Nadhani kikatiba Chief Justice hawezi kushiriki katika masuala ya executive branch. Ndiyo maana serikali ina Attorney General.Hivi kuna mtu anaweza kutueleza role ya Bwana Membe kwenye kikao cha katiba Ikulu?
why Foreign minister and not watu wa Judiciary kama akina judge Othman na waziri husika?
Katika wajumbe wa magwanda hakuwepo waziri kivuli wa mambo ya nje? Kama alikuwepo basi jibu umepata.
Nadhani kikatiba Chief Justice hawezi kushiriki katika masuala ya executive branch. Ndiyo maana serikali ina Attorney General.
Hiyo hata mimi sijui. Labda kwa sababu alikuwepo mwenzake kutoka Chadema akaona afadhali na yeye awepo.sawa sasa Membe alikuwa ana role gani kwenye kile kikao?
sawa sasa Membe alikuwa ana role gani kwenye kile kikao?
hizi ni hisia zangu za kuwepo kwa membe huenda labda kwa kuwa yeye ndiye uwasiliana na balozi mbali mbalii hapa nchini na kama unavyojua balozi nyingi hapa nchini zinafuatilia kwa karibu sana kuhusiana na swala hili la katiba kama utakumbuka walikuwepo bungeni kwenye mjadala wa katiba kwahiyo ninahisi kuwa yeye yuko responsible kuzitaarifu balozi zilizoko nchini kujua nini kinachoendelea.
Jamani, hawa mawaziri si ndio wasaidizi wakuu wa Rais, kuna ubaya gani akiwepo?
Isitoshe, Membe ni kichwa.
mjomba majibu yako yameshiba kwahiyo Good job nimejaribu kufikiria kwa upande wa pili kwamba wakati membe na mzee wa kaya wanaposafiri kwenda kutembeza bakuli nchi za ulaya na america yeye membe kama waziri wa mambo lazima aelewe hali halisi ya kisiasa ya hapa nchini kwa sababu amini usiamini nchi zinapata taarifa kutoka kwa balozi na membe pia akiwatembelea wanamuuliza maswali kutaka kujua upande wa serikali unasimama vipi.ina maanza balozi za nje zinasikiliza habr toka upande mmoja tuu
huwa wanakuwa na mtu anaitwa Political attache ( ambaye mara nyingi ni spy/intelligence officer wa) lakini cover yake ndio hiyo political attache. HUyu huwa anapata habari toka sehem mbali mbali za hali ya kisiasa na Membe is just a source of his/her intel gathering sasa sidhani kuwa anapata habari exclusive from Membe pekee...wapinzani (tafadhali rejea WIKI CABLES) utaona akina zitto et al wanapeleka na wanakutana nao formally na informal kupata upande wa pili wa hali ya kisiasa nchini
hivyo kitendawili cha membe kiko pale pale...role yake pale Ikulu ilikuwa ni nini?
unless hao walio attend huo mkutano wanaweza kutupa mwanga zaidi....maana hatujui hata huyu rais wetu serior staff wake ni akina nani na wanafanya nini...kila kitu wao TOP SECRET press releases kama zile tungezipata straight from their website lakini HAWATAKI ikulu iwe na website na hii ni ngumu sana when it comes to open govt/democracy
anyway mwenye kujua zaidi atujuze role ya Mr Johns Hopkins ilikuwa ni nini kwenye mkutano wa Katiba ikulu?
forthcoming prez? Or!
Jamani, hawa mawaziri si ndio wasaidizi wakuu wa Rais, kuna ubaya gani akiwepo?
Isitoshe, Membe ni kichwa.
Wangekuwa wanamsaidia nchi isingekuwa ovyo hivyo.Jamani, hawa mawaziri si ndio wasaidizi wakuu wa Rais, kuna ubaya gani akiwepo?
Isitoshe, Membe ni kichwa.