Membe atoa tamko juu ya kutekwa kwa Kibanda

Dingswayo

JF-Expert Member
May 26, 2009
4,019
2,923
attachment.php
 
Ni hatari kwani kwenye shimo la panya wataingia waliomo na wasiokuwemo.Tungeiachia polisi na serikali yake ifanye kazi yake.Kilichochema ni kuwa aliyejeruhiwa yupo hai na anaweza kumudu kuongea na kuelezea nini kilichomsibu.
 
hadi 2015 ifikie tutasikia mengi ya kupikwa na ya ukweli.
nchi yangu Tanzania nani kuiloga???
hata shetani anatushangaa
 
Na waandishi watazid kuuwawa kwa sababu ya upumbavu wao.mwanahalisi limefungiwa wanacheka cheka tu
 
sikutegemea kama angeweza kujibu tuhuma nzito kama hizi krahisi na kifupi hivi. hebu aseme vizuri basi wakati anahojiana na mwandishi wa habari kwenye kipindi cha dakika 45 pale ITV,alimaanisha nini kusema kuna maadui 11 na wawili ni waandishi wa habari na atawashughulikia alikuwa anamaanisha nini? au na hilo ni la uongo kama ndo hivyo basi aanze kukanusha tokea hapo wa tz watamwelewa,lakini vinginevyo anachanganya sana. nakumbuka mwalimu wangu alishawahi kunambia kauli moja tu inaweza kuchafua na kuharibu maana ya ujumbe mzima. one word can spoil the whole story. Je anakumbuka kauli ya chenge ya VIJISENTI, kauli ya mkapa,mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe zilivyoleta tafsiri tofauti kwa watanzania?.haya tusuburi wanasheria wake wamshauri nin cha kufanya
 
Membe na vyombo vya Ulinzi na Usalama!

1. Kwa nini imekuchukuwa muda mrefu sana kukanusha hizi tuhuma (Ulikuwa unasikilizia upepo kwanza??)

2. Membe unajichanganya! Vyombo vya Usalama unavyosema vitende haki ndivyo hivyo VINAVYOTUHUMIWA kumdhuru Kibanda!

Huu ni Utani!
 
Very Good,Professional,short and clear......

Kwenye ile thread iliyomhusu Membe nilishauri kwamba kuna haja ya Membe kufanya press juu ya uhusika au kutohusika kwake mapema.

Naomba nitofautiane nawe Ben Saanane...hilo tamko haliko 'professional'. Membe ametuhumiwa/kutajwa kuhusika katika hilo sakata katika 'capacity' ya Membe..na sio 'Waziri wa Mambo ya Nje', yaani kiongozi wa serikali. Sasa kwa nini atoe tamko kama Waziri?
 
Last edited by a moderator:
Na waandishi watazid kuuwawa kwa sababu ya upumbavu wao.mwanahalisi limefungiwa wanacheka cheka tu
nani alimwagia Tindikali Kumbenea? Gazeti lake limefungiwa kwa nini? Nani alimuua Mwangosi? kwa sababu gani?

Fikiri kabla ya kuamua.
 
Membe Ulisema kuwa utawashughulikia maadui 11 wakiwepo waandishi. Kukanusha hili huwezi. Mhusika namba moja ni wewe tu basi.
Hata hiyo video mliyobumba haitakuondolea hatia!!
 
Back
Top Bottom