Meli ya wachina yawahitaji wasio wagonjwa!

Mnasihi

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2013
Posts
8,385
Reaction score
7,921
Naomba kuelimishwa hapa kwa hili la meli ya madaktari ya wachina au madaktari wa makonda kutoka china la kuwahitaji watu wasioumwa ndio waingie kwenye meli kufanyiwa uchunguzi na wale wagojwa wamekataliwa na kuelekezwa kuendelea na clinics zao!

Nauliza hivi kwasababu vyombo vya habari viliitangaza taarifa za ujio wa meli hiyo na magonjwa watakayodeal nayo lakini tulipofika pale walianza kuingizwa watu 100 wazima na kama ni mgojwa unatolewa nje na kuelekezwa kwenda kwa dr wako.

Swali kwa madaktari, ni kwanini wanatakiwa watu wazima tu na sio wale wanaoumwa tayari? Nimejawa hofu kwelikweli isijekuwa wanataka kutugeuza wateja wa madawa na hosptali zao kwa kutuambukiza chochote!
 
Tangia Jana nmekuwa nkiuliza Hao madokta wa melini wanatoa matibabu gani au malaria kupima+ uti+ typhod sikupata majibu?
Nkauliza vp nayo upasuaji Nao wanafanya?

Ova
 
Naomba kuelimishwa hapa kwa hili la meli ya madaktari ya wachina au madaktari wa makonda kutoka china la kuwahitaji watu wasioumwa ndio waingie kwenye meli kufanyiwa uchunguzi na wale wagojwa wamekataliwa na kuelekezwa kuendelea na clinics zao!
Nauliza hivi kwasababu vyombo vya habari viliitangaza taarifa za ujio wa meli hiyo na magonjwa watakayodeal nayo lakini tulipofika pale walianza kuingizwa watu 100 wazima na kama ni mgojwa unatolewa nje na kuelekezwa kwenda kwa dr wako.
Swali kwa madaktari, ni kwanini wanatakiwa watu wazima tu na sio wale wanaoumwa tayari? Nimejawa hofu kwelikweli isijekuwa wanataka kutugeuza wateja wa madawa na hosptali zao kwa kutuambukiza chochote!

kama ni hivyo........bora usiende.....tchaaaa..........
 
Tafadhali wale wote waliofanikiwa kufika huko tunaomba ushuhuda wa mrejesho.

NB; Maroboti wa Lumumba tuache propaganda kwa kuvuruga mrejesho ili tuweze kupata picha halisi na kusaidia ndugu walio mikoani na wanataka kuja!!
 
Wanajitaji kuwafanyia uchunguzi watu,kufanyiwa check up,unaweza jiona mzima kumbe una matatizo...
 
Hao sio wachina wa makonda bali hiyo meli huwa inakuja kila baada ya miaka 2 na kwasababu maitaji na madawa hakuna hospital ndio maana unaona wagonjwa wengi.hiyo sio meli ya bashite ebo.

Swissme
Tangu ujiunge na jf leo ndo umecoment kitu cha maana sana.[emoji736] [emoji736] [emoji736] [emoji736] [emoji120]
 
Hao sio wachina wa makonda bali hiyo meli huwa inakuja kila baada ya miaka 2 na kwasababu maitaji na madawa hakuna hospital ndio maana unaona wagonjwa wengi.hiyo sio meli ya bashite ebo.

Swissme
Unamsikiliza sana mange
 
Siku hizi makonda kawa waziri wa ulinzi...maana ndie hupokea meli za kivitaaa wakiwa na meya
 
Kama Watanzania wamethibitika kupenda kutibiwa 'melini' zaidi ya Amana, si kuna ile meli yetu pendwa iliyojjidhihirisha kupenda kutia nanga zaidi ya kusafiri? Iburuzwe tu mpaka bandarini wachukuliwe Hu Ha wawili watatu juu kwa juu pale airport waje kutupa raha...!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom