Membe ameanza kutupa karata zake!!!

Hivi ikifika 2020 ccm si lazima tuchague mgombea urais kutokana na katiba ?
 
Acha watifuane tu hamna namna sisi yetu macho na masikio.
 
Kwani mfumo umelala?
 
Tatizo Membe hata alipopewa ajieleze kwa nini anataka kuwa rais enzi zile za mchakato alishindwa kuongea mambo ua Maana.
Wamuache JPM atutumbue tu hakuna namna hadi 2025.
Kwanza CCM dawa yao huwa ni Vikao.
Jpm akiita kikao akakiweka Live wote wanamchagua 100% bila kupingwa. Sina wasiwasi na Inconsistency ya wanaokula na kuishi kwa kutegemea CCM.
 
Membe hafiki popote. Bora Magufuli mara elfu kuliko Membe.

comrade unajitahidi mno

Plz niunge kwa hiyo channel yenu nami nipate buku 7...sitawaangusha

yaani hata jua likiwaka nitasifia tuu.Niko siriaz mkuu
 
Hata yesu alipingwa sana kwa kutetea wanyonge , Magufuli chapa kazi baba 2020 ni yako baba , kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa maji . Njia nyeupeee 2020.hongera sana Magufuli
 
Hivi yule joka mwenye ndimi 7 yuko wapi siku hizi?
 
Hata yesu alipingwa sana kwa kutetea wanyonge , Magufuli chapa kazi baba 2020 ni yako baba , kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa maji . Njia nyeupeee 2020.hongera sana Magufuli
Kwaiyo unamaanisha yesu ni kama nani?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…