Membe ameanza kutupa karata zake!!!

Yupo aliyepo nyuma ya huyo uliyemtaja.
 
Acheni kutupotezea mda na Membe wenu. Mara mia apewe kibajaji.
 
matter of time.Have taken shower madam?? after that night's task?? pole I can see you are tired! dont play with menπŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚
Hawa ndo wafuasi wa Membe. Badala ya kujadili ideas umeanza kuniuliza mambo yangu personal. Magufuli lazima ashinde 2020.Membe na kundi lao najua wanaumia maana biashara zao haramu na halali ila walikuwa wanakwepa kodi wameshikwa pabaya.
 
Afute hayo mawazo akilini mwake kama alishindwa kuingia IKULU enzi za kakaake RAIS ataingia saahiz?
ye abaki kuwa shabiki huu mchezo hauwezi
 
mmepeleka wapi trion 2:4???
 
Hawa ndo wafuasi wa Membe. Badala ya kujadili ideas umeanza kuniuliza mambo yangu personal. Magufuli lazima ashinde 2020.Membe na kundi lao najua wanaumia maana biashara zao haramu na halali ila walikuwa wanakwepa kodi wameshikwa pabaya.
Wala usihangaike kumjibu, huyu ni mshabiki asiye na maarifa, wala hamjui vizuri anayemshabikia.
 
Hawa ndo wafuasi wa Membe. Badala ya kujadili ideas umeanza kuniuliza mambo yangu personal. Magufuli lazima ashinde 2020.Membe na kundi lao najua wanaumia maana biashara zao haramu na halali ila walikuwa wanakwepa kodi wameshikwa pabaya.
where do you get those jokes la madame??.... you have eyes but you see nothing?

where did they sent 2:4 trion?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Afute hayo mawazo akilini mwake kama alishindwa kuingia IKULU enzi za kakaake RAIS ataingia saahiz?
ye abaki kuwa shabiki huu mchezo hauwezi
History is going to be written.ONE TERM PRESDENT in history of Tanganyika at large and Tanzania in particularπŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜
 
hicho kitu hakipo kabisaa sema ungekuwa na hela tungebeti nikupuneπŸ˜„πŸ˜ƒ
 
Magufuli ni ngumu kumng'oa, zile tumbua tumbua zake zile zililenga kuweka msingi wa Magufuli, sio wa chama.
 
hicho kitu hakipo kabisaa sema ungekuwa na hela tungebeti nikupuneπŸ˜„πŸ˜ƒ
KARIBU SENIOR MEMBER.

JOINED 20 FEBRUARY 2019

points 125

reactions score 60

messages 101.

Jitahidi mbuyu ulianza kama mchicha
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…