamo wa mudhihiri kwenye huo mradi ni kwa jimbo la mchinga yeye membe (kama kweli anahusika) ana mtazamo wa wan-Lindi wote!! Isitoshe Lindi ni Centre wakati Mchinga ipo pembeni!! Tatizo liko wapi? Naamini una maslahi na Mudhihiri au wewe mwenyewe ni mudhiri au amekuweka hapa ili uwe unamjibia, lakini angalia hoja!!! About mimi na membe, sio ndugu yangu na wala hajawahi kunisaidia kwa chochote lakini watu wa Lindi wanafahamu kwamba Membe yupo focused kuliko Mudhihiri ambae yeye wasiwasi wake kila siku ni kuchukuliwa kiti chake cha ubunge!! Membe may noy be good for Tanzania (though he is) but for Lindi is more than good na wala si kwa sababu ya uwaziri wake!!!
Mimi nipo JF toka feb 2007 wakati MEMBE akiwa sio waziri kamili.sina maslahi na MUDHIHIR, kwani tabia za MEMBE za UMBEA,CHUKI,UPEKEPEKE,MAJUNGU,KUJIPENDEKEZA hakuna asiyezijua.
OK ULIPOONA MUDHIHIR HANA msaada na wewe kwanini hukuenda kwa MEMBE ILIHALI UNAJUA HE IS MORE THAN GOOD?
Nakushauri uishie hapa endelea kujibu ili nimuweke wazi zaidi,naogopa kumvurugia kampeni zake za urais,kuna mambo nikiyaweka hapa atakosa support.
Kwanini angoje 2015,huo ni uoga na unafiki,kama anaweza si agombee mwakani 2010,ili aiokoe nchi?mambo ya kungojea mpaka mkubwa aondoke ili asionekane kumpinga mkuu huo ni uoga,tunataka watu jasiri kama ndugu yetu Shibuda,ukondoo haukufikisha mbali Membe! habari ndio hiyo.
Hahahaahaa!!! The way u say ni kama unazani nina maslahi kwa huyo Membe!! ukimuanika au kutomuanika is none of my business!!! UMBEA,CHUKI,UPEKEPEKE,MAJUNGU,KUJIPENDEKEZA is all about POLITICS, usiniambie kwamba hulifahamu hilo mkuu!! By the way, nilienda kwa Mudhihiri kv alikuwa ni waziri wa kazi, and may be kv nilikuwa bado immature nilizani angeweza kunisaidia at least kwa ushauri kama ambavyo alifanya kwa wengine!! Hivyo basi nazani sikuwa na sababu za kwenda kwa Membe. Inaelekea unafahamu mambo mengi lakini unatawaliwa na ushabiki na ndio maana unashindwa kujadili hoja.Watu wanapotoka vyuoni wanazunguka kila kona wanakozani wanaweza kwa namna moja au nyingine wanaweza kufanikisha ndoto zao!! Usiniambie kwamba nawe hujawahi kwenda kwa yeyote kuomba msaada kama huo, na kama hujawahi then good!!! Hata hivyo, hata kama Membe is NOT MORE MORE THAN GOOD, sizani kama unaweza kumlinganisha na Mudhihiri!! anyway, i hope this's the end of our conversation si kwa sababu naogopa utamuadhili Membe, coz' is of no use!!! Mimi nilijadili hoja ya Mudhiri na Membe, ajabu ukaanza kuni-attack mimi moja kwa moja? Ndio maana nasema ni mtu unayetawaliwa na ushabiki kuliko hoja!
Uwaziri wa sasa amshukuru Mwikalo ambaye kampigia kampeni.
Kama yeye anaamini ana MERIT za kuwa rais 2015 kwanini kampa Masilingi milioni mia tatu za kumfanya awe mwenyekiti wa kamati ya Bunge inayoshughulika na wizara yake? yapo Mengi bora ufunge mdomo wako.
Mkuu huu ni uongo na kama wewe ni mfuasi wa dini tafadhali nenda katubu kwa kuongopa JF. Ramadhani Mwikalo hana ubavu wa kumpigia Membe kampeni na kumfanya awe waziri, na kwa taarifa yako Mwikalo hata maisha yake USA hayajanyooka na kama angekuwa na ubavu wa kampeni basi angegombea ubunge kwao Tanga na kumtoa Kigoda kwenye jimbo lake.
Mwikalo, Membe na JK ni watu wanaojuwana kwa muda mrefu. JK alisoma shule moja na Mwikalo (sekondari), na Membe alimfahamu Mwikalo alipokuwa ubalozini Canada miaka ya 90, kabla Mwikalo hajahamia USA alipoona maisha yanamshinda Canada. Mwikalo ni IT guy by profession na mwaka 2005 alikwenda Tanzania kama IT consultant wa kanisa Moja Tanga, ndipo alipoonana na Membe wakati wa kampeni. By no means alikwenda kufanya kampeni za Membe. Kwanini akafanye kampeni za Membe, si angefanya za JK aliyesoma naye shule moja na kucheza naye Basketball?
Mkuu naona unataka kuondoa credibility ya JF badala ya credibility Membe. Huu ni uongo mwingine. Membe ni waziri Maskini kuliko mawaziri wote wa JK as of now. HANA UBAVU WA KUWA NA MILIONI 300. Acha uongo. Kama Masilingi alipewa hizo ela na Membe, je Membe angekuwa na ubavu wa kumrudisha nyumbani mdogo wake Masilingi mara baada ya kushindwa kazi katika ubalozi wa Tz Canada?
Sasa kama wewe nawe unaleta uongo na majungu hapa JF, unatofauti gani na huyo Membe unayesema ana umbea na majungu? Katubu.

Mkuu umejichanganya mwanzo unasema JK,Mwikalo na Membe wanajuana muda mrefu.
MEMBE kwenye Tanzania Daima la jumatano hii anasema anajuana na JK toka mwaka sabini..
.Mbele unasema kuwa MWIKALO alimjua Membe kwenye kampeni 2005,katikati umesema walijuana na Mwikalo Canada.
kama JK na Mwikalo ni marafiki wa karibu basi lazima Membe angemjua Mwikalo toka hiyo miaka ya 70 aliyosema alikuwa na JK kwani Jk amesoma Tanga school na Mwikalo.
.naomba nikukanushe kuwa MWIKALO hajafanikiwa Marekani nakuuliza unajua analipwa kiasi gani kwa utalaam wake wa IT?
Mwikalo ni katika waTanzania walifanikiwa kwenye fani ya ITanalipwa malaki ya madola kwa mwaka.
.Kuonesha kuwa najua vizuri MWIKALO alikwenda MTAMA jimboni kwa Membe 2005 wakati wa uchaguzi.
Kauli yako ya kusema Membe ni waziri masikini kuliko mawaziri wote wa JK,huo ni uongo nenda katubu ndugu yangu,kwanza unapokuwa waziri agharabu kuwa masikini,unataka kuniambia kuwa waziri Membe hana pesa mbele ya waziri CELINA KOMBANI?au Waziri WASSIRA,WAZIRI NSWANZUGWAKO,WAZIRI SITTA,KAPUYA,WAZIRI IDD SEIF n.k
ANAWEZA asiwe na pesa kama MAGUFURI,MRAMBA,YONA,MASHA.LAKINI yeye sio waziri masikini kuliko wote.
kWANZA yuko kwenye wizara yenye marupurupu mazuri kutokana na safari anatengeneza pesa nyingi za safari za nje.fuatilia bajeti ya hivi karibuni na pesa zinazotumika kwa Safari za nje ambako Membe ndio kinara,
wizara kama ya Mama Sitta haina safari labda Mama Sitta alazimishe.
PIA MEMBE yuko nyuma ya mradi wa vitambulisho vya Taifa akishirikiana kwa karibu na Mwikalo, so far wao ndio wameshinda huko atavuna pesa nyingi sana ni mabilioni ya shilingi.
Milioni mia tatu kwa MEMBE sio tatizo kwani MWIKALO hashindwi kumsaidia.
kuhusu mdogo wake Masilingi,naomba uelewe mtendaji mkuu wa wizara ya mambo ya nje ni katibu mkuu sio waziri.chini ya katibu mkuu kuna wakurugenzi wa madawati hawa ndio wenye kujua na kufanya nani kafanya nini?sio MEMBE.
