Membe kuwania urais 2015...

Membe kuwania urais 2015...

mje na ajenda mpya, mshakosa mwelekeo

Mkuu jibu hoja basi mbona bado kuna mawaziri kibao wameteuliwa kuingia kwenye secretariet? Na wewe unasema chama kimeamua wasiingie huko? Ukweli ni upi sasa?
 
safi sanaaaaaaaaa, huyu jamaa sio siri wadau ana dharau sana, na pia nadhan uwezo wake wa kupambanua mambo critically ni mdogo, kwa kweli huyu jamaa kuchomolewa nimefurahi sana. JK mpige chini katika uwazir pia
 
Kulingana na maamuzi ya chama hakuna waziri atakae ingia kwenye secretarieti hivyo Membe kurudi isingewezekana hata kidogo.nia ni kuhakikisha wanaoteuliwa wanakuwa full time kwenye chama.
wassira na wenzie hawajaingia kwenye secretaieti ila kamati kuu ya chama.naomba tofauti ionekane hapa tafadhali
 
AFADHALI kapunguzwa mtaalam wa kuvujisha siri za vikao katika magazeti. Lakini kabakia Nape kwa hiyo hali iko pale pale japokuwa sasa atatakiwa kuwa makini maana ndiye atatakiwa kuzungumza taarifa za vikao. Huyu Membe ni waziri wa Hovyo kweli nashangaa kwa nini bado anaachiwa nafasi.
 
Huyu si aliitwa Nyoka wa Mdimu?........sasa na yeye mbona kang'atwa
 
Waziri wa mambo ya nje bw. membe naona ni kama ametoswa "KWISHNEY" 2015 maana kuchomolewa kwake pale kwenye CC ni kama kifo chake kimewadia kisisa.sijui hii mijizi ya ccm itatuwekea nani 2015.naomba tujadili wanajf.

Kwani Membe ni nani? By the way, ina maana CCM usipokuwa CC huwezi gombea Urais? Basi makubwa.
 
Kuna tetesi kuwa Membe akiwa mtumishi wa TISS ndio aliyechora ramani ya kumuingiza JK madarakani. Membe na JK wakiwa hawana pesa za kufanikisa mpango wao wakaomba za msaada kwa washika dau wao LWS na RA ili washinde uchaguzi, kwa makubaliano ya kuachiana kijiti kati ya JK, afuate Membe, LWS then RA. Sasa kama Membe ametolewa CC je mpango wao umeishia hewani?au kuna consipiracy. Poor Membe!
 
total crap.....
 
Wasira, Huseini Mwinyi, Prof Mbarawa, Samia Suluhu na Nahodha wao ni mawasiri na wajumbe wa kamati kuu; wanaotakiwa wasiwe na nyadhifa za kiserikali ni wajumbe wa sekretarieti ambao ni akina Mkama, Chiligati, Makamba Jr, Nape na wengineo
 
Hakuna kiongozi mzuri anaeweza kupatikana ndani ya CCM kwa sasa. kwahiyo waache wafu wazikane.

kuna mwana CDM nilikuwa naongea nae mida fulan, akawa anafurahia na kuomba dua kuwa EL ahamie chadema, kuwa akihamia Arusha yote CDM wataikamata, nikamuuliza mbona jamaa ni fisadi? kani CDM mnahitaji mafisadi? akasema hakuna tatizo akawa anamsifia kuwa ni kiongozi mzuri, sasa Saigoni sijui mwana CDM huyo utakubaliana naye?
 
Kuna tetesi kuwa Membe akiwa mtumishi wa TISS ndio aliyechora ramani ya kumuingiza JK madarakani. Membe na JK wakiwa hawana pesa za kufanikisa mpango wao wakaomba za msaada kwa washika dau wao LWS na RA ili washinde uchaguzi, kwa makubaliano ya kuachiana kijiti kati ya JK, afuate Membe, LWS then RA. Sasa kama Membe ametolewa CC je mpango wao umeishia hewani?au kuna consipiracy. Poor Membe!

poor thinking..hao watu wana umri gani mpaka wakubali kupokezana JK afuate Membe,halafu LWS(sijui ndiyo nani?),halafu RA?Kumbuka Urais ni wa vipindi vya miaka mitano mitano
 
acha uzushi!!! hakuna waziri atakaye kuwa kwenye secretariet ndivyo walivyoamua ccm kuanzia sasa, ili pawepo na accountability kwa upande wa chama na serikali!!!

