Meli ya wachina yawahitaji wasio wagonjwa!

Soma unielewe wewe mfuasi mtukufu wa lumumba! Hawapokei wagonjwa bali wasiougua chochote na wapo interested kufanya check up! Si upo hapo lumumba? Nenda kashudie ndio uje kufanya judgement !

hapo kwenye checkup kuna vitu wanachukua kuanzia DNA mpaka ....
 
Mrejesho upo hivi:-
Watu wamelala pale kuwahi foleni na wengi wao ni wagonjwa kwelikweli. Idadi inayochukuliwa ni watu 100 kila awamu.
Kimbembe kinakuja ukishafika ndani wakati wa kuchukuliwa maelezo wagonjwa wanarudishwa au niseme kwa lugha yake kuwa wanatolewa nje ya meli bila huduma na wanaelekezwa kwenda kuendelea na waliokuwa wanawatibu!
Foleni inapita central police na kuna wagonjwa wenye halo mbaya.
Kuna mtu kasema hao ni wamisionari wa kichina na wanagnya hivi kuwazuga watu wao na wa mataifa mengine. Hofu yangu inaendelea, kama wana facilities zote za kutibia na kufanyia upasuaji ni kwanini wasiwahudumie hao wagonjwa walio wazi mbele yao na badala yake wanataka kuwadiagnosis wasiumwa lolote? Usikute wanataka kupandikiza vimbegu vya magonjwa sugu ili kuvitafutia viwanda vyao vya madawa na hosptali zao wateja!?
Hofu yako ni kama yangu pia mkuu
 
Hao sio wachina wa makonda bali hiyo meli huwa inakuja kila baada ya miaka 2 na kwasababu maitaji na madawa hakuna hospital ndio maana unaona wagonjwa wengi.hiyo sio meli ya bashite ebo.

Swissme
Correction: Kila baada ya mwaka mmoja.
 
Mrejesho upo hivi:-
Watu wamelala pale kuwahi foleni na wengi wao ni wagonjwa kwelikweli. Idadi inayochukuliwa ni watu 100 kila awamu.
Kimbembe kinakuja ukishafika ndani wakati wa kuchukuliwa maelezo wagonjwa wanarudishwa au niseme kwa lugha yake kuwa wanatolewa nje ya meli bila huduma na wanaelekezwa kwenda kuendelea na waliokuwa wanawatibu!
Foleni inapita central police na kuna wagonjwa wenye halo mbaya.
Kuna mtu kasema hao ni wamisionari wa kichina na wanagnya hivi kuwazuga watu wao na wa mataifa mengine. Hofu yangu inaendelea, kama wana facilities zote za kutibia na kufanyia upasuaji ni kwanini wasiwahudumie hao wagonjwa walio wazi mbele yao na badala yake wanataka kuwadiagnosis wasiumwa lolote? Usikute wanataka kupandikiza vimbegu vya magonjwa sugu ili kuvitafutia viwanda vyao vya madawa na hosptali zao wateja!?
Birashaka kwa kanuni za kitabibu si vyema kuhudumia mgonjwa ambaye kashaanza kuhudumiwa na dakitari mwingine!! kwa mfano: mtu ulienda hospitali ukapimwa, wakaona ugonjwa na ukaanza kutumia dawa!! harafu leo eti kwakuwa meli imefika unakimbia melini kutibiwa tena!! si jambo jema maana hawawezi kukuanzishia dawa zingine hatakama zikiwepo wakati wewe unatumia aina nyingine. kwa mtazamo wangu hii inaweza kuwa sababu sa wagonjwa wengi kukataliwa na kuhitajika kuendelea na madakitari wao waliokuwa wanawapa huduma kabla. Ni tofauti kwa mtu ambaye ameenda kwao kwa ajiri ya kupimwa na kutibiwa.
Nadhani hivyo!!!!
 
Kama ni hivyo kwanini wasitangaze wagonjwa watakaohitajika ni wale tu ambao hawajaanza matibabu pengine kuondoa usumbufu?
 
Naomba kuelimishwa hapa kwa hili la meli ya madaktari ya wachina au madaktari wa makonda kutoka china la kuwahitaji watu wasioumwa ndio waingie kwenye meli kufanyiwa uchunguzi na wale wagojwa wamekataliwa na kuelekezwa kuendelea na clinics zao!

Nauliza hivi kwasababu vyombo vya habari viliitangaza taarifa za ujio wa meli hiyo na magonjwa watakayodeal nayo lakini tulipofika pale walianza kuingizwa watu 100 wazima na kama ni mgojwa unatolewa nje na kuelekezwa kwenda kwa dr wako.

Swali kwa madaktari, ni kwanini wanatakiwa watu wazima tu na sio wale wanaoumwa tayari? Nimejawa hofu kwelikweli isijekuwa wanataka kutugeuza wateja wa madawa na hosptali zao kwa kutuambukiza chochote!
Mngewapeleka wagonjwa kikakamavu wawe Na muonekano wa kutokuwa wagonjwa kumbe ni wagonjwa
 
UFAFANUZI.

1/Hiyo meli ya Kijeshi ya china imekuja nchini katika taratibu zake za kawaida za kuzunguka sehemu mbalimbali duniani kwa lengo la kuonyesha kazi za ustadi za China. Meli hiyo imekuja kwa mambo ya Kiutamaduni, Michezo, Tiba na Jeshi. Sio mara ya kwanza kwa China kuleta meli ya namna hiyo hapa Tanzania.

2/Sio kweli kuwa meli hiyo umekuja nchini kwa mwaliko au uratibu wa Makonda. Ni serikali ya China yenyewe ilipanga kuja nchini kwa meli hiyo, na kabla ya kufika nchini iliwasiliana na Wizara ya Afya na Wizara ya Ulinzi na taratibu zote kufanyika.

3/Makonda amedandia hiyo ziara na kuharibu kabisa utaratibu mzima wa ujio wa hiyo meli. Kiujumla kabisa Waziri wa Afya na Wizara yote ya Afya wamesikitishwa sana na kitendo kilichofanywa na Makonda. (Wamebakia kunung'unika kimya kimya).

4/Kuhusu Huduma za Afya na meli hiyo.
-Lengo lilikuwa ni kuleta mwamko wa watu kupima Afya zao.(Sio kila mtu angepimwa, na sio kila ugonjwa ungetibiwa)
-Kushirikiana uzoefu na wataalamu wa Afya wa Tanzania (Wachina walikuwa wajifunze kwetu na Sisi tujifunze kwao).
 
Hapa nimekuelewa! Asante kwa ufafanuzi
 
Matapeli wa kisukuma utawashangaa ha ha Leo bashite anawarudisha waende Amana na kwingineko
 
Hii meli ingekuwa imeletwa na NGO au chama cha upinzani hakika isingefanya kazi, wangefurushwa kuwa hawakufuata taratibu na ukizingatia hatujamuona kiongozi yeyote wa wizara ya afya au mwakilishi mkazi wa WHO nchini akishiriki au kubaliki shughuli hii. Labda kwa vile imeletwa na mtu aliewahi kunukuliwa akisema nchi hii ukimtoa raisi yeye ndo anafuata kwa kifua ndo maana tunaona ni kimya. Lakn vyovyote iwavyo wananchi wanayo haki ya kuhoji na hizi hofu ni za kweli, chombo pekee kilichoaminiwa na umma kushughulikia afya ya watanzania ni wizara ya afya. So, wasikae kimya, wajitokeze ama kuunga mkono au kupinga na kuelekeza utaratibu wa nn kifanyike, watamwogopa bashite mpaka lini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom