Membe ameanza kutupa karata zake!!!

Membe ameanza kutupa karata zake!!!

Bome-e

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
17,187
Reaction score
26,209
Naam,katika pitapita zangu nimesikia mahali kuwa Ndugu Bernard Membe ameanza kuzichanga karata zake,na haya yanayoendelea ni moja ya plan zake kuelekea 2020!!
Lengo likiwa kutikisa kiberiti ili watu waone ni namna gani JPM haungwi mkono na vigogo wa CCM japo wapo kimya tu!!!!
Tetesi zilizopo ni kuwa bado kuna clip nyingine 3 za vigogo ambazo ziko pending kusubiri wakati sahihi kuziachia!!!!
Yajayo yanafurahisha!!!!!!
 
Nimegundua kuwa TISS ni chombo dhaifu mno kama wanakubali kutumika Kwa kuingilia mazungumzo ya watu ilimradi musiba apate ushindi hili ni Jambo la kijinga kabisa..
Hizi clips ni aibu Kwa Mkurugenzi wa TISS aneyetumiwa na CCM Kwa manufaaa ya kisiasa
 
Naam,katika pitapita zangu nimesikia mahali kuwa Ndugu Bernard Membe ameanza kuzichanga karata zake,na haya yanayoendelea ni moja ya plan zake kuelekea 2020!!
Lengo likiwa kutikisa kiberiti ili watu waone ni namna gani JPM haungwi mkono na vigogo wa CCM japo wapo kimya tu!!!!
Tetesi zilizopo ni kuwa bado kuna clip nyingine 3 za vigogo ambazo ziko pending kusubiri wakati sahihi kuziachia!!!!
Yajayo yanafurahisha!!!!!!
Mungu ibariki Tanzania
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom