Membe kuwania urais 2015...

Membe kuwania urais 2015...

Mgonjwa,

..what i wrote was my own interpretation of what was on the newspapers. thanks for the correction.

..Mudhihiri analilia kiwanda kijengwe jimboni kwake, na anahisi Membe "nyoka wa mdimu" anamuwekea roho mbaya ktk suala hilo.

..kwa tafsiri yangu wanamtandao ni mafisadi, na Membe kuwa kinara ktk kundi hilo ni fisadi pia.

..hizi mbinu anazotumia Mudhihiri sasa hivi ndiyo mbinu alizotumia Membe na wanamtandao wenzake kuwachafua wenzao kabla ya uchaguzi wa 2005.

..it is now Membe's turn to taste his own medicine.

..kwa upande mwingine sidhani...sidhani kama Bernard Camilius Membe is a Presidential material.

..inawezekana kwamba Mudhihir anatumiwa na mafisadi, lakini ktk hili la kumshughulikia Membe, nadhani mafisadi wanafanya jambo la mbolea kwa taifa letu.

Ili tukubaliane na tafsiri yako, basi ungeweka wazi UFISADI alioufanya Membe, mana hili neno fisadi sasa naona limepoteza maana yake.
 
MgonjwaUkimwi,

..tumia tafsiri ya ufisadi kama unavyoielewa wewe.

..juu ya hayo, Membe kazi ya Uraisi hana uwezo nayo.

NB:

..mada kuu hapa ni Membe na Uraisi 2015.
 
Nimeisoma tena tena hii newspaper article sijaona mahala Membe "anakiri" kugombea urais 2015.

Mudhihir ni muflis na mpayukaji tu. Limestone inapatikana across Lindi yote hii kulazimisha kiwanda kijengwe Mchinga haina mashiko.

Kama angekuwa makini kidogo wala asinge hata tamani kujengwa kiwanda cha Saruji jimboni kwake madhara yake ni makubwa kuliko hizo faida anazotegemea.
 
Mbona 2015 ni mbali sana! Swala hili kulijadili kwa kina wakati huu ni kupoteza wakati.

The political landscape is likely to so drastically change that it is futile to speculate on candidates of political parties like ccm, including the ones that will emerge from its disintegration
 
Aaah wapi Dilunga? waandishi wetu hao! direct quote ya Membe inasema jamaa hataki kulumbana na Mudhihir, kichwa cha habari "Membe akiri kuwania Urais 2015"

Ukiisoma kwa umakini mdogo tu hiyo habari hakuna mahala Membe "anakiri" kugombea urais ni maneno yaliyopandikizwa tu na mwandishi kui "sexy up" story.

Huu ni uharibifu mkubwa mwandishi kaunga unga story kwa super glue huku akijichanganya mara ukatoliki, mara OIC mradi kufikia malengo yake ya uharibifu.

Shame on you waandishi uchwara!

Membe anajulikana kuwa na mbinu chafu kwenye siasa suala la kugombea urais liko siku nyingi kulikuwa na mjadala hapa hapa JF juu ya harakati za MEMBE na pia kuanza kufuturisha waislam na kusafiri na wafanyabiashara kama kina Malinzi.

lakini kuwa waziri wa mambo ya nje sio Tiketi ya kuwa rais wa Tanzania. Mkapa hakutoka direct wizara ya Mambo ya nje alipitia wizara nyingi sana kabla ya kuwa Rais wa Tanzania, JK naye angekuwa rais toka 1995 wakati akiwa waziri wa Fedha,ndoto na mikakati ya Urais wa JK inajulikana muda mrefu kabla ya kuwa Foreign hata kama angekuwa waziri Tamisemi still JK angekuwa rais kwa mikakati aliyojiwekea.

Membe asisahau kuwa JK kakulia kwenye chama na kaanzia chini kabisa wakati yeye hana sifa hiyo na hakijui chama.
 
Sasa uislam wako unahusiana nini na subject matter?

Talk abt kukurupuka!
 
sasa uislam wako unahusiana nini na subject matter?

