Meli ya wachina yawahitaji wasio wagonjwa!

Meli ya wachina yawahitaji wasio wagonjwa!

Meli haiwezi kulaza wagonjwa nadhani dab alitoa taarifa hafifu iliojaa hadaa
Hawa wachina wanakaa siku5 kwa hiyo magonjwa complicated hawezi ku deal nayo tusiwalaumu

Tumlaumu zero brain anaeongoza watu
 
Wagonjwa wengi wanahitaji kupata huduma ya mda mrefu kwa sababu magonjwa mengi yanakuwa ni sugu. Siku tano hazitoshi kumfanyia mtu uchunguzi na kumfanyia upasuaji kwa siku hizo hizo awe amepona na kuruhusiwa. Kuna maelezo mengine Makonda aliyatoa yasiyokuwa ya kitaalam, alihitajika mtu kutoka wizara ya afya ili aje awaeleze wananchi kile watakachokipata kwenye meli ya wachina. Wao hawataki mgonjwa ambaye amekwishaanza taratibu za matibabu sehemu nyingine, je na wao wakimuanzishia matibabu mgonjwa na baadae wakaondoka bila huyu mgonjwa kupona ataenda wapi. Nafikiri wao wangesema kuwa wanakuja kufanya vipimo na baada ya hapo mgonjwa atafute mahala husika pa kutibiwa.
 
Hii ndege kuna mawili lolote linaweza kutokea.
1 itaondoka na pembe za ndovu
Au
2 itaacha magonjwa sugu.
Au yote kwa pamoja ni mtazamo wangu tu
Msimamizi wa zoezi mwenyewe Bashite
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom