Membe kuwania urais 2015...

Membe kuwania urais 2015...

Membe ni Mkristo anayeabudu kutia madhehebu ya Kikatoliki. Kuitwa na viongozi wake wa dini ni jambo la kawaida kabisa, isitoshe, yeye anatambua na kuheshimu dini nyingine, hivyo hana sababu ya kutowasaidia waislamu pale anapoweza. Hivi mbona hatumajadili kiongozi mmoja wa siasa ambaye aliishawahi kuwa mtendaji wa Taasisi moja kubwa ya kidini na yenye nguvu pia? Huyu bwana alifukuzwa kwa kosa la "Ufisadi wa wanawake na wizi wa mali". Kiongozi huyu anautaka sana Urais wa nchi hii kwa gharama zozote, na hivi sasa anaishi na mke wa mtu bila aibu yeyote.
 
Ni mmoja ya wanasiasa wanaotajwa kumrithi JK.
Niliwahi kusoma kwenye Vyombo vya habari tayari anasaidia ujenzi wa Mskiti Mkubwa mmoja hapa nchini.
Pia kwa njia isiyorasmini ametoa ahadi za kusaidia baadhi ya waumini wa kiislam kwenda kuhiji Makka.Pia aliahidi bungeni mambo ya msingi waumini wa dini hiyo.
Lkn kwa upande mwengine sasa analaumiwa kwamba anaendeswa na maaskofu.
Serikali ilipofanya utafiti wa kina ilijiridhisha kuwa kujiunga na OIC kuna manufaa na hakuna madhara yoyote na Bernard Membe (Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa), alitamka hilo bungeni lakini Serikali ilibadili msimamo wake, baada ya Mh membe kuitwa na askofu mmoja anaeheshimka"
Lkn pia baadhi ya viongozi wa dini ya kiislam walimfuata ofisni na kuwakimbia baada ya kuwakimbia walimuomba kwa maandishi kuktana nao kuhusu Oic kama alivyokutana na mwenzao, hadi leo Mh Membe anawapiga Chenga , yaani hataki kabisa kukaa nao meza moja .
jee kwa mfumo huu anaoenda nao maswala ya kitaifa kama ni waziri wa mambo ya nje, atapokuwa Ikulu kuu hali itakuwaje?
jee kwa mantiki hii, anafaa kutuongoza?au atazidi kuweka Nyufa kati ya Watanzania?

MUHOGOMCHUNGU, hivi hapa ulikuwa unataka kutuaminisha nini? Nijibu kabla sijatoa mtizamo wangu juu ya hoja yako ya msingi.
 
Membe hovyo tu alisoma seminari huko kwao lakini hivi sasa imeshajulikana kwamba wapi anaegemea na
one of the wrong move which he made and it will cost him dearly if at all he has that dream of being the
next president
 
mimi simkubali hata kidogo na hizo ndoto kama anazo mwambie aziondoe

+ Muongo,mfitini,mnafiki,hakuna la maana amewahi kufanya zaidi ya kuwafitini wenzie na sasa anawadanganya Waislamu,mara apite kwa maaskofu,mwambie tunamfahamu na patachimbika labda akapitie APPT not CCM,never ever........bora tuongozwe na Mbowe kuliko mpuuzi wa mwisho huyo.........!!! Ndo yule aliulizwa kwanini Tanzania maskini akasema,tumesaidia nchi nyingi sana kupata uhuru Afrika,huko tumetumia hela nyingi sana?????
 
Ni mmoja ya wanasiasa wanaotajwa kumrithi JK.
Niliwahi kusoma kwenye Vyombo vya habari tayari anasaidia ujenzi wa Mskiti Mkubwa mmoja hapa nchini.
Pia kwa njia isiyorasmini ametoa ahadi za kusaidia baadhi ya waumini wa kiislam kwenda kuhiji Makka.Pia aliahidi bungeni mambo ya msingi waumini wa dini hiyo.
Lkn kwa upande mwengine sasa analaumiwa kwamba anaendeswa na maaskofu.
Serikali ilipofanya utafiti wa kina ilijiridhisha kuwa kujiunga na OIC kuna manufaa na hakuna madhara yoyote na Bernard Membe (Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa), alitamka hilo bungeni lakini Serikali ilibadili msimamo wake, baada ya Mh membe kuitwa na askofu mmoja anaeheshimka”
Lkn pia baadhi ya viongozi wa dini ya kiislam walimfuata ofisni na kuwakimbia baada ya kuwakimbia walimuomba kwa maandishi kuktana nao kuhusu Oic kama alivyokutana na mwenzao, hadi leo Mh Membe anawapiga Chenga , yaani hataki kabisa kukaa nao meza moja .
jee kwa mfumo huu anaoenda nao maswala ya kitaifa kama ni waziri wa mambo ya nje, atapokuwa Ikulu kuu hali itakuwaje?
jee kwa mantiki hii, anafaa kutuongoza?au atazidi kuweka Nyufa kati ya Watanzania?
kwani membe ni chama gani????
ccm hakuna kiongozi mzuri bwana!
 
Jana kwenye kipindi cha 45mins itv, membe alivyoulizwa kama atagombea urais yaani usoni alionyesha kabisa kuwa atagombea, jinsi alivyolijibu lile swali ni almost yes lakini ni no. alisema kwamba yeye sasa hivi anafikria tu kazi aliyopewa yaani foreign

ila mbwembwe za kuzunguka kwenye kiti zilikuwa nyingi sana
mtu kama lowasa akiona ile interview atakunywa sumu
 
Lowasa and Membe are all non presidential materials. Lowasa would have made a good president had his morals been correct, as for Membe we do not like another term in stagnation with blah blahs
 
Membe akiwa raisi, tumejichimbia kaburi. Jana alisema Tanzania haiwezi kusimama upande wowote kati ya pande zenye mgogoro eti tunatakiwa tuwe neutral, kisa eti wanatusaidia kutusomeshea watu wetu katika nchi zao, huu ni unafiki mkubwa. Membe na wenzake wanatufanya watanzania wote tuwe wanafiki au taifa la kinafiki. Kati ya pande mbili utashindwaje kujua upande upi unasimamia haki ina maana tunashindwa kama nchi kujua kati ya Gaddafi na waandamanaji tuunge mkono upande upi? Tunashindwa kumpinga Gaddafi eti kwa sababu kuna wanafunzi 20 anawasomesha Libya? Ametununua!? Wakati wa vita vya Kagera Gaddafi alichagua kuusupport upande Idd Amin hakuwa mnafiki alichagua upande ambao yeye aliona uko sahihi kwake. Leo hii Membe anasema Tanzania haiwezi kutoa msimamo kwa upande wowote mpaka tuone mambo yanaendaje na wengine wanasemaje, huu ni unafiki kwa nchi kushindwa kuwa na msimamo katika maswala muhimu ya mahusiano kimataifa. Membe kwa kigezo hiki huwezi ukawa rais wa Jamhuri Tanzania, utaendelea kuwa mbunge wa mtama kwa kuiba kura.
 
Membe displayed very poor communication skills, especially non verbal communication. I thought these guys take some short training on how to behave during TV interviews. Don't they? The way he behaved, it is very easy for someone a bit knowledge about communication behaviour to view him as arrogant!
 
Jana kwenye kipindi cha 45mins itv, membe alivyoulizwa kama atagombea urais yaani usoni alionyesha kabisa kuwa atagombea, jinsi alivyolijibu lile swali ni almost yes lakini ni no. alisema kwamba yeye sasa hivi anafikria tu kazi aliyopewa yaani foreign

ila mbwembwe za kuzunguka kwenye kiti zilikuwa nyingi sana
mtu kama lowasa akiona ile interview atakunywa sumu
Membe kwangu mimi hawezi hata kuwa DC wangu

he has very poor analytical and communication skills
 
Membe displayed very poor communication skills, especially non verbal communication. I thought these guys take some short training on how to behave during TV interviews. Don't they? The way he behaved, it is very easy for someone a bit knowledge about communication behaviour to view him as arrogant!

Jamaa kabla ya program kwisha anaondoa microphone kwenye shati lake, camera man akaona ngoja amkwepe ile watazamaji wasione ile aibu, camera man anerudi kwa jamaa anakuta jamaa anazunguka kwenye kiti cha kuzunguka nyuzi 360 na miguu juu.

Hivi hata kwenye TV za majuu huwa wanakuwa vile, sijabahatika kuwaona bado lakini sasa nitakuwa mwangalifu kidogo kuwafuatilia wakija.

Halafu yeye kama yu muoga siyo taifa zima ni waoga na neutral kama yeye.
 
Membe displayed very poor communication skills, especially non verbal communication. I thought these guys take some short training on how to behave during TV interviews. Don't they? The way he behaved, it is very easy for someone a bit knowledge about communication behaviour to view him as arrogant![/QUOTE]

This is interesting indeed! Who, between the two of you is poor in communication skills? I don't want an answer from you since your last sentence says it all. What I have realized from some of you guys is your unrivaled perfection of the art of creating something out of nothing. The Minister was responding to a number of issues relating to international relations and especially, Tanzania's position with regard to the ongoing mideast turmoil. People may have different views and even take exception to some of the comments or remarks he has made, but that does not mean that he entirely wrong. It doesn't mean that the critics are right either. Every body is entitled to their views. As to whether he can make a good president, it is my submission that, that is totally misplaced since he has clearly stated that he isn't interested in the post and he does not intend to vie. This could be partly because he believes he doesn't fit or may because he feels he is satisfied with the service he has rendered to the country.

We should stop villifying people merely because we are all out to advance our own selfish interests. We should not relegate ouselves to guns for hire! Guys, you should breath peacefully and hold your phobia for some other day. The guy has unequivocally stated that he will not run! The rest is merely a waste of your precious time!
 
regarding non-verbal the guy was awful he was drinking water all the time , turning around his chair, his composure was not good at all and thats why i said mbwembwe za kuzunguka na kiti na kunyanyua miguu. About training dont think so, I expect him to watch programs like hardtalk and learn from other politicains around the world. Just sit straight with your legs close to each other and show some seriousness, this is all what he was supposed to do.

verbal skills
I have listen to tibaijuka once and was very dissapointed with the way she answered the questions. using tibaijuka as the benchmark membe did well

he is got couple of years to learn hope he will
 
Membe displayed very poor communication skills, especially non verbal communication. I thought these guys take some short training on how to behave during TV interviews. Don't they? The way he behaved, it is very easy for someone a bit knowledge about communication behaviour to view him as arrogant!

Well said Kitila. He showed a higher level of arrogancy! That's very poor and low of him.
 
Membe displayed very poor communication skills, especially non verbal communication. I thought these guys take some short training on how to behave during TV interviews. Don't they? The way he behaved, it is very easy for someone a bit knowledge about communication behaviour to view him as arrogant!

He behaved undiplomatic kabisa!
Swinging like a bird, in a serious interview like that? oh oh!
 
Jamaa kabla ya program kwisha anaondoa microphone kwenye shati lake, camera man akaona ngoja amkwepe ile watazamaji wasione ile aibu, camera man anerudi kwa jamaa anakuta jamaa anazunguka kwenye kiti cha kuzunguka nyuzi 360 na miguu juu.

Hivi hata kwenye TV za majuu huwa wanakuwa vile, sijabahatika kuwaona bado lakini sasa nitakuwa mwangalifu kidogo kuwafuatilia wakija.

Halafu yeye kama yu muoga siyo taifa zima ni waoga na neutral kama yeye.

