YAMEFURUMUKA HADI MAPANYA BUKU MAKUBWA KAMA MBWEHA NA MAGU AKITAKA AHARIBU KILA KITU MAPEMA BASI AMGUSE MEMBE MWALIMU WA MAKACHERO WANAOMLINDA KUANZIA BASHITE HADI UWANJA WA NDEGE WA CHATO NA ASITISHIE SISTIMU KWA MEMBE KWANI UNAPOZUNGUMZIA MFUMO MZIMA WA USALAMA HUYU NI MOJA YA MA' MENTOR.Membe kapiga kiberiti kichaka panya wote mmekurupuka ! kwa Taarifa yako Membe ndio aliyempa kazi ya kitengo Kapilimba , kapilimba aliingizwa tume na Kikwete ili kudivert kura 2015 , baadaye jiwe akapewa jina ampaishe kuwa DG , hii ni timu 1
Hata ingekua wewe,mtu akiingia kwenye 18 zako utaremba?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
Jipe moyo Mkuu.Hata waliokula fedha ya Gaddafi lazima waiteme tu
Halafu mtu analeta mzaha hapaIngekuwa ni Mimi nadhani hata muda huu Maturubai yangekuwa yametawala Nyumbani Kwa Mhusika, taarifa za Msiba zikizidi Kuenea huku Mikakati ya Mazishi ikifanyika ama alazwe Kinondoni au Kijijini Ikupilipa Nkoba na Ratiba nyinginezo. Asikuambie Mtu Ikulu patamu sana Mkuu na ukitaka kulijua hili nenda Kamuulize Mzee Museveni au Mugabe au Obia Nguema au Do Santos watakuwa na Majibu murua tu ya kukupa.
Maneno yamenivutia sana haya!NAJUA MLETA MADA KUNA AGENDA KUBWA NYUMA YAKO YA KUTAKA MAGU ABAKI MADARAKANI NAKUAPIA YA KUWA 2020 MAGU ATATOKA AIDHA KWA KUPENDA AU KUTOKUPENDA KWA UKIMTOA BASHITE, JOKATE NA MLETA MADA MJOMBA MAGU HANA RAFIKI KATIKA NCHI HII HILI HATA MAMA JESCA ANALIJUA, HUWEZI NYAMAZISHA WATU ATI KISA ATASHUGHULIKIWA KWENYE MALI ALIZOIBA KWANI BASHITE KAIBA NGAPI TENA KIBABE, YEYE MAGU KAIBA NGAPI HADI ANAJENGA AIRPORT YA BITUMEN KIJIJINI KUNAKOTUA WACHAWI WENYE NYUNGO TU, SASA KAMA KAKUTUMA KAMWAMBIE HUKU LIMEBUMA NA 2020 ATACHAPA LABA
Utaratibu ndio huo,asikwambie mtu,huko makina Trump ,Putin ndio michezo yao,Ingekuwa ni Mimi nadhani hata muda huu Maturubai yangekuwa yametawala Nyumbani Kwa Mhusika, taarifa za Msiba zikizidi Kuenea huku Mikakati ya Mazishi ikifanyika ama alazwe Kinondoni au Kijijini Ikupilipa Nkoba na Ratiba nyinginezo. Asikuambie Mtu Ikulu patamu sana Mkuu na ukitaka kulijua hili nenda Kamuulize Mzee Museveni au Mugabe au Obia Nguema au Do Santos watakuwa na Majibu murua tu ya kukupa.
Halafu mtu analeta mzaha hapa
Mnaanza kukata tamaa!,bado hamjasemaHata aliekuwa Raisi wa Sudan nae leo anatia huruma.
Ipo siku.
Wasiokuelewa shauri yaoWATU WALIOHUDUMU KITENGO CHA USALAMA AU UJASUSI HAWACHEZEWI HATA SIKU MOJA KULE USA EDGAR HOOVAER MKUU WA C.I.A ALIOGOPWA NA MARAISI WOTE 7BU ALIKUWA NA MAFAILI MACHAFU YALIYOWAHUSU, HISTORIA INAONYESHA RAIS AMBAE ANAWEZA KUMSHURUTISHA JASUSI NI YULE AMBAE NAYE ALIWAHI HUDUMU KITENGO TENA KWA NAFASI YA JUU LAKINI KWA HUYU MZEE WA CHATO KUHUSU USALAMA NI MBUMBUMBU.
UKIJA KWA BASHITE NDIYO DEBE TUPU KWA MASUALA YA USALAMA NDO MAANA HATA WALE WANAOITWA WASIOJULIKANA KUNA MAMLUKI KUTOKA RWANDA HII INAONYESHA NI NAMNA GANI MFUMO HAUPENDI HUU UJINGA NA WANAJUA KILA KITU KUANZIA MSIMAMIZI HADI WATEKELEZAJI ILA WANASHINDWA KU INTERVENE KATIBA INAWABANA WE SUBIRI 2020 IKARIBIE NDO UTAONA KITAKACHOTOKEA.
