Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,368
huyo Membe ni chizi, na hawezi kuwa raisi kwa kuanza kuingia misikitini na kutafuta nguvu ya kidini, hana msimamo wala hana upeo
anataka kuyashtaki magazeti kwa kauli alizozisema kisa kashinikizwa akane hizo kauli, raisi wa namna gani asiyeweza kuwa na kauli zake mwenyewe?