Tunkamanin
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 955
- 867
Tuacheni tule bata la membe huyo mliyemsukumizia inatosha. Unamlinganisha MTU kwenye nafasi ya urais ambae hajawahi kushika nafasi hiyo kwa references gani? Au references za udaku, majungu na kisokorokwinyo.I know Magufuli is not perfect. But he is more better than Membe when it comes to seriousness.
pamoja Tunkamanin💪💪Tuacheni tule bata la membe huyo mliyemsukumizia inatosha. Unamlinganisha MTU kwenye nafasi ya urais ambae hajawahi kushika nafasi hiyo kwa references gani? Au references za udaku, majungu na kisokorokwinyo.
sema Wewe! as an individual's opinion😂😂😁😁Sisi wananchi wa Tanzania tunamuunga Mkono Magufuri hata kama vigogo wa chama hawamuungi mkono...
Sema wewe ndiye unamuunga mkono, usitake kutushirikisha kwenye mahaba yako!Sisi wananchi wa Tanzania tunamuunga Mkono Magufuri hata kama vigogo wa chama hawamuungi mkono...
Sisi wananchi wa Tanzania tunamuunga Mkono Magufuri hata kama vigogo wa chama hawamuungi mkono...
Hivyo vi clips ni vya kutengenezaNimegundua kuwa TISS ni chombo dhaifu mno kama wanakubali kutumika Kwa kuingilia mazungumzo ya watu ilimradi musiba apate ushindi hili ni Jambo la kijinga kabisa..
Hizi clips ni aibu Kwa Mkurugenzi wa TISS aneyetumiwa na CCM Kwa manufaaa ya kisiasa
Kweli mkuu wameachia clip mbili kati ya tano walizozibumba mataga ili Jiwe aweze kujilinda na kuwa one term president kwa hiyo anawatuma mataga kuwatisha watu anaowaona tishio kwake . tishio kwakeNaam,katika pitapita zangu nimesikia mahali kuwa Ndugu Bernard Membe ameanza kuzichanga karata zake,na haya yanayoendelea ni moja ya plan zake kuelekea 2020!!
Lengo likiwa kutikisa kiberiti ili watu waone ni namna gani JPM haungwi mkono na vigogo wa CCM japo wapo kimya tu!!!!
Tetesi zilizopo ni kuwa bado kuna clip nyingine 3 za vigogo ambazo ziko pending kusubiri wakati sahihi kuziachia!!!!
Yajayo yanafurahisha!!!!!!
Tunawalinganisha hata kipindi wako MawaziriTuacheni tule bata la membe huyo mliyemsukumizia inatosha. Unamlinganisha MTU kwenye nafasi ya urais ambae hajawahi kushika nafasi hiyo kwa references gani? Au references za udaku, majungu na kisokorokwinyo.
Huu uzi kama umeandikwa na Miriam wamigomba hauna cha maana zaidi ya UMBEANaam,katika pitapita zangu nimesikia mahali kuwa Ndugu Bernard Membe ameanza kuzichanga karata zake,na haya yanayoendelea ni moja ya plan zake kuelekea 2020!!
Lengo likiwa kutikisa kiberiti ili watu waone ni namna gani JPM haungwi mkono na vigogo wa CCM japo wapo kimya tu!!!!
Tetesi zilizopo ni kuwa bado kuna clip nyingine 3 za vigogo ambazo ziko pending kusubiri wakati sahihi kuziachia!!!!
Yajayo yanafurahisha!!!!!!
Sema wewe na,familia yako .Sisi wananchi wa Tanzania tunamuunga Mkono Magufuri hata kama vigogo wa chama hawamuungi mkono...
Musiba anatumia mtandao secured kutoka ujerumani!
Field marshalNi ile PhD pendwa ipo kazini
Tell him2020 MEMBE njia nyeupe.
Wewe ni mweupe katika mambo haya. Hivi kwa akili yako, Musiba anatafuta ushindi upi?Nimegundua kuwa TISS ni chombo dhaifu mno kama wanakubali kutumika Kwa kuingilia mazungumzo ya watu ilimradi musiba apate ushindi hili ni Jambo la kijinga kabisa..
Hizi clips ni aibu Kwa Mkurugenzi wa TISS aneyetumiwa na CCM Kwa manufaaa ya kisiasa