bwane we iditing error
Nini tena hii
bwane we iditing error
Mmesahau ni Chama cha "Demokrasia" na Maendeleo? Hiyo ndiyo demokrasia.
Hahaha kweli MENDE
Na hawezi kutoka Kaskazini, Mmelaaniwa na Nyerere!
Hakuna dhambi kwa Mhe. Membe kugombea Urais kama ilivyo kwako pia. Ruksa kutangaza nia yako ili wananchi waweze kuamua nani anafaa. Sasa wewe unataka agombee nani?
Rais ajae lazima atoke kaskazini.Mende hana influence,afterall mfadhili wake qadaffi ameuawa ila anaanza kuufukuzia ufadhili toka Iran.
Kama ni membe i will vote for ccm
huna akili
Ni bora wao wanaonesha kua hawana demokrasia,kulikowanaoonesha demokrasia ya uongo.. MwanaFalsafa1 CCM original
Kwa hiyo wewe una shabikia the lesser of two evils? Nashukuru kufahamu.
demokrasia ya mtei hiyo wanayoishabikia.
ila kaskazini? Nyie mna ukanda. Mkiambiwa mnasema propaganda ya CCM. Umejiona leo?