Gamba la Nyoka
JF-Expert Member
- May 1, 2007
- 7,038
- 9,353
Kwa jinsi ninavyowajua wachina, kwao hii ni katika kuproject Softpower, ili kuwin hearts and minds za watu wa nchi masikini hususan Afrika ( Ni kama wamisionari walivyoingia afrika) ili kuwaanda kisaikolojia kuwakubali ktk scramble yao ya kiuchumi
Kitu kingine, wachina wanatumia mission za aina hii kama mbinu ya Propaganda kwao, yaani chama cha kikomunisti kiwaambie raia wao kuwa ni chama cha utu, ubinadamu na ndo maana kimetuma madaktari kuja kusaidia waafrika "masikini, Si ajabu sasa hivi Wachina kwenye Domestic TV channels huko kwao sasa hivi watarusha kwa kurudiarudia sana umma wa watanzania ulivyojipanga foleni kwenda kupata msaada wa "waokozi'.
Kwa kweli athari ya picha na video kama zile za wananchi wakiwa kwenye foleni kubwa kwenda kupata " msaada" wa wachina ni kuproject udhaifu na unyonge mbele ya watu wa mataifa.
Hili zoezi lilipaswa lifanywe in dignified manner, ambapo idadi ya watu wanaoweza kuhudimiwa ingezingatiwa, na utaratibu ungeandaliwa hao watu wakafika huko kuchekiwa badala ya kuuaminisha umma kuwa wote Watakaokwenda watauhudumiwa.