Membe kugombea urais mwaka 2015 iwapo...

Membe kugombea urais mwaka 2015 iwapo...

Maadili ya wabunge Membe alisema hali ya kisiasa nchini inakwenda vibaya kutokana na kila mtu kuzungumza mambo bila kujitathmini. Alisema mbaya zaidi hata baadhi ya wabunge wa CCM, nao wamekuwa si msaada kwa chama, kutokana na kuzungumza mambo dhidi ya Serikali na chama.
Kwa kauli hii Membe hafai kuwa raisi wa Tanzania, tunataka rais anayeheshimu mawazo ya watu wote bila kujali anatoka chama kipi.. kusema kuna wabunge wanazungumza mambo dhidi ya serikali si sawa.. hii inategemea ni dhidi ya nini hasa ukizingatia udhalimu wa serikali yetu kwa wananchi na upendo wa serikali kwa wawekezaji wa kigeni.

Nakushauri Membe kaa pembeni angalia hili gemu linavyokwenda vinginevyo utaishia kuaibika.
 
Kaanza ualinacha wake.Kashindwa vumilia aliposikia EL alikuwa mlangoni kwake akichukua kura kwa maimum.Ataweweseka na theory zake za kigamba kabla CDM hawajazifuta kw aaiabu kama kinana
 
"Bunge linapoteza mwelekeo kutokana na mawazo ya baadhi ya wabunge wanaofikiri wakisema ovyo na kutumia lugha kali katika kuzungumza, wao ndio wanaonekana ni wabunge bora kitu ambacho hakipo.

“Mbunge ni pamoja na kujiheshimu na kutumia lugha nzuri katika kuwakilisha wapiga kura wako bungeni
 
Kaanza ualinacha wake.Kashindwa vumilia aliposikia EL alikuwa mlangoni kwake akichukua kura kwa maimum.Ataweweseka na theory zake za kigamba kabla CDM hawajazifuta kw aaiabu kama kinana
 
Mpe pole yake, RAIS HAWEZI KUTOKA KUSINI TENA

Hii nchi hatuongelei ukanda au ukabila, nadhani kigezo kiwe uwezo wa mtu sio udini au kanda yake na pia uzalendo na kufanya kazi kwa manufaa ya nchi sio kutegemea misaada hata taa mnaomba msaada..
 
Mhh wakitusimamishia huyu cdm inachukua nchi kiulaini! tuungane kumuomba ili achukue form ili iturahisishie kazi 2015
 
Hii nchi hatuongelei ukanda au ukabila, nadhani kigezo kiwe uwezo wa mtu sio udini au kanda yake na pia uzalendo na kufanya kazi kwa manufaa ya nchi sio kutegemea misaada hata taa mnaomba msaada..

Hayo ni yako, Taifa lilipofikishwa sasa watu watapiga kura kwa ukanda na zaidi kwa udini, msifiche uchafu chini ya kapeti
 
Mhh wakitusimamishia huyu cdm inachukua nchi kiulaini! tuungane kumuomba ili achukue form ili iturahisishie kazi 2015
CCM hawana nia ya kuachia nchi hii kwa amani, so hta huyu boya akisimamishwa tiss watamtangaza hata kabla ya kura kupigwa.
 
Kwa kauli hii Membe hafai kuwa raisi wa Tanzania, tunataka rais anayeheshimu mawazo ya watu wote bila kujali anatoka chama kipi.. kusema kuna wabunge wanazungumza mambo dhidi ya serikali si sawa.. hii inategemea ni dhidi ya nini hasa ukizingatia udhalimu wa serikali yetu kwa wananchi na upendo wa serikali kwa wawekezaji wa kigeni.

Nakushauri Membe kaa pembeni angalia hili gemu linavyokwenda vinginevyo utaishia kuaibika.
Kwanza awataje wale maadui wake aliosema atawashughulikia.
 
hiv ukiwa waziri wa mambo ya nje ni tiketi ya urais? tujiulize hiyo wizara anayoiongoza imetusaidia nini au yeye kafanya nini kipya kwa wizara na jimboni kwake?? Membe hana haiba ya urais sijui hata uwaziri aliupata vip?? SI NI BORA HATA MAKUFULI KIDOGO ANA KA UMAARUFU... hamna wa maana kati ya wote wanaotaja na kujitaja, kati yao wote Lowassa ndo ana sifa zinazoonekana! wengine vimeo vitupu
 
hiv ukiwa waziri wa mambo ya nje ni tiketi ya urais? tujiulize hiyo wizara anayoiongoza imetusaidia nini au yeye kafanya nini kipya kwa wizara na jimboni kwake?? Membe hana haiba ya urais sijui hata uwaziri aliupata vip?. hamna wa maana kati ya wote wanaotaja na kujitaja, kati yao wote Lowassa ndo ana sifa zinazoonekana! wengine vimeo vitupu
Mkuu Kipokola,
1. Kwa vile JK alikuwa foreign, ndipo akawa rais wa JMT, na Ben aliwahi pia kuwa foreign naye akawa rais wa JMT, then its automatically, kwenye CCM, kwa mujibu wa the current trend, aliye foreign ndie anepaswa kuwa next!, hivyo Membe is very right to think he is the one and only derverving to be the next president!. Zile hoja za mpaka akioteshwa, au hizi za kusikilizia wananchi ambao tayari wameisha pangwa na chochote kitu wameshikishwa!, zote ni danganya toto!.