Talk abt kukurupuka!
mimi sio muislam ,membe kwenye kujipendekeza kwa waislam amekuwa akiwapa futari kama njia yake ya kwenda ikulu.soma vitambulisho vya taifa umjue membe.
 
Nimeisoma tena tena hii newspaper article sijaona mahala Membe "anakiri" kugombea urais 2015.

Mudhihir ni muflis na mpayukaji tu. Limestone inapatikana across Lindi yote hii kulazimisha kiwanda kijengwe Mchinga haina mashiko.

Kama angekuwa makini kidogo wala asinge hata tamani kujengwa kiwanda cha Saruji jimboni kwake madhara yake ni makubwa kuliko hizo faida anazotegemea.

Wewe unaielewaje hii quote hapa chini?

Alipoulizwa iwapo anahisi matamshi ya Mudhihir yana msukumo wa maadui wake kisiasa ambao wanahisi anaweza kugombea urais 2015, Membe alisema kwa vyovyote itakuwa hivyo.

"Bila shaka ... bila shaka. Mudhihiri ninayemfahamu mimi asingeweza kutoa matamshi ya aina ile, lakini nasema sihitaji kulumbana naye namheshimu sana," alisisitiza Membe.

Ama Membe ni tutsa lililoingizwa mtegoni bila kujijua kwa swali lililo na mimba ya swali jengine, au he is too cocky and knew that he was acknowledging entering the presidential race waaay ahead of time.

Either are not presidential, let alone statesmanlike.

Mtu akikuuliza "Hivi hawa majambazi kwa nini wanakufuatafuata, kuna tetesi kuwa wanataka kukuibia zile shilingi milioni zako kumi zilizoko nyumbani"

Ukijibu "Bila shaka, bila shaka" unakubali si tu kwamba majambazi wanataka kukuibia, bali pia kwamba una milioni kumi kule nyumbani, ama sivyo ungetoa maelezo ya kukanusha kwamba una milioni kumi nyumbani.

Hicho ndicho alichofanya Membe, kwa kusema "Bila shaka" alikuwa anakubali si tu Mudhihir kumuandama, bali pia na idea nzima ya kwamba Mudhihir anamuandama yeye Membe kwa ajili ya mpambano wa urais, na hivyo kwa sababu hakufafanua kwamba hayumo katika mpambano wa urais, na badala yake amesema "bila shaka" amekubali kwamba bila shaka anasakamwa kwa sababu ya kugombea kwake urais.
 
Bluray,

Nionyeshe mahala Membe "alipokiri" atagombea Urais 2015 kumbuka neno "kukiri"
 
mimi sio muislam ,membe kwenye kujipendekeza kwa waislam amekuwa akiwapa futari kama njia yake ya kwenda ikulu.soma vitambulisho vya taifa umjue membe.

Ikiwa kila anae futurisha anajipendekeza kwa waislam then Membe hayupi peke yake, Mkapa, Mengi, Mabalozi wa UK, US hata Bush amefuturisha nao wanajipendeza kwa waislam?

Hivi toka lini fitari ikiwa "njia pekee" ya kwenda Ikulu?

Unamwaga pumba tu kabla sijasoma vitambulisho vya taifa, soma wewe kwanza heading ya thread utaona haina uhusiano na vitambulisho!
 
Masatu.
Dalili zake zinajionesha wazi na hivi karibuni amekuwa akiitumia sana BBC idhaa ya kiswahili kujijengea umaarufu wa lazima.sikiliza hata BBC dira ya dunia leo.
 
Masatu.
Dalili zake zinajionesha wazi na hivi karibuni amekuwa akiitumia sana BBC idhaa ya kiswahili kujijengea umaarufu wa lazima.sikiliza hata BBC dira ya dunia leo.

Ahhh! im fed up na haya ma cross reference unayo nirushia, mara futari,
mara vitambulisho vya taifa na sasa nisikilize BBC! Sorry sina muda huo.
 
Ahhh! im fed up na haya ma cross reference unayo nirushia, mara futari,
mara vitambulisho vya taifa na sasa nisikilize BBC! Sorry sina muda huo.