Na Tyson je?

Hussein Mwinyi - Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa,
Shamsi Vuai Nahodha- Waziri wa mambo ya ndani

Huyo jamaa hapo juu sijui anafikiri Watanzania mabwege, wasoma habari na kusahau kama kuku!!! Sasa si arudi afafanue.............. Unless atwambie wanaachia ngazi uwaziri next week!!! No wonder CCM wanaiogopa JF!!!
 
kuna mwana CDM nilikuwa naongea nae mida fulan, akawa anafurahia na kuomba dua kuwa EL ahamie chadema, kuwa akihamia Arusha yote CDM wataikamata, nikamuuliza mbona jamaa ni fisadi? kani CDM mnahitaji mafisadi? akasema hakuna tatizo akawa anamsifia kuwa ni kiongozi mzuri, sasa Saigoni sijui mwana CDM huyo utakubaliana naye?

Huyo jamaa yako inawezekana ni CDM machoni halafu CCM moyoni. Mwana CDM moyoni hawezi kuwa na mawazo mgando hivyo.
 
Self indepence, Clarity, Vision and Character is seriously misiing in MR Membe!

And

I dont think if he is in a position to modify any of that ....!

Honestly speaking the new Tanzania doesnt need him as a leader
 
Wewe hamnazo kwelikweli, nani kakwambia kwamba mtu akiwa nje ya CC ndiyo anakosa nguvu? Lowassa yuko CC? Usitake kubwatabwata kutatanisha kauli. Kama ulitaka tu kumtaja Mh.Membe nawe uonekane unamjua, labda. Lakini huna hoja.

ndo nyie mende wanaostaili expel. Ivi unamnukuu Lowasa kuwa na nguvù?kwani lowasa kawa rais kutokea nje ya CC? Au umetoka kunywa kibuku unapitia jamvini? Usitukane wakati hata thread yenyewe huielewi! Ivi unamsema Double X eti kumjua mende mwenzio,no membe mwenzio unadhani ata ukimuuliza mtoto anayesoma amekaa chini pale hananasif primary atakosa kumjua au unaachama achama tu! Haraka haraka nimemuuliza ibra(12 yrs) hapa nyumbani mwenyewe kanijibu, "membe si yule waziri msaidizi anayemsindikiza Rais kwenye mikutano ya nchi za nje?" Sasa hapa unadhani Double X mwenye kujua kuleta thread et all ashindwe kumjua membe? Tatizo si kumjua ni kujadili mada je nani atawatetea mafisadi2015,akikaa membe,6,magufuli hapa ntawaambia cdm 2015 wafanye kampeni,tofauti na hapo cc ya ccm impitishe mtu 'wao' mwingne,tutaiomba cdm isipige kampeni 2015,bali ikaandae wapi tutakapoenda kumuapisha Rais wa pili wa Taifa baada ya mwl na wasanii kibao!
 
kweli nakuunga mkono m2 wa wa2. Membe kashafulia. anajaribu kupita vyuoni kama UDOM ili apandishe valuability yake. kweli huu ndio mwisho wa CCM.
 
Kulingana na maamuzi ya chama hakuna waziri atakae ingia kwenye secretarieti hivyo Membe kurudi isingewezekana hata kidogo.nia ni kuhakikisha wanaoteuliwa wanakuwa full time kwenye chama.
wassira na wenzie hawajaingia kwenye secretaieti ila kamati kuu ya chama.naomba tofauti ionekane hapa tafadhali.

Kwani Membe hafai kuwa kamati kuu, mkuu? what happened? Letz look at this critically.
 
Back
Top Bottom