lkn naona ni mmoja wa viongozi anaeheshimika kwenye vyombo vya habarihuyo Membe ni chizi, na hawezi kuwa raisi kwa kuanza kuingia misikitini na kutafuta nguvu ya kidini, hana msimamo wala hana upeo
anataka kuyashtaki magazeti kwa kauli alizozisema kisa kashinikizwa akane hizo kauli, raisi wa namna gani asiyeweza kuwa na kauli zake mwenyewe?
....mna kazi kwelikweli!!! kumbe hata kichaa akitoroka Mirembe wakati wa uchaguzi (assume kuna sheria ya mgombea huru) na kagombea urais na kuahidi Mahakama ya Kadhi na Tanzania kujiunga OIC hakika atapata kura ZOOOOTE za waislam. maana kwa maelezo yako ni kwamba Membe alishawahakikishia hayo na mkamuona anafaa ila kuna kitu mnahisi anataka kuwa-double cross mnamuona hafai...so low!!! ndio maana CCM 2005 waliwapata kipumbavu kwa ahadi hewa ya mahakama ya kadhi. so low and cheap!!!
Ni mmoja ya wanasiasa wanaotajwa kumrithi JK.
Niliwahi kusoma kwenye Vyombo vya habari tayari anasaidia ujenzi wa Mskiti Mkubwa mmoja hapa nchini.
Pia kwa njia isiyorasmini ametoa ahadi za kusaidia baadhi ya waumini wa kiislam kwenda kuhiji Makka.Pia aliahidi bungeni mambo ya msingi waumini wa dini hiyo.
Lkn kwa upande mwengine sasa analaumiwa kwamba anaendeswa na maaskofu.
Serikali ilipofanya utafiti wa kina ilijiridhisha kuwa kujiunga na OIC kuna manufaa na hakuna madhara yoyote na Bernard Membe (Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa), alitamka hilo bungeni lakini Serikali ilibadili msimamo wake, baada ya Mh membe kuitwa na askofu mmoja anaeheshimka?
Lkn pia baadhi ya viongozi wa dini ya kiislam walimfuata ofisni na kuwakimbia baada ya kuwakimbia walimuomba kwa maandishi kuktana nao kuhusu Oic kama alivyokutana na mwenzao, hadi leo Mh Membe anawapiga Chenga , yaani hataki kabisa kukaa nao meza moja .
jee kwa mfumo huu anaoenda nao maswala ya kitaifa kama ni waziri wa mambo ya nje, atapokuwa Ikulu kuu hali itakuwaje?
jee kwa mantiki hii, anafaa kutuongoza?au atazidi kuweka Nyufa kati ya Watanzania?
sio hoja, hoja kwamba membe anafaa kuwa rais kwa kuendeshwa na maaskofu?

Dah huyu Membe huyu au mwingine? Too cheap . Mwakumbuka Mudhihir alisemaje?Inaonekana, kama ni kweli ana mpango wa kuwa rais wa jmt, anautaka kwa ajili yake. Tunataka raisi atakaye badilisha mwelekeo wa nchi kutoka kuzimu kwenda ahueni!
Cant agree with you more...Muhogomchungu bila shaka umetumwa na MEMBE ili ajue ni kiasi gani anakubalika au anakatalika, na ndio maana unatutaka tumpime Membe kwa vihoja virahisi vya udini tu...........
Mwambie Membe hivi, HANA STAHA WALA SIFA ZA KUWA RAISI WA HII NCHI, UWEZO WAKE WA WA KUFIKIRI NI MDOGO KAMA KIKWETE TU, NA UTENDAJI WAKE WA KAZI NI MMBOVU KAMA WA KIKWETE TU, NA NDIO MAANA HII NCHI KILA SIKU INAELEKEA KWENYE KIAMA, KWENYE NYANJA ZOTE, KIUCHUMI, KISIASA, KIUTAMADUNI, SASA HATA KIUDINI KIKWETE ANAIPELEKA NCHI PABAYA, MEMBE AKIMSAIDIA.
Ila mwambie asife moyo bado Membe anaweza kuwa raisi wa Tanzania, kwa sababu watanzania tuna ushabiki wa kijinga na wa vyama, ukichanganya na ukosefu wa Elimu kwa watanzania wengi (USISAHAU KWAMBA MTAJI MKUBWA WA CCM, ni ujinga wa watanzania.
sio hoja, hoja kwamba membe anafaa kuwa rais kwa kuendeshwa na maaskofu?
Ni mmoja ya wanasiasa wanaotajwa kumrithi JK.
Niliwahi kusoma kwenye Vyombo vya habari tayari anasaidia ujenzi wa Mskiti Mkubwa mmoja hapa nchini.
Pia kwa njia isiyorasmini ametoa ahadi za kusaidia baadhi ya waumini wa kiislam kwenda kuhiji Makka.Pia aliahidi bungeni mambo ya msingi waumini wa dini hiyo.
Lkn kwa upande mwengine sasa analaumiwa kwamba anaendeswa na maaskofu.
Serikali ilipofanya utafiti wa kina ilijiridhisha kuwa kujiunga na OIC kuna manufaa na hakuna madhara yoyote na Bernard Membe (Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa), alitamka hilo bungeni lakini Serikali ilibadili msimamo wake, baada ya Mh membe kuitwa na askofu mmoja anaeheshimka"
Lkn pia baadhi ya viongozi wa dini ya kiislam walimfuata ofisni na kuwakimbia baada ya kuwakimbia walimuomba kwa maandishi kuktana nao kuhusu Oic kama alivyokutana na mwenzao, hadi leo Mh Membe anawapiga Chenga , yaani hataki kabisa kukaa nao meza moja .
jee kwa mfumo huu anaoenda nao maswala ya kitaifa kama ni waziri wa mambo ya nje, atapokuwa Ikulu kuu hali itakuwaje?
jee kwa mantiki hii, anafaa kutuongoza?au atazidi kuweka Nyufa kati ya Watanzania?
Ni mmoja ya wanasiasa wanaotajwa kumrithi JK.
Niliwahi kusoma kwenye Vyombo vya habari tayari anasaidia ujenzi wa Mskiti Mkubwa mmoja hapa nchini.
Pia kwa njia isiyorasmini ametoa ahadi za kusaidia baadhi ya waumini wa kiislam kwenda kuhiji Makka.Pia aliahidi bungeni mambo ya msingi waumini wa dini hiyo.
Lkn kwa upande mwengine sasa analaumiwa kwamba anaendeswa na maaskofu.
Serikali ilipofanya utafiti wa kina ilijiridhisha kuwa kujiunga na OIC kuna manufaa na hakuna madhara yoyote na Bernard Membe (Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa), alitamka hilo bungeni lakini Serikali ilibadili msimamo wake, baada ya Mh membe kuitwa na askofu mmoja anaeheshimka