Sasa kwanini usimuache aambulie hayo maumivu? Ama unataka kujidai unamwonea huruma?Mwisho ataambulia maumivu tu
Usijidanganye, baada ya term ya kwanza, lazima aje tena kutuomba kura na wala siyo kibabe.Na Wembe wa Awamu hii una Makali kuliko hata ya ' Chatu ' mwenye njaa ya Kitoweo.
Huyu mkatwa mkia aliyewahi kukiri wanapishana hewani utafikiri nchi inaungua moto sijui ameingiwa na tamaa gani. Watu tunafkiria kumuongezea jiwe muda yeye analeta za kuleta
Kukaa kimya ni ujinga uliopitiliza!!!
Jiwe mwenyewe ana makashifa mengi tu maana na yeye ni wale wale.
Hamuwezi kuziba watu midomo kwa vitisho vya aina hii na vingine ambavyo mmekuwa mkivitumia.
Hovyo kabisa!!!
HIVI MBONA MNAMUOGOPA SANA MEMBE !???Siasa ni mchezo mchafu sana ,mara nyingi mwenye nguvu hua ni yule mwenye dola,especially nchi za kiafrika.
Ndio maana wale wajanja ambao hujua wamepora wakiwa kwenye madaraka muda ukiisha hukaa kimya kujilia vyao taratibu.
Sasa naona umechokoza mzinga wa nyuki kumbuka ulikua kwenye system unataka kupambana na system,ambayo inakujua kindakindaki ABC zako.kukumaliza ni jambo dogo sana.
1-Imetajwa dola million ishirini (20)za Gaddafi ,unatakiwa utoe maelezo ya kutosha.
2-kutamalaki kwa dawa za kulevya awamu yako.
3-utakatishaji fedha uliokithiri awmu yako.
4-ugonvi wa Tanzania na malawi/ Tanzania na Rwanda ukiwa waziri wa mambo ya nje uhusiano ulikua mbaya.
5-ulileta makampuni mengi ya kitapeli ambayo mengi yalikua hayalipi kodi,ikiwemo kuuza kipande cha ardhi Bagamoyo kwa wageni pia kuikabidhi gas ya mtwara na Lindi kwa mkataba wa kinyonyaji. hapa nakumbuka Simbachawene aliuleta huu mkataba bungeni kwa haraka,ni wabunge 60 tu waliopitisha ,wapinzani kina Lissu walisema serikali ina haraka gani?
,jiandae kupangua hoja ikiwa wewe ndio uliowaleta.
6-una makampuni na mahotel huko Lindi na mtwara ambayo inasemekana yaliongoza kwa ukwepaji kodi,jiandae kupambana na TRA,
Mengi yataibuka na usije shangaa ukapewa kesi ambayo utahangaika nayo sana,itakupa uchovu wa akili na mwili.
Kwakua bado una ndoto za kuwa rais wa nchi hii komaa,ila system huwezi ishinda hata siku moja,hili nawe unajua, na kwa vile wanadamu tumeumbwa na kiburi nakuachia wewe mwenyewe uchague,Lowassa aliliona hilo ,na mwisho wake hua ni stroke ,diabets au paralasing ukiwa bunkrupy kabisa.
Aisee!Siasa ni mchezo mchafu sana ,mara nyingi mwenye nguvu hua ni yule mwenye dola,especially nchi za kiafrika.

Membe kaingia mzigoni mazima mazima. Nazani hana mpango na CCM. Mwana ccm hawezi jadili kauli ya mwenyekiti wake ya Kukatwa mikia mbele ya runinga. Huyo ni either CDM ama ACT. Membe anamaumivu hajapona bado. CCM muacheni Membe bila buguzi kwa kuwa huyo sio wenu.
Naona anataka kujishusha level kufikia ya level ya Chahali Evarist. Umeongea jambo muhimu sana hao wote sasa wanapata taabu kupata nyeti za sustem maana wamebadilishwa waliokua wanawapikia majunguUmemaliza kila Kitu Mkuu na namuonea mno huruma kwani yajayo hayatokuwa yakufurahisha Kwake. Hicho Kipengele chako #4 ndiyo nimekipenda zaidi. Sijajua Membe amejiamini nini wakati Yeye ni Mtu wa ' System ' tena wa ' Senior Level ' kabisa leo hii anakuja kutaka Kutunishiana Misuli na wenye ' System ' hii mpya huku akijua fika ya kwamba ' almost 65% ' ya yale aliyokuwa akiyajua ya ' System ' sasa yamebadilika na hakuna ambacho anakijua sana sana ataishia tu kupewa ' Umbea ' mdogo mdogo na ambao hautokuwa na Tija / Mantiki yoyote Kwake. Amefanya Jaribio baya sana na ambalo asipoangalia litakuja Kumgharimu mno Siku si nyingi.