Membe jiandae kisaikolojia

Hakuna mwenye nguvu kumzidi jiwe kwa sasa.
Mimi naona wangeokoa hela za kampain na uchaguzi zikafanya mambo mengine.
Nchi yetu ina matatizo mengi sana
kwa kweli mpaka wananchi walio wengi waje kukaa akili sawa .....wangenda kuinvest uko... kubet against magu sio poa all in alafu mwisho wa siku hauishi kwa amani for 5 full years
 
Hizo hesabu hazipo kwa mtu aliyeko madarakani kwa hapa Tz. Tuvumilie tu na tuombe Mungu pepo la kujiongezea muhula wa tatu limpitie mbali.
 
Wewe omba tu Mungu pepo la kujiongezea muhula wa tatu limpitie mbali vinginevo hakuna wa kumzuia rais wa nchi hii kufanya anachotaka.
 
We ni mpumbavu sana na huna akili. Aliyekutuma au anaye kupa pesa uje kuleta huu upuuzi mwambie wananchi tumemchoka.

Kaharibu nchi vya kutosha..
 
Umeandika ukweli mtupu !
 
Watu waliohudumu kitengo cha usalama au ujasusi hawachezewi hata siku moja kule usa edgar hoovaer mkuu wa c.I.A aliogopwa na maraisi wote 7bu alikuwa na mafaili machafu yaliyowahusu, historia inaonyesha rais ambae anaweza kumshurutisha jasusi ni yule ambae naye aliwahi hudumu kitengo tena kwa nafasi ya juu lakini kwa huyu mzee wa chato kuhusu usalama ni mbumbumbu.

Ukija kwa bashite ndiyo debe tupu kwa masuala ya usalama ndo maana hata wale wanaoitwa wasiojulikana kuna mamluki kutoka rwanda hii inaonyesha ni namna gani mfumo haupendi huu ujinga na wanajua kila kitu kuanzia msimamizi hadi watekelezaji ila wanashindwa ku intervene katiba inawabana we subiri 2020 ikaribie ndo utaona kitakachotokea.
 
We ni mpumbavu sana na huna akili. Aliyekutuma au anaye kupa pesa uje kuleta huu upuuzi mwambie wananchi tumemchoka.

Kaharibu nchi vya kutosha..
Sema umechoka,usisemee nafsi za watu
 
Lowassa hakuhudumu kitengo?
 
Mkuu Umeongea Point Unajua Mimi Binafsi Nirijiuliza Kuna Matukio Yalitokea Hapo Nyuma Mkurugenzi Msatahafu Wa Usalama Wa Taifa Rafiki Mkubwa Wa Lowassa Kuitwa Ikulu Na Atuja Chukua Muda Mara Paa Lowassa Kurudi Nyumban Ccm Na Siku Ya Mapokezi Waziri Mkuu Na Mh Raisi Walifurahi Sana Kuangaria Pembeni Na Muona Mr Rostam Anapiga Makofi Nikajiuriza Hawa Masters Plan Kwann Wamerudi Ccm Na Magufuri Na Majariwa Kwann Wanafurahi Hivi Nikahisi Kuna Jambo Wameshinda Sasa Leo Ndio Nimepata Jibu Kwanini Walikuwa Wanafurahi Kiasi Kile
 
Kama una ushahidi peleka mahakamani ukamfungulie kesi

Ilä nyie wote pamoja na uyo unaemtuhumu ni maccm ya hovyo tu
 

Kwani ilikuwa ni lazima uandike kitu? Si ingine soma tu upite!!!
 
Hivi ninyi mmeshajipa hati miliki ya nchi hii?? Kazi kuu mliyonayi ni kutumia madaraka kuwaumiza wengine?? "Anaeua kwa Upanga nae huuawa kwa Upanga" Endeleeni kuyanoa hayo mapanga yajekuwachinja vizuri.
 
Hivi ninyi mmeshajipa hati miliki ya nchi hii?? Kazi kuu mliyonayi ni kutumia madaraka kuwaumiza wengine?? "Anaeua kwa Upanga nae huuawa kwa Upanga" Endeleeni kuyanoa hayo mapanga yajekuwachinja vizuri.
Hata waliokula fedha ya Gaddafi lazima waiteme tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…