Wenzio ambao wako balanced wakitoa maoni huwa wanaangalia positives na ku-ignore trivialities kama hiyo kutoa microphone na kadhalika, vitu ambavyo hata akina Obama au Bush wamewahi kuvifanya na no body alijali kwamba hiyo ni issues. These are small matters of ettiquetes ambavyo havina impact kwenye speech au interview. Mimi ningekubaliana na wewe kama fundamentally umegundua some flaws kwenye responses zake kwa interview lakini kusema eti ni muoga kwa sababu tu amekuwa guarded na kukataa ku-rush katika msimamo dhidi ya yanayoendelea huko ni kwenda kombo.

Yeye ameeleza genesis ya migogoro iliyopo mideast na kwa nini hayo hayawezi kutokea katika mtindo huo hapa kwetu. kama kati yetu kuna mwenye maoni tofauti then aje na hizo contrary analysis halafu tuone kama sina leta sense na zikiwa safi tutazikubali na kuziunga mkono. We tend to stoop too low katika baadhi ya mambo mpaka masuala ya rangi ya kiatu, thamani ya miwani ya mzungumzaji na unywaji wake wa maji eti navyo tunaona kama vile ni hoja!
 
The Minister was responding to a number of issues relating to international relations and especially, Tanzania's position with regard to the ongoing mideast turmoil. People may have different views and even take exception to some of the comments or remarks he has made, but that does not mean that he entirely wrong. It doesn't mean that the critics are right either. Every body is entitled to their views !

Mkuu pale Membe alikua anatoa views kama serikali ya JMT na si kama Benard Membe! So kwa nchi kutoa views kama zile ni aibu na unafiki mkubwa! Ina maana serikali yenyewe haioni yanayotokea kwa waarabu? Inashindwa nini kutoa msimamo? Reasoning ya kua waarabu (Gaddafi) anasomesha waTZ ivyo serikali isionyeshe msimamo wake ni udhaifu mkubwa mno wa kifikra. Kwanini sasa serikali hisiseme kua inamuunga mkono Gaddafi? Napo inaogopa? Au kwavile US wanapinga vikali anachofanya Gaddafi?

Hakika Mwalimu alikua anaona mbali;nchi ikishakua inategemea misaada,nchi inakua haina uhuru wa kutoa maamuzi na hata kujiendesha kwa uhuru!
 
Membe displayed very poor communication skills, especially non verbal communication. I thought these guys take some short training on how to behave during TV interviews. Don't they? The way he behaved, it is very easy for someone a bit knowledge about communication behaviour to view him as arrogant![/QUOTE]

This is interesting indeed! Who, between the two of you is poor in communication skills? I don't want an answer from you since your last sentence says it all. What I have realized from some of you guys is your unrivaled perfection of the art of creating something out of nothing. The Minister was responding to a number of issues relating to international relations and especially, Tanzania's position with regard to the ongoing mideast turmoil. People may have different views and even take exception to some of the comments or remarks he has made, but that does not mean that he entirely wrong. It doesn't mean that the critics are right either. Every body is entitled to their views. As to whether he can make a good president, it is my submission that, that is totally misplaced since he has clearly stated that he isn't interested in the post and he does not intend to vie. This could be partly because he believes he doesn't fit or may because he feels he is satisfied with the service he has rendered to the country.

We should stop villifying people merely because we are all out to advance our own selfish interests. We should not relegate ouselves to guns for hire! Guys, you should breath peacefully and hold your phobia for some other day. The guy has unequivocally stated that he will not run! The rest is merely a waste of your precious time!

you guy, you seem clazy to compare dr.kitila mkumbo with a semi layman Membe. Its contradistinctional to relating a thing to no-thing. Please,mkumbo's last sentence is well concocted,forgetting knowledge to be in passive is 'lapsus kalami' guy,count you words on dr.Kitila!
 
Back
Top Bottom