2. Hili la haiba ya urais ndani ya CCM sio issue!, kumbuka JK aligombea na kina nani, linganisha haiba zao, na wezo zao!, lakini aliyepita ni JK!, jikumbushe alipitaje, ngazi gani alitumia, dodoki gani aliogea, pepeo gani lilitumika kumpepea, mbeleko gani iliyotumika kumbebea?, kama hayo yaliwezekana kwa JK, why not kwa Membe?!.

3. CCM hawatafuti mgombea mwenye uwezo, ability, bali anayekubalika!, anayetazamika na anayechagulika ili kuwaletea ushindi!, akishashinda, atajengewa uwezo kwa kupewa timu ya able people kumsaidia!. Swali linabaki jee Membe, ndiye anayekubalika zaidi?. ndiye anayetazamika zaidi?, ndiye anayechagulika zaidi?. If yes, then mgombea wa CCM kwa 2015 ni Membe!, if not, then ni mtu huyo mwenye hivyo vitu vitatu ndiye atakayekuwa mgombea wa CCM na ndiye atakayetua Ikulu ya Magogoni, mpende msipende!.

4. Membe pia anayo turufu nyingine muhimu sana kwenye urais wa Tanzania, hii ni turufu ya "Udin!i". Tukubali tukatae, udini una play a very big role katika determinant ya who is the next president!. Japo Tanzania ni secular state, serikali ndio haina dini, ila watu wake wana dini zao!. Rais hachaguliwi na serikali isodini, bali huchaguliwa na watu wenye dini zao!. Dini kubwa ni Wakristo na Waislamu, hivyo tutake tusitake, tukubali tukatae, rais wa 2015 ni au Mkiristu, au Muislamu!.

Kwa vile urais pia unapatikana kwa kupokezana kwa zamu, Nyerere alikuwa Mkristu, akafuatiwa na Mwinyi, Muislamu, then Ben, Mkiristu, akaja JK Muislamu, hivyo 2015 ni zamu ya Mkristo!. Kwa vile Membe ni Mkisto, hivyo safari hii ni halali yake kabisa!.

Kama ilivyo kanuni fulani ya siri ambayo haijaandikwa popote kuwa kuna makabila fulani kamwe hawawezi kupewa urais wa Tanzania, then pia kuna kanuni ya siri, kuwa rais wa Tanzania, sio tuu lazima awe ni Mkiristu, bali lazima awe ni Mkristu, Mkatoliki!. Nyerere alikuwa Mkatoliki, Ben pia alikuwa Mkatoliki, hivyo rais wa 2015 naye pia lazima awe Mkatoliki!.
Ndugu zetu Wakristu wa madhehebu mengine, samahanini sana, msinilaumu mimi kwa hili, sio mimi ndiye niliyeamua kuwa rais wa Tanzania ni lazima awe Mkatoliki, bali hii ndio hali halisi, kwa sababu Katoliki ndilo kanisa kubwa Takatifu la Mitume, linamiliki mpaka nchi yake ile ya Vatican!. Sasa kwa vile MEMBE naye ni Mkatoliki, ameishamuomba Magufuli ambaye pia ni Mkatoliki asitie mguu, na pia ndiye anayehakikisha yule Mkatoliki tishio aliyeko opposition "is done!" before 2015 to clear the way!. Kama hivi ndivyo mambo yalivyo?!, ndivyo yalivyo! why not?!.

Nikiwa bungeni mwaka jana, wakati Membe akiwasilisha bajeti yake, niliwashuhudia "the brais behind" the "winning coalition" behind JK ile 2005 ikimzunguka Membe kuja kumpa support!,

Japo kwa maoni yangu binafsi mimi kama Pasco wa jf, Membe hauziki hata kwa dawa!, ila kwa vile yule mgombea wangu, amekubali kubaki kuwa ni "sauti iliyo nyika tuu, ikiyanyoosha mapito ya yule yuajaye "the chosen one!", na kwa vile Watanzania siku zote huwa tunachagua kwa kufuata tuu mazoea tuu kwa vile hatujui tunataka nini, hivyo yoyote atakayepitishwa na CCM, "the chosen one", ndiye rais wetu 2015, kama "the chosen one" ni Membe, then Membe ndiye rais wetu wa 2015!.

Pasco.
 
Pasco, hiyo kanuni ya siri ya rais mkatoliki haikuapply kwa mwinyi na jk?
Kwanza this time around inabidi mzanzibari mmoja nae asimame. Manake watasindikiza hadi lini aisee?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom