babujii
Member
- Apr 5, 2012
- 95
- 12
He hivi aliyetuhumiwa ni B. membe ambaye pia ni waziri wa mambo ya nje au ni Waziri wa mambo ya nje ambaye ni Benard Membe? maana katika majibu ya waraka huu chini kabisa kumeandikwa nafasi ya mheshimiwa Membe lakini pia mbona siyo headed paper yenye nembo ya serikali imekaa vyema kweli hii? all in all Kibanda kaumia Membe na serikali yako mnayajua haya maana jukumu la ulinzi na usalama ni wa serikali yenu