Kwani huna sifa hadi upate vyeo kwa upekepeke,majungu,kujifanya rais no2,uzushu,Fitna,roho ya joka la Mdimuni n.k tabia hizo si za kiongozi ni za wanawake wa mitaani kama Magomeni,Ilala na Vingunguti.
MEMBE alifaa sana wizara ya Habari kwa uwezo wa majungu na fitna aliona nao.
namalizia Membe hamuwezi Mudhihir kwani Mudhihir amekuwa mbunge kwa miaka 14 na ameshika nyadhifa za uwaziri kabla ya Membe, hujui kuwa 2000-2005 Membe alikuwa kazi yake kusinzia bungeni?
lini na wapi alisema kitu cha maana bungeni? ndio maana Rais Mkapa akaona hana sababu ya kumpa hata unaibu uwaziri licha ya kuwa wanatoka wote kusini,alipoona Mambo mabaya akaona ajipenyezi kwenye kundi la Mtandao ili apate uwaziri,alipochaguliwa tu JK akaanza kuyatumia magazeti kujipigia debe kuwa JK atamchagua yeye kuwa waziri mkuu kwa vile ni mchapa kazi,kazi hiyo alichapa wapi wakati bunge la 2000-2005 alikuwa akipiga usingizi kama KOBE?
Uwaziri wa sasa amshukuru Mwikalo ambaye kampigia kampeni,kama yeye anaamini ana MERIT za kuwa rais 2015 kwanini kampa Masilingi milioni mia tatu za kumfanya awe mwenyekiti wa kamati ya Bunge inayoshughulika na wizara yake?
yapo Mengi bora ufunge mdomo wako.
Mkuu huu ni uongo na kama wewe ni mfuasi wa dini tafadhali nenda katubu kwa kuongopa JF. Ramadhani Mwikalo hana ubavu wa kumpigia Membe kampeni na kumfanya awe waziri, na kwa taarifa yako Mwikalo hata maisha yake USA hayajanyooka na kama angekuwa na ubavu wa kampeni basi angegombea ubunge kwao Tanga na kumtoa Kigoda kwenye jimbo lake.
Mwikalo, Membe na JK ni watu wanaojuwana kwa muda mrefu. JK alisoma shule moja na Mwikalo (sekondari), na Membe alimfahamu Mwikalo alipokuwa ubalozini Canada miaka ya 90, kabla Mwikalo hajahamia USA alipoona maisha yanamshinda Canada. Mwikalo ni IT guy by profession na mwaka 2005 alikwenda Tanzania kama IT consultant wa kanisa Moja Tanga, ndipo alipoonana na Membe wakati wa kampeni. By no means alikwenda kufanya kampeni za Membe. Kwanini akafanye kampeni za Membe, si angefanya za JK aliyesoma naye shule moja na kucheza naye Basketball?
Mkuu naona unataka kuondoa credibility ya JF badala ya credibility Membe. Huu ni uongo mwingine. Membe ni waziri Maskini kuliko mawaziri wote wa JK as of now. HANA UBAVU WA KUWA NA MILIONI 300. Acha uongo. Kama Masilingi alipewa hizo ela na Membe, je Membe angekuwa na ubavu wa kumrudisha nyumbani mdogo wake Masilingi mara baada ya kushindwa kazi katika ubalozi wa Tz Canada?
Sasa kama wewe nawe unaleta uongo na majungu hapa JF, unatofauti gani na huyo Membe unayesema ana umbea na majungu? Katubu.
MgonjwaUkimwi,
Mkuu, habari ya Mwikalo kushindwa maisha Canada sii kweli, alikuwa na kazi nzuri tu..Jamaa alihamia US kwa sababu alipata ajira yenye cheo na fedha zaidi..... mabo kwneda juu mkuu wangu..
Kilchotangulia, Mwikalo ndiye aliyepeleka Idea ya kwanza kufungua mtandao Zanzibar - Tanzania.. wajanja wakamzunguka ndipo akanawa mikono na kuhamia US..