MWILI NYUMBA
JF-Expert Member
- Jun 18, 2012
- 817
- 255
geuzia (antena) mjini.
Ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!! Umenivunja mbavu mkuu!!
geuzia (antena) mjini.
Siku zote huwa sina imani kabisa na Membe
Kama mnalipwa kumchafua Membe imekula kwenu Big tyme
Good thinking chakarikamkopoTatizo lile lile kuzungumzia watu badala ya mfumo.....unadhani asingekuwa Membe au huyo dada angefanya tofauti? kwanini utegemee utashi wa mtu na sio mfumo?. Badala ya kukomaa na mtu (Membe) pigania mfumo mzuri ambao by virtue of your position ulitakiwe ndio wewe usaini, na kwamba akisaini mtu mwingine muswada/mkataba unakuwa void.
Nimefuatilia uzi huu mpaka sasa sijaona mchango mahsusi kuhusu hoja yenyewe. Nilidhani mjadala ungejikita katika kujadili uhalali wa Mhe.Membe kufanya hivyo maana sababu si alimpatia? Sasa sijui hapa tunajadili nini zaidi ya kumjadili mtu.
Nataka mtu aje aseme hapa kwa mujibu wa.Membe hakuwa sahihi kufanya hivyo otherwise naona ni extension ya chuki, na makundi ya urais. Give the guy a break.
It seems....... Hujaona kosa hapo????
mikataba mingi ya hii nchi watakuwa wame sign bila kuisoma,huo mmoja tu ndo umeshtukiwa
viongozi wenyewe hawako makini kila mtu anatafuta pakulia!!
Kama membe hakukosea kwanini JK alimuombea msamaha??
Mungu wangu! halafu huyu ndie anataka tumkabidhi nchi yetu nzuri Tanzania tuliyopewa na Mungu
kwa upendeleo!!!!!! Si atatuuza na watoto wetu na wajukuu."Ee Mungu tuepushe na balaa la watu wa
aina hii,hata wakitangulia mbele ya haki ni mapenzi yako yatimizwe"
Ah kwa hapo siendi kupiga kura abadaaaan