Comrade Mpayukaji
Senior Member
- Sep 26, 2007
- 198
- 12
Ni hatari kwani kwenye shimo la panya wataingia waliomo na wasiokuwemo.Tungeiachia polisi na serikali yake ifanye kazi yake.Kilichochema ni kuwa aliyejeruhiwa yupo hai na anaweza kumudu kuongea na kuelezea nini kilichomsibu.
Serikali haiwezi kujichunguza yenyewe! Wanajua walichokifanya mbona ya Dr. Ulimboka mpaka leo hamna majibu?