Jibaba Bonge
JF-Expert Member
- May 6, 2008
- 1,246
- 404
Na Tyson je?acha uzushi!!! hakuna waziri atakaye kuwa kwenye secretariet ndivyo walivyoamua ccm kuanzia sasa, ili pawepo na accountability kwa upande wa chama na serikali!!!
Na Tyson je?acha uzushi!!! hakuna waziri atakaye kuwa kwenye secretariet ndivyo walivyoamua ccm kuanzia sasa, ili pawepo na accountability kwa upande wa chama na serikali!!!
acha uzushi!!! hakuna waziri atakaye kuwa kwenye secretariet ndivyo walivyoamua ccm kuanzia sasa, ili pawepo na accountability kwa upande wa chama na serikali!!!
acha uzushi!!! hakuna waziri atakaye kuwa kwenye secretariet ndivyo walivyoamua ccm kuanzia sasa, ili pawepo na accountability kwa upande wa chama na serikali!!!
Wewe hamnazo kwelikweli, nani kakwambia kwamba mtu akiwa nje ya CC ndiyo anakosa nguvu? Lowassa yuko CC? Usitake kubwatabwata kutatanisha kauli. Kama ulitaka tu kumtaja Mh.Membe nawe uonekane unamjua, labda. Lakini huna hoja.Waziri wa mambo ya nje bw. membe naona ni kama ametoswa "KWISHNEY" 2015 maana kuchomolewa kwake pale kwenye CC ni kama kifo chake kimewadia kisisa.sijui hii mijizi ya ccm itatuwekea nani 2015.naomba tujadili wanajf.
acha uzushi!!! hakuna waziri atakaye kuwa kwenye secretariet ndivyo walivyoamua ccm kuanzia sasa, ili pawepo na accountability kwa upande wa chama na serikali!!!
Hata unavyoandika tu unaonekana mbugila hasa!! Eti akafie mbali, wewe umekuwa Mungu? Vipi ukifa wewe kabla yake? Huo ni uchi wa akili na roho ya kwanini.aTOKE ZAKE HUKO MIMI NAMUONA ANAAKILI KAMA ZA JK!
TUSIJEPATA RAISI MWINGINE KAMA JK HATA KWA BAHATI MBAYA!
AKAFIE MBALI HUKO!
Wewe hata crap unaunga mkono tu! Huyo kaandika pumba na kuonyesha wazi ni mtu mwenye personal vendetta wewe eti unaunga mkono,, Kampichi mbelewele kwelikweli wewe.Nakuunga mkono HENGE
Hata unavyoandika tu unaonekana mbugila hasa!! Eti akafie mbali, wewe umekuwa Mungu? Vipi ukifa wewe kabla yake? Huo ni uchi wa akili na roho ya kwanini.
acha uzushi!!! hakuna waziri atakaye kuwa kwenye secretariet ndivyo walivyoamua ccm kuanzia sasa, ili pawepo na accountability kwa upande wa chama na serikali!!!
we ndio mzushi,..kama kofia mbili hawazitaki mbona kikwete anagoma kuachia umwenyekiti wa chama??hizo ni fitna wanawekeana ccm,..well,..hell..who cares?? Acha waumizane sababu membe na wengine wote ndani ya ccm wanajua vizuri kuwa wanapora rasilimali za taifa,..they know it..he deserves that and so much more,..wangemsulubu na sitta,mwakyembe,kilango,..ni wanafiki wote hawa
Na kweli hakuna jipya hapa zaidi ya zilezile fitina na maneno ya kukuna nazi ya kina mamamje na ajenda mpya, mshakosa mwelekeo
Zumbukuku mkuu, Dada hoja yako ni ipi vile?wee kweli mende
Zumbukuku mkuu, Dada hoja yako ni ipi vile?
Kuwa kwenye CC kungemsaidiaje Membe kuwa rais?Waziri wa mambo ya nje bw. membe naona ni kama ametoswa "KWISHNEY" 2015 maana kuchomolewa kwake pale kwenye CC ni kama kifo chake kimewadia kisisa.sijui hii mijizi ya ccm itatuwekea nani 2015.naomba tujadili wanajf.