thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,271
- 9,114
Siasa ni mchezo mchafu sana ,mara nyingi mwenye nguvu hua ni yule mwenye dola,especially nchi za kiafrika.
Ndio maana wale wajanja ambao hujua wamepora wakiwa kwenye madaraka muda ukiisha hukaa kimya kujilia vyao taratibu.
Sasa naona umechokoza mzinga wa nyuki kumbuka ulikua kwenye system unataka kupambana na system,ambayo inakujua kindakindaki ABC zako.kukumaliza ni jambo dogo sana.
1-Imetajwa dola million ishirini (20)za Gaddafi ,unatakiwa utoe maelezo ya kutosha.
2-kutamalaki kwa dawa za kulevya awamu yako.
3-utakatishaji fedha uliokithiri awmu yako.
4-ugonvi wa Tanzania na malawi/ Tanzania na Rwanda ukiwa waziri wa mambo ya nje uhusiano ulikua mbaya.
5-ulileta makampuni mengi ya kitapeli ambayo mengi yalikua hayalipi kodi,ikiwemo kuuza kipande cha ardhi Bagamoyo kwa wageni pia kuikabidhi gas ya mtwara na Lindi kwa mkataba wa kinyonyaji. hapa nakumbuka Simbachawene aliuleta huu mkataba bungeni kwa haraka,ni wabunge 60 tu waliopitisha ,wapinzani kina Lissu walisema serikali ina haraka gani?
,jiandae kupangua hoja ikiwa wewe ndio uliowaleta.
6-una makampuni na mahotel huko Lindi na mtwara ambayo inasemekana yaliongoza kwa ukwepaji kodi,jiandae kupambana na TRA,
Mengi yataibuka na usije shangaa ukapewa kesi ambayo utahangaika nayo sana,itakupa uchovu wa akili na mwili.
Kwakua bado una ndoto za kuwa rais wa nchi hii komaa,ila system huwezi ishinda hata siku moja,hili nawe unajua, na kwa vile wanadamu tumeumbwa na kiburi nakuachia wewe mwenyewe uchague,Lowassa aliliona hilo ,na mwisho wake hua ni stroke ,diabetis au paralasing ukiwa bunkrupcy kabisa.