Membe Amlipua Wenje

alipwe kitu gani jamani mbona kila kitu kipo wazi jana kama ulimsiliza membe vizuri. Watanzania tuache ushabiki uso na tija

mtahangaika sana lakini mwisho wa siku utawala dhalimu wa kagame utangushwa, amini aliungwa mkono na baadhi ya watanzania, oau, na umoja wa mataifa lakini mwisho wa maovu yake ulifika na hamna aliyeweza kumtetea dhidi ya ghadhabu za watanzania wapenda amani.
 
Benjamin William Mkapa
alikuwa Raisi wa Tanzania kwa miaka kumi mfululizo na katika miaka hiyo
hakuwahi kupeleka jeshi nje ya nchi.
Benjamini Willaiam Mkapa aliamini katika diplomasia na kuepuka kupanua
wigo wa mizozo na hivyo kutumia muda mwingi kuinua uchumi wa nchi,na
aliafanikiwa.
Kinachoonekana sasa ni kuonyesha military mighty ya Tanzania kwa jirani
wakati hatuna uwezo wa kutengeneza hata spare ya kifaru.
Watu wanatafuta scapegoat watakapoulizwa kuhusu serikali kukosa
akiba!!!!!!
Tuna shida nyingi,tuepuke kuingia mahali bila sababu ya msingi ili tuwe
na muda wa kushughulikia matatizo yetu ya ndani.
Well said Kambi ya upinzani,nawapongeza,huu uenda wazimu wa kupenda vita
lazima tuukatae.

wengine humu hata hamjielewi aliyekwambia tanzania inapigana na mtu nani. wanajeshi wetu wapo kwenye operation za un kama nchi nyingine hata hao rwanda wapo central africa mbona mnapenda kujitoa ufahamu.?
 
Colorado State wamehalalisha Uvutaji wa Bangi kwani haina madhara ukilinganisha na tumbaku! imethibitishwa kuwa bangi inatibu magonjwa mengi ... I think police walitakiwa wande kuwakamata wanaofagilia mali za UMMA kuibiwa mchana kweupee... Mapovu yanawatoka kutetea MAPANYA RD Sr kuifisadi UDA ...Shame on you ...

marekani pia wamehalalisha ushoga, haya kaolewe na jinsia yako
 
Benjamin William Mkapa alikuwa Raisi wa Tanzania kwa miaka kumi mfululizo na katika miaka hiyo hakuwahi kupeleka jeshi nje ya nchi.
Benjamini Willaiam Mkapa aliamini katika diplomasia na kuepuka kupanua wigo wa mizozo na hivyo kutumia muda mwingi kuinua uchumi wa nchi,na aliafanikiwa.
Kinachoonekana sasa ni kuonyesha military mighty ya Tanzania kwa jirani wakati hatuna uwezo wa kutengeneza hata spare ya kifaru.
Watu wanatafuta scapegoat watakapoulizwa kuhusu serikali kukosa akiba!!!!!!
Tuna shida nyingi,tuepuke kuingia mahali bila sababu ya msingi ili tuwe na muda wa kushughulikia matatizo yetu ya ndani.
Well said Kambi ya upinzani,nawapongeza,huu uenda wazimu wa kupenda vita lazima tuukatae.

vile vifaru uwanjani pale vilitisha sana!:)
 
I couldn't believe that Wenje turned himself a punching bag for Membe and millions of partriots in Tz. I hope he gets it clear that hear say stuff doesn't make a meaningful arguement.
 
Wakati Bunge likipitisha bajeti ya makadirio ya matumizi Sh191.91 bilioni ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kwa mwaka wa fedha 2014/15 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe, alitumia nafasi hiyo ‘kumchana’ Ezekiel Wenje na kusema kuwa anatumiwa na mataifa ya nje.

Mbali na hivyo aliwaita watu wanaotoa kauli za uchonganishi kuwa ni wapumbavu na akataka waache tabia za kipumbavu kwani hawatavumiliwa hata kidogo.

Membe alitoa kauli hiyo jana jioni wakati akitoa majumuisho katika michango ya wabunge kwenye hotuba ya mapato na makadirio ya wizara hiyo kwa mwaka 2014/15.

Wenje ambaye ni Waziri Kivuli wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa jana asubuhi katika hotuba yake, alimshambulia Membe kuwa ni waziri mzigo ambaye hajui wajibu wake.

Sakata hilo liliibuliwa kwenye uhusiano baina ya Tanzania na nchi ya Rwanda ambalo Wenje alilizungumzia zaidi.

Akijibu hoja hizo Membe, alisema: “Kwanza nikubaliane na kauli ya wabunge wengi kuwa uhusiano wa Tanzania na Rwanda siyo mzuri kwani kila upande haumuamini mwenzake,” aliema Membe.

Alisema kinachowaumiza pande zote ni kuwa kila upande unapozungumza na mahasimu wa mwenzake, wanahisi kuwa anataka kuipindua Serikali yao hivyo bado hawajakubaliana kwa jambo lolote lakini akasema yote yatakwisha salama.

“Huwezi kusimama hapa mtu na macho yakakutoka halafu unaanza kulizungumzia taifa lingine ambalo siyo lako, hivi unatoa wapi ujasiri huo au wanakulipa,”alihoji Membe na kuongeza.

“..Mimi naweka rehani uwaziri wangu hapa kwamba ukileta vielelezo kamili mimi nitakuwa tayari kuachia nafasi yangu, je na wewe nikitoa vielelezo utakuwa tayari kuwajibika.”

Alimtaja Wenje kwa jina kuwa alichokifanya hakifai kuwa alitoa kauli ambayo siyo nzuri kwa siri za taifa na akasema mtu kama huyo akipata nafasi hata kama nchi itakuwa vitani, yuko tayari kutoa siri.

Aliyataja makundi ya ya M23 kuwa ni moja ya kundi ambalo linaundwa na Banyamulenge waliokuwa chini ya Laurent Nkunda pamoja na kundi la FDLR ambalo liliua watu wengi kwamba linaundwa na Wahutu bila ya ubishi.

Membe alimpongeza mbunge Alli Keissy kuwa alichokizungumza jana asubuhi kuhusu Rwanda na DRC Kongo ni sahihi na ndiyo maana alimshangilia kwa nguvu zote.

Source: Mwananchi

mkuu hv wewe una muda hata wakufua chupi yako zaid ya kuhala jf!
 
Kwanza,Nampongeza Waziri Wa Mambo ya Nje Bernard Membe kwa kukubali kuwa kuna haja ya kuwa na wataalamu wa uchumi kwenye Balozi zetu nje ambao wamebobea katika Diplomasia ya Uchumi .Hili suala nimeshaandika hapa mara kadhaa,nimeaandika JF na Pia makala kwenye magazeti.Ni hatua nzuri sasa kama Wizara imetambua umuhimu wa kutumia Balozi Zetu kuvutia watalii ,kuhamasisha Biashara kati ya Watanzania na watu au makampuni ya Nje na pia kuvutia wawekezaji (Foreign Direct Investment).Sasa tumeanza kwenda na wakati ingawa tunahitahi Sera yenye strategic focus kwa EAC,SADCC,AU,ARAB LEAGUE,ASIA,CHINA ,US n.k kama Potential Partners. Uingereza,Kenya,SA,China na US ni strategic partbers katika Uwekezaji.Hapa ni lazima tufanye formulation ya Unique Policy ili hata wanadiplomasia wetu waongozwe na Framework Specific

Pia Economic Intelligence Unit au Think Tank iundwe na iwe na Coordination ya Moja kwa Moja na Department ya Economic Diplomacy.kwa bahati mbaya Wabunge hawakumbana katika Eneo hili.Diplomasia ya sasa ni ya Uchumi na sio Diplomasia ya Kisiasa tena. Leo tunatuma wanasiasa wakatuwakilishe kule Doha kwenye Mikutano ya WTO wakati Wenzetu wanapeleka mabingwa mbinu za majadiliano ya kibiashara na Uchumi kutoka kwenye Economic Intelligence Unit zao

Pili,jana nilitahadharisha juu ya matamshi ya Mbunge Kessy kuhusu yeye kuituhumu Rwanda na nikasema alikosa weledi unaohitajika katika majadiliano ya mijadala ya kidiplomasia ndani ya bunge na nikaonyesha masikitiko yangu kwa Mhe.Bernard Membe kushangilia kauli ya Mhe.Kessy kuwa Rwanda inaiba Raslimali za Congo-DRC na pia inafadhili M-23.

Well,Nilisema Kessy ametuhumu (Hata kama ni Kweli) bila kufanya Rejea .Nikasema labda Membe aje afanye Rejea ya Ripoti ya UN lakini nikatahadharisha kuwa hata akifanya hivyo lakini Rwanda hajaadhibiwa.

Kweli Mhe.Membe alikuja kumsaidia Kessy kwa kufanya Rejea ya Ripoti ya UN na kutumia flirtiring Skills akidhani kuwa anamshambulia msemaji wa kambi ya upinzani.

Membe alichofanya ni makosa makubwa kidiplomasia na hili litachochea mgogoro mkubwa na Rwanda.

Je,Kauli alizotoa Kessy au Membe kuwa Rwanda ni Wezi na M-23 ni kundi la Serikali ya Rwanda,Rais Kikwete anaweza kuzitamka kwenye Mkutano wa EAC,SADCC,ICGLR,AU Au Kule UN General Asswmbly? Waziri mkuu Pinda aliyelitangazia Bunge Mwaka jana kuwa Serikali imemuomba Rais Museveni wa Uganda awapatanishe Kikwete na Kagame alimaanisha nini?Kwamba Rais angefuta kauli yake ya kumshauri Kagame kuongea na FDLR?Vipi mbona Ripoti aliyoinukuu Membe Bungeni pia imeituhumu Uganda kuwa wanashirikiana na Rwanda kulifadhili Kundi la March-23 Movement(M-23)? Siis wengine tulipinga tangu Mwanzo Uganda kuhusishwa maana kama ni confidence ya Mediator sidhani kama Tanzania ingekua nayo kwa Museveni na tena ningeshangaa sana.

Tanzania tumeonyesha kutokua na ajenda kimataifa na nimeshasema mara nyingi tunafuata sera ya fuata mkumbo (Bandwagoning Diplomacy).Tupo tupo tu na tunadandia kila kitu halafu tunasema tunaheshimika sana kimataifa?

Hiyo nguvu ya usuluhishi unaitoa wapi wakati huu wa sera ya Diplomasia ya Uchumi ambako nguvu ya uchumi na kijeshi ndiyo inayokupa nguvu katika medani za kimataifa ikiwepo usuluhishi? Marekani wakisema Usalama wanamaanisha nguvu ya kiuchumi. Nigeria baada ya Rebasing ya uchumi wao imekua taifa lenye uchumi mkubwa Afrika na hivyo nguvu ya taifa na sauti yao itaheshimika

Kenya wanatupita katika nguvu na sauti kimataifa katika ukanda huu kwa sababu ya nguvu ya kiuchumi na sisi tunaendelea kutumia ile akiba ya Diplomasia ya siasa za Frontline aliyoacha Mwalimu Nyerere

Sasa Ripoti ya Mhe.Membe iliyoandikwa na UN Expert Group ilipingwa na Rwanda,pia Ripoti hiyo ilipingwa na Uganda maana hata Uganda walituhumiwa lakini Membe kwa upotoshaji Mkubwa hakuitaja.

Ni jambo la ajabu kuwa Top Diplomat wa Nchi anashindwa kuzingatia kuwa Tayari Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilishaidhinisha Vikwazo kupitia Azimio namba 2136 (2014) ambalo liliungwa mkono na Rwanda kwa mtazamo wa kuwa Azimio namba 1533(2004) lilotanguliwa na Azimio 1494(2003) linaheshimiwa

Azimio namba 2136 liliweka Vikwazo kwa M-23(Bila kuitaja Rwanda katika Adhabu hiyo) na pia Congo -DRC waliadhibiwa kwa kuifadhili UFDLR ambayo pia ilitajwa na UN report aliyoitumia Membe

FDLR wana extrime Ideology iliyohusika na Mauaji ya Kimbari ya Rwanda na ilithibitishwa na UN Security Council.

Haya Membe hakuyajadili wakati Bunge lilihitaji mjadala ili nchi yetu iangalie namna ya kuwasaidia majirani zetu,pia tudumishe amani,mahusiano ya kidiplomasia hasa ya kiuchumi na pia kulinda mtazamo mpana wa umajumui wa Afrika

Membe alichagua Kufanya siasa kiduchu(Petty Politics) kumshambulia Wenje binafsi(Personal Attack) kinyume na weledi wa Diplomasia na pia kutoa matamshi yatakayochochea mgogoro zaidi baina ya Tanzania na Rwanda kwa kuituhumu Rwanda kuifadhili M-23 huku akijua kwa sasa kulingana na azimio 2136 Nchi wanachama wa ICGLR(Nchi za Ukanda Maziwa Makuu) zina jukumu la jumla na binafsi katika kusaidia kutekeleza maazimio hayo ikiwa ni pamoja na kushirikiana na UN Expert Group iliyopewa Mandate ya kurefusha Sanction Regime hadi February 1,2015 ili kuleta amani ya Kudumu

