Leo Membe,kesho itakuwa zamu yenu.Kama anataka urais Membe atulie sasa na aachane na mipasho. Alishafukuzwa na kilichobaki sasa ni kuchanga karata vizuri. Kuongea ongea mipasho mwishowe watu watamzoea na kumwona mlalamikaji tu na mbishi. Amekulia CCM na sasa anajifanya kama haijui CCM vizuri. Bulshit!
Start sounding presidential and leave these petty issues to the petty minded [emoji51][emoji51][emoji51]
Siyo harufu ni habari kamiliNasikia harufu ya mzee wa Msoga kw mbali akihusika
Waandishi mnaoendelea kumuhoji, muwe macho,hii nchi ishabadilika.
Huu ubaguzi haujaishia kwa wapinzani tu,sasa umejikita mpaka kwenye chama chao!
Sasa mtaanza kuyaelewa maneno ya Lissu kwa vitendo.
Hivi bado kuna watu wanatatanishwa na hizi "Mpya"?7 Julai 2020
Rondo, Lindi
Tanzania
’CCM ilinionya, Ukimchallenge huyu kutaka Urais utafukuzwa chamani ’ Bernard Membe
Sisi wale wa CCM ya zamani tulionekana kama kwamba hatujafanya lolote jema na hawa wanaojiita CCM Mpya.
Membe aelelezea utofauti wa aliyoiita 'CCM ya zamani' na 'CCM mpya'. Hii hapa ndio sehemu ya mazungumzo hayo.
Hapo Jana Bernard Membe,aliyekuwa waziri wa mambo ya nje wa Tanzania na kada wa muda mrefu wa chama tawala Chama Cha Mapinduzi (CCM), alirudisha kadi yake ya uanachama wa CCM kitendo kilichomaanisha ukomo rasmi wa uanachama wake CCM.
Source : BBC News Swahili
Leo nilikusema mahala, hapa JF, na kabla ya siku kwisha unatoa kitu kama hiki hapa.Nasikia harufu ya mzee wa Msoga kw mbali akihusika
Waandishi mnaoendelea kumuhoji, muwe macho,hii nchi ishabadilika.
Huu ubaguzi haujaishia kwa wapinzani tu,sasa umejikita mpaka kwenye chama chao!
Sasa mtaanza kuyaelewa maneno ya Lissu kwa vitendo.
Jamaa sasa anaweka mhuri wake, hataki tena aonekane anadandia kwa wengine.Zile tetesi kuna makundi ndani ya CCM sasa yamethibitishwa na huyu kada wa zamani na makundi hayo mawili ni CCM Mpya vs CCM ya zamani.
Kipindi hiki tutaona 'vita ya wenyewe kwa wenyewe ya kisiasa na ideolojia' ndani ya CCM katika kuwania nafasi za uongozi wa dola ngazi zote.
Kutoka maktaba :
1 July 2020
Membe: Huu ni utaratibu wa Hovyo kabisa, ni ushamba, Dunia nzima upo Tanzania tu, tuukemee bila woga
Source : ABC HABARI
Mmomonyoko rasmi umeanza...7 Julai 2020
Rondo, Lindi
Tanzania
’CCM ilinionya, Ukimchallenge huyu kutaka Urais utafukuzwa chamani ’ Bernard Membe
Sisi wale wa CCM ya zamani tulionekana kama kwamba hatujafanya lolote jema na hawa wanaojiita CCM Mpya.
Membe aelelezea utofauti wa aliyoiita 'CCM ya zamani' na 'CCM mpya'. Hii hapa ndio sehemu ya mazungumzo hayo.
Hapo Jana Bernard Membe,aliyekuwa waziri wa mambo ya nje wa Tanzania na kada wa muda mrefu wa chama tawala Chama Cha Mapinduzi (CCM), alirudisha kadi yake ya uanachama wa CCM kitendo kilichomaanisha ukomo rasmi wa uanachama wake CCM.
Source : BBC News Swahili
Umeongea vizuri sana, Subira ndo iliyomgharimu membe. Inaonekana zile expectations zake za 2015 bado zilikua zinaendelea kumla ndani kwa ndani. Hakutegemea game ingebadilika vile mpaka akaporwa tonge mdomoni. Hapa ndipo naamini maneno ya Salmin Amour, kwamba U Rais unakuja kwa ridhaa za watu na idhini ya Mwenyezi Mungu. Mungu hakumpa idhini yeye kuwa Rais, ndo maana yakatokea yale yaliyotokea. Hili lazima alikubali. Kama angejifunza kwa yale yaliyomtokea Kikwete mwaka 95, pamoja na kushinda kwenye kura za maoni lakini akaambiwa kura zake hazitoshi. Lakini alivuta subira na baada ya miaka 10 kwa idhini ya M/Mungu akawa Rais.Kama anataka urais Membe atulie sasa na aachane na mipasho. Alishafukuzwa na kilichobaki sasa ni kuchanga karata vizuri. Kuongea ongea mipasho mwishowe watu watamzoea na kumwona mlalamikaji tu na mbishi. Amekulia CCM na sasa anajifanya kama haijui CCM vizuri. Bulshit!
Start sounding presidential and leave these petty issues to the petty minded [emoji51][emoji51][emoji51]
Ameshavuruga vyama vingapi?Huyu ni kivuruge, chama chochote atakachohamia lazima akivuruge.