- Dalili zote huko nyuma ya mlango according to the dataz, zinaonyesha kwamba Waziri Membe ana nafasi kubwa sana ya kushika nchi ifikapo mwaka 2015, sio vibaya kwa sisi wananchi tukaanza kujiuliza mapema je tunaweza kuwa better off na Membe kuliko wengine na hawa wa sasa? Au yatakuwa ni yale yale?
Respect.
FMEs!
JK kaweza atakuwa huyu. Ana sifa moja nzuri inayowafaa marais wa nchi hii: Anatoka kwenye kakabila kadogo ka nchi hii, ka watu ambao hawajasoma sana, sio wafanyabiashara sana, sio wadinidini sana.hana akili ,hana upeo ,mwingi wa blah blah hafai hata kukaa hapo alipo sasahivi sembuse urais
- Dalili zote huko nyuma ya mlango according to the dataz, zinaonyesha kwamba Waziri Membe ana nafasi kubwa sana ya kushika nchi ifikapo mwaka 2015, sio vibaya kwa sisi wananchi tukaanza kujiuliza mapema je tunaweza kuwa better off na Membe kuliko wengine na hawa wa sasa? Au yatakuwa ni yale yale?
Respect.
FMEs!
Mkuu FMES,
Mbona ni mapema sana? Miaka mitano ni mingi sana kwenye siasa.
Mambo yote yasipobadilia, mimi nitamfagilia mama Magiro kwa mwaka 2015. Umefika wakati wa kuongozwa na mwanamke maana kama ni wanaume tumevuruga vya kutosha.

- dalili zote huko nyuma ya mlango according to the dataz, zinaonyesha kwamba waziri membe ana nafasi kubwa sana ya kushika nchi ifikapo mwaka 2015, sio vibaya kwa sisi wananchi tukaanza kujiuliza mapema je tunaweza kuwa better off na membe kuliko wengine na hawa wa sasa? Au yatakuwa ni yale yale?
respect.
fmes!
Ni kweli kuzungumzia 2015 ni kufunga mjadala wa 2010. Kikwete hatakiwi kupewa Green Light na mtu yeyote hata kama ni humu JF.Huu ni upotoshaji,kwa nini kuzungumzia 2015 badala ya 2010? Tunataka Rais mpya 2010 kisha tutajadili hayo ya 2015.
Ni kweli kuzungumzia 2015 ni kufunga mjadala wa 2010. Kikwete hatakiwi kupewa Green Light na mtu yeyote hata kama ni humu JF.