Waziri wa Mambo ya Nje kupotosha mjadala na kutuhumu kuwa Msemaji wa Kambi ya Upinzani anatumiwa na Mataifa ya Nje (Pengine Rwanda) ni udhaifu mkubwa katika kukwepa hoja .Kama kuhoji kuhusu tuhuma za Rais Kukutana na Kiongozi wa Waasi(Tena Sio Upinzani) basi inamfanya Wenje kuwa Mamluki anayelipwa na Rwanda kuisemea ndani ya bunge ,Je ni wapi Duniani tuliwahi kuona Rais Wa Nchi kulisemea na kulionea huruma kundi la Waasi? Membe hakupima Kauli zake

Ni mwaka jana tu Membe alitoa matamshi tata kuhusu kutengwa kwetu kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki na kudai "tunasubiri Talaka".Tuliipinga kauli hii na kwa bahati nzuri Rais Kikwete aliliona hilo na akatoa hotuba nzito Bungeni kuwa hatuendi Popote.

Mimi ni mzalendo ninayelipenda Taifa langu na nitalipigania popote duniani.Sipendi Blind Patriotism.

Kagame ana matatizo yake ndani ya Rwanda lakini hatuwezi kuruhusu kauli aliyoitoa JK kuwa Rwanda Iongee na Waasi(Kauli ambayo nikiiunga mkono na naendelea kuiunga mkono) itumike kuhatarisha mahusiano yetu na watu wa Rwanda au Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa kauli za Mawaziri ambazo wanazitoa bila kipimo

Pia suala la Majeshi yetu kule Congo DRC lipo na ni sehemu ya Tanzania katika kutimiza majukumu yake ya kimataifa(International Obligation) kupitia Azimio no.2098 la kuunda MONUSCO.

Hata hivyo halizuii mijadala bungeni maana hata Obama aliposema "Dumb War" ilikua ni matokeo ya mjadala ndani ya Congress kule US kuhusu Rais Bush kulidanganya Taifa kuwa Iraq ina silaha za Kemikali kumbe ni Uongo.Marekani ilipata hasara.

Ni lazima kuwe na mjadala bungeni kwa kukosoana na kurekebishana ili tuunde mwafaka wa kisera kama nchi tusonge mbele.Waziri alikosa weledi juu ya matumizi ya Code Words and Politeness

Unachagua kujadili millitary adventure huko DRC halafu unashindwa kutoa majibu ya kushindwa kwa Serikali kutuma Millitary Plane kufanya Evacuation hata ya Raia wetu kule Sudan Kusini wakati wa Vita? Kwanza nampongeza Membe kwa kukubaliana na ile Hoja yangu ya jana kuwa Tanzania imezubaa na wizara haina takwimu ya idadi ya Raia wa Tanzania nje hivyo hata mikakati ya kunufaika na Diaspora ni lazima tutatue changamoto hii kwanza

Tatu,Membe Alishangaza kwa kutetea ziara za Rais nje .Rais amefanya ziara zaidi ya 365 nje ya nchi kushinda Mwalimu Nyerere ambaye hakufikisha ziara 70 kwa kipindi chake cha miaka 24 madarakani.Rais anataka kuwa Member wa Diaspora?Maana ameshinda angani na nje ya nchi kwa sababu dhaifu kabisa kabisa.

Membe anatoa sababu dhaifu kuwa Rais anapendwa na kuheahimika,Je kati ya Rais Kikwete na Mwl.Nyerere ni nani alikua akiheshimika zaidi kimataifa?

Rais anashindwa kubaki nyumbani na kudhibiti wizi wa mali za umma kama bilioni 200 za ESCROW kwenye sakata la IPTL badala yake anaenda kuomba bilioni 40 au 100 nje ya nchi tena sehemu nyingine kama Singapore anapokelewa na mkurugenzi wa Idara kinyume na Itifaki kabisa?

You can't defend the trip maniac president in that way

Ifike Mahali sasa kwenye Katiba tudhibiti ziara hizi kama Mexico ambako Rais Vicente Fox alionja fedheha hii kwa kuzuiwa na Bunge lake la Senate mara Mbili Kusafiri ikiwepo ziara yake US na Canada.Safari za Rais ilikua ni lazima zipate approval ya Bunge. Chama cha Upinzani cha PRI kilizuia safari zisizokua na Tija.

Mexico walipata dawa ya kudhibiti Marais ambao ni wazururaji utadhani wamelelewa kwa supu za usafiri(Makanyagio) ya kuku wa kienyeji. Balozi za nje na hata wizara zinaweza kufanya baadhi ya safari na kupunguza gharama.

Hatuwezi kuegemea kwenye ziara za Rais katika Diplomasia ya Kuomba na Kushukuru badala ya kuweka Diplomasia ya Uchumi.Tunahitaji kudhibiti ziara za Rais kikatiba kabisa na safari zipate Approval ya Bunge kama Mexico. How can we justifty global trotting to seek aid and loans while we cant protect our Cash reserves?
 
