Wakati watu wanafikiria siasa za Kyela kule.. siasa nyingi za mwaka huu zitakuwa ni huko Lindi.. kutanoga!!
Duh!GT, ktk thread hii nitakufa nawe. Nasema hivi kwa sababu najua mengi sana, bahati mbaya yale niyajuayo ndio umeyaleta hapa. Wewe sio mkweli wa kuaminiwa. Naenda kudunda mzigo, lakini nakuhitaji ujitokeze, or else nitakuumbua sana, na heshima uliyojijengea ktk JF itapungua kama sio kufa kabisa. Naomba kukuita FISADI mtoto kwa sasa wakati naondoka.
Duh!
Tunasubiri round 2. So far 1-0.
Chechetuka nadhani unaelewa juu ya kuwa kingozi bora, zipo sifa nyingi na katika hizo kiongozi hapaswi kuwa mropokaji na mwenye jazba katika kujibu au kutenda sasa kama hizo mende oh sorry Membe hana tusiziseme? Anyways siwashangai wengine ni makatibu wa wawabunge kule majimboni.....! Kama unaona hasira na jazba hazihatarishi usalama wa nchi me ntakusaidiaje? Jiulize alivyojibu kwa jazba mahojiano nje ya Prado lake alipokuwa akihojiwa na mtangazaji na mtangazaji angeuliza tena kwa jazba, na watazamaji wakawa na jazba kungekalika kweli? Best chanzo cha ukosefu wa amani ni hasira ambazo tunashindwa kuzicontrol. Nilikuwa msituni ila nasisitiza ukweli tutausema tu nyie msemao tukikosoa viongozi wa chama tunakichafua chama hatutakuwa na jinsi. Best ni vijimambo tu ila data tunazo!Genekai, hivi jazba za Membe zinatishia vipi usalama wa nchi? Hivi jazba hizo ndio uongo wa Membe? Namtaka GT atueleze kinagaubaga, Membe anahatarisha vipi usalama wa nchi? Nina wasi wasi GT alipitia ktk kijiwe fulani akakuta wanamsema hivyo Membe nae akawaahidi kuwa ataenda kumlipua, na hilo ndio bomu lenyewe. Ni vizuri GT ukajitokeza na kutujibu maswali yetu, otherwise, tutakuhukumu kwa Uongo, Uzandindiki, Fitna, Husda, Wivu, Chuki na kila aina ya ushenzi wa namna hiyo unaouleta hapa JF. Hapa sio kitchen party ndugu yangu.
Mzee Mwanakijiji, napenda kukuhakikishia kuwa kama hadithi za kunoga ktk Mkoa wa Lindi basi tuzitegemee ktk majimbo mengine lakini sio la Membe. Huyu mtu amefanya mengi saaaaana kwa wananchi wa jimbo lake. Sidhani kama wananchi wale watakuwa WASHENZI wa kutomchagua tena kuwa Mbunge wao. Nina imani ni watu waliostaarabika na wana UTU.
Cheche mpaka sasa sijaona hoja ya msingi uliyoisimamia inayomlinda membe.Mmmh! Chechetua kama hautajali hebu tujuze ndugu yetu hayo mengi saaaaana aliyoyaafanya Membe jimboni kwake.
Cheche mpaka sasa sijaona hoja ya msingi uliyoisimamia inayomlinda membe.
GT can you tell us what is wrong with Membe? Especially when you saying he is threatening national security? He is a liar, and so... ili tumtendee haki tunahitaji kujua shutuma zake ni zipi, otherwise tutakuwa kama washabiki wa kitchen party ktk kuchangia hoja yako. Please come out...
Kinachonishangaza ni kuwa ktk hoja yako ukajilinda mapema kwa kusema ""tegemeeni influx wale watetezi wake wa wakati wa sakata la dili lake la Vitambulisho"". Hivi bado unataka kuudanganya umma kuwa mradi wa Vitambulisho ni wa Membe? How is he involved in this project?
GT kuwa mkweli kwa Mungu wako, hivi ni mara ngapi uliomba kazi Wizara ya Mambo ya Nje? ni sababu gani ulikosa nafasi ulizoomba? Unataka tuamini kuwa hizi ndio hasira zako kwa Membe? Kabla sijaanza kumuelezea Membe ni nani, ni vizuri kwanza tujue chanzo cha mtoa hoja, na hoja yenyewe. JF sio mahali pa kuleta umbea wako umetoka nao huko unakokujua wewe.
