Angalau ccm wanatoa majibu kwa maoni ingekua upande mwingine Membe angeambulia matusi na kuitwa msaliti. Mimi si kada wa chama chochote lakini hua napitia comments hapa mnamwita ZZK ni msaliti laiti ZZK angekua ccm kaingia upinzani angeitwa akili imemrudi. Siasa zetu bado sana na nyumbu ni mimi na wewe iwe ccm ama ukawa na hata mimi ambaye si mwanachama wote tunaohelea ktk bahari ya nyumbu maana wanasiasa wametugeuza nyumbu. Lakini wengi zaidi wasiotumia akili zao na kudhihirisha ni nyumbu wa ukweli ni watu kama wewe na CDM ya mbowe. Samahani kama nimekukwaza lakini ndiyo ukweli huwezi kumtukana mtu na kumwita fisadi miaka 8 mpaka kufikia miezi mitatu ksbla ya uchaguzi halafu baadae useme ni msafi ni nyumbu pekee ktk jamii ya wanyama anayeweza kulinganishwa na binadamu wa hivyo