Masatu,
Tulia tu upewe mashambulizi. Huna muda wa nini? Heee, si unataka kila habari ushinde, sasa umekutana na jamaa mvumilivu kama Mudhihr. Yeye yupo polepole tu wala hana haraka. Anakupa tu page na radio wapi ukasome, na ukirudi kumjibu, anakupa nyingine. Vumilia tu, kushinda kuko karibu YEGO!!!
 
Membe amekuwa akilazimisha umaarufu na kujifanya ni senior minister wakati kuna kina Malmo na kadhalika.

Masatu.
Usiwe na hasira tunaelekeza na kupeana reference.
 
Bluray,

Nionyeshe mahala Membe "alipokiri" atagombea Urais 2015 kumbuka neno "kukiri"

"Bila shaka, bila shaka" in the context of the question hapo unaielewaje? Bila shaka nini?

Au unataka mpaka aweke sahihi azimio la kugombea urais 2015 live on national TV ndiyo ukubali?

Hakutumia fursa hii kukanusha habari hizi za kugombea urais na mpaka leo baada ya habari hizi kuchapishwa hajakanusha.

He is either dumb or cocky, and neither of the two are presidential, forget about statesmanlike.

come to think of it, he may very well be dumb and cocky, a dangerous combination.
 
Watanzania hatutakiwi kuangalia mambo kwa mtazamo wowote katika hayo mawili uliyotaja hapo. Tunachotakiwa ni kuangalia mambo kwa mtazamo wa Kiutu na Kimaadili, kwa sababu katika haya, siasa na dini ni sehemu tu ndani yake.

Asante mkuu, haswa hili ni swala la kiutendaji zaidi ya wanavyofikiria kisiasa au kidini.
Nafikiri mawazo kama haya yanakuja kwasababu watz wamechoka, ngoma zinazochezwa sasa hivi ni za kidini na kisiasa watendaji wamesahahu majukumu yapo bali kuchafuana.
Hebu tuwaaangalie mh. Mwandosya na mh. magufuli ni watendaji wazuri sana, kwa maoni yangu....porojo za siasa wala kidini hawamo wala hawana muda huo wanajua wajibu wao na wanautekeleza kikamilifu, hata wakiwekwa kwenye wizara mbovu zilizokaribia kufa, they bring changes hence development...
Jamani mambo yote 2010, watunga porojo na mashairi yasiyo na vina ni kuwabwaga tu.
 
unajua mimi nikifikiria rais ajaye kama mungu atatuweka hai wana jamii forums wengi nakonda kwa jinsi watu wanavyoutolea macho tena kwa makundi,akipatikana rais mwepesi basi taifa hili limeuzwa!! yaani anahitajika mtu mzalendo kweli kweli na moyo shupavu tena asiye na makundi haya mambo haya yanahaitajia tumwombe mwenyezi mungu siasa zetu za sasa ni full businessss tupu na tulivyokuwa wepesi wa kuchagua mtu kwa pilau na kanga plus ti-shirt kazi ipo sijui kama Mh heshimiwa Membe analijua hilo nao mafisadi bado wapo wanautolea macho huo urais ili waendeleee kugawana ka keki ketu kwani kwa sasa kana mushikeri ukigusa tu kuna watu lazima waseme tu kama nia yake ni hiyo haya agombee tu nihaki yake kama mtanzania na mwanachama wa ccm lakini je ataliweza sakata la huko ndani ya chama chake maana ukipita huko huku nje bado kwepesi kwa sasa kila laheri mh shimiwa membe na ndoto zako za ikulu
 
kwani kuna dhambi Membe akisema ataombea urais in 2010?

kama ipo ni ipi?
 
kwani kuna dhambi Membe akisema ataombea urais in 2010?

kama ipo ni ipi?

Siyo 2010 na wewe ni 2015. Si dhambi, ila

1. Anajionyesha "amateur" katika game.
2. Ana sink lower than Ally Karume na Hussein Mwinyi.
3. Anajianika wide open kwa mashambuklizi unnecessarily early.
4. Anajionyesha kwamba hayuko focused kwenye kazi yake ya sasa na anaitumia tu kama stepping stone to Ikulu.
5. A myriad of reasons not to declare early.
 
Back
Top Bottom