Shutuma ulizompelekea Membe hazijaanza leo. Ni shutuma ambazo hutolewa na maadui zake kisiasa, ambao nitawataja kwa majina na nafasi zao wanazoshika ktk jamii, nitafanya hivyo tu pale utakaponiambia, Membe anatishia vipi usalama wa nchi, na ni muongo vipi, alimdanganya nani, na lini?. Sijawahi kumsikia Membe akisema kwa mtu yeyote kuwa anautaka Urais mwaka 2010, lakini napenda kukufahamisha kuwa hakuna dhambi yeyote kwake kugombea nafasi hiyo, kama ilivyo kwa Mtanzania yeyote. Tatizo hapa ni kuwa kuna watu wamejipanga kuutaka Urais, na wanaona kuwa mwanaume huyu ni kikwazo kwao, wanaanza kutafuta kila namna ya kumchafua.
Genekai, hivi jazba za Membe zinatishia vipi usalama wa nchi? Hivi jazba hizo ndio uongo wa Membe? Namtaka GT atueleze kinagaubaga, Membe anahatarisha vipi usalama wa nchi? Nina wasi wasi GT alipitia ktk kijiwe fulani akakuta wanamsema hivyo Membe nae akawaahidi kuwa ataenda kumlipua, na hilo ndio bomu lenyewe. Ni vizuri GT ukajitokeza na kutujibu maswali yetu, otherwise, tutakuhukumu kwa Uongo, Uzandindiki, Fitna, Husda, Wivu, Chuki na kila aina ya ushenzi wa namna hiyo unaouleta hapa JF. Hapa sio kitchen party ndugu yangu.
Nimeamua kuchangia kwa umakini ktk hoja hii kwa sababu nilishtuka sana pale GT alipoleta hoja halafu mwishoni akasema kuwa "tegemeeni influx wale watetezi wake wa wakati wa sakata la dili lake la Vitambulisho". Halafu hakuleata ushahidi wowote wa shutuma zake kwa Membe. Huyu ni mtu hatari sana na inafaa kumwangalia kwa umakini sana, kwani yeye ndio wale wahenga walisema, "Hutwanga mbuyu na kuwaachia watu waule".
GT, ili kulinda heshima yako, jitokeze utueleze Membe anahatarisha vipi usalama wa nchi, na amemuongopea nani, lini na kwa jambo gani? Linda heshima yako kabla sijakuumbua. Tunahitaji kukomesha tabia ya mtu kuzuka na ujinga wake huko halafu anatuletea hapa JF, na wenzangu bila kufanya utafiti wa kufaa munachangia kwa jazba. Mwambieni GT atujibu maswali hayo kama kweli yeye ni mkweli.
GT, umeingia choo cha jinsia tofauti nawe. Wahenga walisema, "UKIVULIWA NGUO NI VIZURI UCHUCHUMAE". Hii thread uliyoileta itakutokea puani kama ile ya Vitambulisho. Umezidi uongo wewe, na hapa sio sehemu ya kutuletea stori za kufunga kanga au kutunga ushanga.
Marigawe, ni lini ulimsikia Membe amesema kuwa nataka kugombea Urais mwaka 2010?
Mzee Mwanakijiji, napenda kukuhakikishia kuwa kama hadithi za kunoga ktk Mkoa wa Lindi basi tuzitegemee ktk majimbo mengine lakini sio la Membe. Huyu mtu amefanya mengi saaaaana kwa wananchi wa jimbo lake. Sidhani kama wananchi wale watakuwa WASHENZI wa kutomchagua tena kuwa Mbunge wao. Nina imani ni watu waliostaarabika na wana UTU.
Maligwe, hivi ni kweli umri ni tishio la usalama wa nchi? Lakini lini ulimsikia Mmembe akisema kuwa atagombea Urais mwaka 2010? Mbona na wewe naona kama unapita alipopita GT? Can u respond to my call please? I want to make this record very clear. Mukome kushabikia uzandiki.
GT upo wapi? Nakusubiri wewe tumalizane ili niende kufanya kazi zangu nyingine. Umezidi uongo na kumchukia Membe wewe. Hebu ibuka tumalizane kwanza.
GT, ktk thread hii nitakufa nawe. Nasema hivi kwa sababu najua mengi sana, bahati mbaya yale niyajuayo ndio umeyaleta hapa. Wewe sio mkweli wa kuaminiwa. Naenda kudunda mzigo, lakini nakuhitaji ujitokeze, or else nitakuumbua sana, na heshima uliyojijengea ktk JF itapungua kama sio kufa kabisa. Naomba kukuita FISADI mtoto kwa sasa wakati naondoka.
Mjibu basi, ili mjadala uendelee kunoga.Chechetuka Gegedua
Senior Member
Join Date
28th May 2009
Total Posts
60
duh!
Kaazi kweli kweli!