Asha rose mingiro hana uwezo hata nusu wa kuiongoza tz, Tanzania inahitaji watu wenye mukrari na force ya nguvu kwenye utendaji. Hata kama Lowasa hata kubalika, tunatakiwa mtu mwenye aina ya utendaji wa kilowasalowasa madarakani. hapo ndo tutafika. hivi wewe kwa akili yako umeona acha rose mingiro anaweza chochote, au kwasababu alipigiwa pande aende UN, hivi kila mtu aliyepata habati ya kwenda UN unafikiri ana uwezo wa kuwa rais?....unafikiri kama wangesema tuchague sisi watz kwa kura mtu wa kwenda UN asha angeenda? si bahati yake tu ilimdondokea.....hebu leta wazo lenye akili tafadhali, ondoa fikra za ajabuajabu hizi.
Lowasa anatakiwa kurudi, amejeruhiwa na akirudi lazima atahakikisha anasafisha jina na kuweka historia kuwa yeye si mtu mbaya, hiyo iko wazi. kama akiwa rais atajitahidi uwezo wake wote kufanya kitu cha maana ili ionekane kuwa yeye ndo alikuwa bora na safi kuliko wote. NA HAKUNA UBISHI KUWA KATIKA SELIKALI YOTE YA TZ, HAKUNA MCHAPAKAZI KAMA LOWASA...namfananisha na Kagame, akiwa kazini hataki kunegotiate ujinga, hataki utani ni kupiga kazi kwenda mbele. huu ndo ukweli wenyewe.
Baada ya huyu mtu wenu, ni bora tukapata mtu asiye fungamana na chama cho chote cha siasa hasa ccm (better awe na dictatorship mind set) na siyo membe wala yeyote kutoka ccm
1-avunje na kuunda upya tume ya uchaguzi na ofisi ya msajili wa vyama vya siasa kwa mwonekano wa kitaifa na si kisiasa, kabila wala dini
2-arekebishe au asimamie kuandikwa upya katiba
3-ikiwezekana hata mahakama iundwe upya na ipractice kuwa chombo huru
4-ikiwezekana hata vyama vya siasa vivunjwe na kuundwa upya
Mnajiombea mabaya...Kumbuka dictator wengi wanataka kuambiwa kile wanachotaka kukisikia.Mmeona Kenya mama Kibaki alivyopiga watu vibao na Russia watu wanavyopotezwa.Baada ya huyu mtu wenu, ni bora tukapata mtu asiye fungamana na chama cho chote cha siasa hasa ccm (better awe na dictatorship mind set) na siyo membe wala yeyote kutoka ccm
1-avunje na kuunda upya tume ya uchaguzi na ofisi ya msajili wa vyama vya siasa kwa mwonekano wa kitaifa na si kisiasa, kabila wala dini
2-arekebishe au asimamie kuandikwa upya katiba
3-ikiwezekana hata mahakama iundwe upya na ipractice kuwa chombo huru
4-ikiwezekana hata vyama vya siasa vivunjwe na kuundwa upya
Mnajiombea mabaya...Kumbuka dictactor wengi wanataka kuambiwa kile wanachotaka kukisikia.Mmeona Kenya mama Kibaki alivyopiga watu vibao na Russia watu wanavyopotezwa.
Bora tubaki na huu uhuru wetu wakutoa hasira zetu hapa Jamboforums kuliko kukosa yote.
Membe ana MA aliipata Johns Hopkins University USA. Nilimwona kwa macho yangu wakati wa graduation. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.Hivi jamani Membe ana Digrii kweli? habari nilizo nazo ni kuwa hana.........mbali na hilo kichwa cha panzi!
Tanzania ya leo hii haihitaji mtu wa aina ya Membe!.i see him as too linient, na amekaa kisherehesherehe zaidi...Membe kauli zake kila siku ni za kitatanishi tu, na ana hali ya kupendelea baadhi ya nchi!....Tanzania hii by 2015 inahitaji rais ambaye ni 50%coctail ya udikteta na Busara!...Punda haendi, ila kwa mjeredi!
Mama Tibaijuka mmemuweka wapi? Pinda je? Dr. Bilali???