I wish Watawala wetu wangejua kuwa Dunia iko ktk vita vikali vya kiuchumi...
 
wengine humu hata hamjielewi aliyekwambia tanzania inapigana na mtu nani. wanajeshi wetu wapo kwenye operation za un kama nchi nyingine hata hao rwanda wapo central africa mbona mnapenda kujitoa ufahamu.?
Isome tena thread yangu naamini utagundua jambo!
 
hebu kaeni chini mtafute uovu wa WENJE hatua kwa hatua na huo UMAHIRI wa DIPLOMASIA wa MEMBE BERNARD halafu wenye akili tupime tuone mnasema nini.VINGINEVYO NI MNYWAJI WA BIA SAFARI ANAMSEMA MNYWAJI WA KIROBA KUWA NI MLEVI WAKATI WOTE WANAKUNYWA MKOJO WA FIRAUNI!
 
Wakati Bunge likipitisha bajeti ya makadirio ya matumizi Sh191.91 bilioni ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kwa mwaka wa fedha 2014/15 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe, alitumia nafasi hiyo ‘kumchana’ Ezekiel Wenje na kusema kuwa anatumiwa na mataifa ya nje.

Mbali na hivyo aliwaita watu wanaotoa kauli za uchonganishi kuwa ni wapumbavu na akataka waache tabia za kipumbavu kwani hawatavumiliwa hata kidogo.

Membe alitoa kauli hiyo jana jioni wakati akitoa majumuisho katika michango ya wabunge kwenye hotuba ya mapato na makadirio ya wizara hiyo kwa mwaka 2014/15.

Wenje ambaye ni Waziri Kivuli wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa jana asubuhi katika hotuba yake, alimshambulia Membe kuwa ni waziri mzigo ambaye hajui wajibu wake.

Sakata hilo liliibuliwa kwenye uhusiano baina ya Tanzania na nchi ya Rwanda ambalo Wenje alilizungumzia zaidi.

Akijibu hoja hizo Membe, alisema: “Kwanza nikubaliane na kauli ya wabunge wengi kuwa uhusiano wa Tanzania na Rwanda siyo mzuri kwani kila upande haumuamini mwenzake,” aliema Membe.

Alisema kinachowaumiza pande zote ni kuwa kila upande unapozungumza na mahasimu wa mwenzake, wanahisi kuwa anataka kuipindua Serikali yao hivyo bado hawajakubaliana kwa jambo lolote lakini akasema yote yatakwisha salama.

“Huwezi kusimama hapa mtu na macho yakakutoka halafu unaanza kulizungumzia taifa lingine ambalo siyo lako, hivi unatoa wapi ujasiri huo au wanakulipa,”alihoji Membe na kuongeza.

“..Mimi naweka rehani uwaziri wangu hapa kwamba ukileta vielelezo kamili mimi nitakuwa tayari kuachia nafasi yangu, je na wewe nikitoa vielelezo utakuwa tayari kuwajibika.”

Alimtaja Wenje kwa jina kuwa alichokifanya hakifai kuwa alitoa kauli ambayo siyo nzuri kwa siri za taifa na akasema mtu kama huyo akipata nafasi hata kama nchi itakuwa vitani, yuko tayari kutoa siri.

Aliyataja makundi ya ya M23 kuwa ni moja ya kundi ambalo linaundwa na Banyamulenge waliokuwa chini ya Laurent Nkunda pamoja na kundi la FDLR ambalo liliua watu wengi kwamba linaundwa na Wahutu bila ya ubishi.

Wenje na wanao muunga mkono kwa usaliti wake wanastahili kifo. Usalama wa taifa mko wapi. Adhabu ya msaliti ni kifo. Nasubiri kifo cha Wenje!
 
Thubutu ! Masilaha ya kichovu kama yale utamtisha nayo nani ? Huyo IDD AMIN kawafungisha mkanda hadi leo , MSIMU HUU MTAFUNGWA MIGUU !

1. Iddi amin yule yule aliyewakimbia JWTZ akiwa amevaa baibui? Hicho ki nchi chenu chenyewe ni kama kuleee kunakopigwa filimbi pyeee...mnakusanyika jimbo zima!
 
Ndo faida ya kuendekeza viroba hakuna cha maana wenje anachoongea fuatilieni hotuba zake Khaaaa wana ilemela wana hki ya kumchagua mbunge mwingine kupitia act au ccm
 
Back
Top Bottom