CCM original
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 373
- 68
Hana sifa ya kuwa Rais alitaka kututumbukiza kwnye OIC
acha udini wewe. Mbona chama chenu kina ajenda ya udini na ukanda tu?
Hana sifa ya kuwa Rais alitaka kututumbukiza kwnye OIC
Kwa shida hizi ninazozipata kupitia kwa huyu ndugu yake aliyepo, Hata Membe akigombea na Ng'ombe ntachagua ngombe. Atanifaa kwa maziwa, mbolea, kulimia na nyama kama ntamchoka.
Sina Shaka Juu ya Bernard Bembe huyu jamaa ni Jembe na ndio Suluhu kwa watanzania Anakila Haiba ya kuwa Rais wa 2015 in Tanzania Uchungu wake juu ya Watazania Uelewa wa Siasa za Nje (Kimataifa) pia ni mchapa kazi niombe tu wananchi wa Tanzania tumuunge mkono PResdarrrrr tusijalishe vyama nia yake ya kishujaaa uhakika anaweza!Mungu Ibariki Tanzania Mungu Ibariki nia ya Bernad Membe 2015 Presdent of Tanzania
Kwani Rais lazima awe amewahi kuwa waziri wa mambo ya nje,tuscream waTanzania.Mozoea ndo yametufikisha hapa tulipo na tunaelekea kuzama kwa sababu ya mazoea ya kipumbafuSina Shaka Juu ya Bernard Bembe huyu jamaa ni Jembe na ndio Suluhu kwa watanzania Anakila Haiba ya kuwa Rais wa 2015 in Tanzania Uchungu wake juu ya Watazania Uelewa wa Siasa za Nje (Kimataifa) pia ni mchapa kazi niombe tu wananchi wa Tanzania tumuunge mkono PResdarrrrr tusijalishe vyama nia yake ya kishujaaa uhakika anaweza!Mungu Ibariki Tanzania Mungu Ibariki nia ya Bernad Membe 2015 Presdent of Tanzania
Membe kugombea urais mwaka 2015: WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe, amesema atakuwa tayari kuwania urais mwaka 2015, iwapo wananchi wataona anafaa na kumtaka afanye hivyo. Alisema hayo juzi wakati akijibu maswali ya mwandishi wa habari hii mjini hapa,baada ya kumalizi http://tinyurl.com/d52727r
Sina Shaka Juu ya Bernard Bembe huyu jamaa ni Jembe na ndio Suluhu kwa watanzania Anakila Haiba ya kuwa Rais wa 2015 in Tanzania Uchungu wake juu ya Watazania Uelewa wa Siasa za Nje (Kimataifa) pia ni mchapa kazi niombe tu wananchi wa Tanzania tumuunge mkono PResdarrrrr tusijalishe vyama nia yake ya kishujaaa uhakika anaweza!Mungu Ibariki Tanzania Mungu Ibariki nia ya Bernad Membe 2015 Presdent of Tanzania
Riz1 anajua rais wa 2015 anatoka CDM
Kwani Rais lazima awe amewahi kuwa waziri wa mambo ya nje,tuscream waTanzania.Mozoea ndo yametufikisha hapa tulipo na tunaelekea kuzama kwa sababu ya mazoea ya kipumbafu
Walau CCM wanafanyaga uchaguzi kupata wagombea wao...
Nadhani hii ndiyo itakuwa ID ya Riz1
Walau CCM wanafanyaga uchaguzi kupata wagombea wao...
Ukitaka uchokoze hasira na BP za mzee Mtei lete ushindani katika siasa cha uchaguzi ndani ya Chadema. Nafasi ya urais ni ya kaskazini kuanzia 2005 mpaka atakapoondoka duniani.
na wenzetu wanachaguliwa na "wazee wa chama" wakiongozwa na mkwe "mzee Mtei".