Membe kuwania urais 2015...

Membe kuwania urais 2015...

Waziri membe ni mtu makini sana, msafi hana tamaa na wala kinyongo na mtu. Itakuwa bahati sana tukipata rais kama yeye. Uzoefu wa kimataifa, kielimu na kiutendaji. Anaipenda na maendeleo ndio mwenendo wake.
 
Sio Mafisadi tu,hata mimi simtaki.Uwe wake wa kuiongoza nchi hawezi.Kumbuka wakati wa mchakato wa kumpata waziri mkuu alikuwepo,Usalama wakasema hawezi kuunganisha TZ,chaguo pekee lilibaki kwa Pinda,licha ya kukataa wazee ilibidi wamwombe.Kwa maana hiyo Membe hawezi.Ila 2015 ni Magufuli au Dr Slaa

Huyu jamaa pia mimi simwamini, hachelewi kutuletea wale watu wa kujilipua hapa.
 
Sio Mafisadi tu,hata mimi simtaki.Uwe wake wa kuiongoza nchi hawezi.Kumbuka wakati wa mchakato wa kumpata waziri mkuu alikuwepo,Usalama wakasema hawezi kuunganisha TZ,chaguo pekee lilibaki kwa Pinda,licha ya kukataa wazee ilibidi wamwombe.Kwa maana hiyo Membe hawezi.Ila 2015 ni Magufuli au Dr Slaa

hana sapoti ya watu Yeye na Membe
 
hata mkwere alisifiwagwa kindez eti ni mpenda watu,xperience in int.affairs hadi kufikia hatua ya uongo sana ya kumwita jkII..,so they can all go to hell mf.
 
Waziri membe ni mtu makini sana, msafi hana tamaa na wala kinyongo na mtu. Itakuwa bahati sana tukipata rais kama yeye. Uzoefu wa kimataifa, kielimu na kiutendaji. Anaipenda na maendeleo ndio mwenendo wake.
Huo umakini wake mbona hauonyeshi sasa? Anangoja nini? Scandal zoooote hizi mbona haonyeshi msimamo wake? Kikwete hivyo hivyo... hakuwa na rekodi yeyote ya utendaji, na sasa matokeo yake tumeyaona. Ukiwa waziri usipoonyesha utendaji wako hata ukiwa rais hutabadilika. Kutawaliwa na Membe ni nafuu aje mbwa. Tutajua angalau anabweka!
 
nchi ya asali na maziwa ni baada ya dr slaa kukamata usukani
 
Tunahitaji RAIS atakaye simamia rasilimali zetu ili ziwe kwa faida ya waTanzania, na si muhimu akawa mtaalam wa uchumi kwani hatuhitaji kwa sasa, tunahitaji RAIS atakaye rudisha maadili ya viongozi wa umma kwani kwa sasa kuna tatizo la maadili mfano ni haya yote tunayoyaona juu ya kukinzana kwa kauli za viongozi wa juu wa serikali (Mara Werema kasema hivi, Mara Rais kasema hivi).
 
CANDIDATE wa 2015 hatakiwi atoke kwenye kundi la wana mtandao. Hili ni kundi baya sana kwani linatafuta madaraka kwa ajili ya kulipiziana wenyewe kwa wenyewe. Hili kundi limegawanyika mara mbili kuna A na B. A captain wake ni Lowassa na B captain wake ni SITA. Hivyo candidate hatakiwi atoke pande yeyoye kati ya haya makundi mawili.
 
ni mtu wa Pwani, ngoma na hypocrisy at its best, even he doesn't know nini maendeleo,
yupo yupo tu
 
Sitarajii kama atatufaa, ni makosa makubwa sana kwa mtu kama waziri wa mambo ya nje kupewa uongozi wa nchi, matokeo yake ndio yale yale hawajui kwa nini wananchi ni maskini
 
Huyu membe kwa kweli hana maamuzi. Yaani yeye yupo yupo tu anasubiri kuagizwa kitu ndo aseme. Yeye huwezo hana kuwa hapo alipo ni uswahiba wake kwa Kikwete. Yeye mihela hana mingi kama mafisadi wengine anasubiri kugawiwa tu na wenye nazo maswahiba wa Kikwete. Hana lolote, asipoelekezwa cha kusema hawezi kutoa msimamo wake juu ya mstakabali wa nchi huko nje. Na hii ndicho chanzo cha uswahiba na Jk. kule Kibaha Secondary. Na inavyoonekana huyu aliyeweka hii post katumwa kutest zali. Sasa kamwambie hivi huyo aliyekutuma kuwa kakojoa kwenye upele. Mara 200 Magufuli ana historia ya kutetema maslahi ya nchi . Hebu tuambie Membe kesha fanya nini hapa. Yeye yupo kama figure tu. Haya hebu angalia historia ua Uswahiba wa Jk na Membe
download


PICHA HII ILIPIGWA APRILI MOSI, 1967 WAKATI HUO AKIWA NA MIAKA 16 MIEZI MINNE NA SIKU 25, NJE YA BWENI LILILOKUWA LIKIJULIKANA KAMA KIBO (COMMON ROOM). HAPA WALIKUWA PAMOJA NA MEMBE FUATILIA TAREHE HIYO UJUE MEMBE ALIKUWA WAPI.

AAAAAAAGHHHHH


 
Ta M
ni kweli inaelekea jamaa ametumwa kupima upepo. Hao wasanii wametuangusha na kutuaibisha sana alumni wengi tuliyopitia pale Kibaha.
Ni bora hizo picha ulizotundika hapo juu zimegoma kufunguka.
 
Waziri membe ni mtu makini sana, msafi hana tamaa na wala kinyongo na mtu. Itakuwa bahati sana tukipata rais kama yeye. Uzoefu wa kimataifa, kielimu na kiutendaji. Anaipenda na maendeleo ndio mwenendo wake.

hamna kitu-I don trust in MEMBE,upeo wake ungeanzia jimboni kwake kwenye watu wachache,kama kashndwa kuwapa maji,ataiweza nchi?
 
Ni mmoja ya wanasiasa wanaotajwa kumrithi JK.
Niliwahi kusoma kwenye Vyombo vya habari tayari anasaidia ujenzi wa Mskiti Mkubwa mmoja hapa nchini.
Pia kwa njia isiyorasmini ametoa ahadi za kusaidia baadhi ya waumini wa kiislam kwenda kuhiji Makka.Pia aliahidi bungeni mambo ya msingi waumini wa dini hiyo.
Lkn kwa upande mwengine sasa analaumiwa kwamba anaendeswa na maaskofu.
Serikali ilipofanya utafiti wa kina ilijiridhisha kuwa kujiunga na OIC kuna manufaa na hakuna madhara yoyote na Bernard Membe (Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa), alitamka hilo bungeni lakini Serikali ilibadili msimamo wake, baada ya Mh membe kuitwa na askofu mmoja anaeheshimka"
Lkn pia baadhi ya viongozi wa dini ya kiislam walimfuata ofisni na kuwakimbia baada ya kuwakimbia walimuomba kwa maandishi kuktana nao kuhusu Oic kama alivyokutana na mwenzao, hadi leo Mh Membe anawapiga Chenga , yaani hataki kabisa kukaa nao meza moja .
jee kwa mfumo huu anaoenda nao maswala ya kitaifa kama ni waziri wa mambo ya nje, atapokuwa Ikulu kuu hali itakuwaje?
jee kwa mantiki hii, anafaa kutuongoza?au atazidi kuweka Nyufa kati ya Watanzania?
 
Back
Top Bottom